Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Daniel Ayala on his return to Liverpool: "I don't think about the fact that I've played there, I just want to win the game."

Huyu mtoto inatakiwa kumziba mdomo...hana ADABU!!!
 
Km napata mantiki yako Kwa mbali vile Lkn Hebu elezea kidogo ni vp Faby aliminywa?

Role alyokuwa anaicheza Fabregas Arsena kipindi kile, ndo anaicheza sahv pale chelsea *kaachwa acheze huru* ni free role, ni kama alvyokuwa anacheza Mata chini ya benitez, but tunajua kuwa fabregas ni hatar sana akiwa Katika Free role, hakucheza hivyo akiwa barca..

Sasa, pale chelsea, Sahv Fabregas ndo anaibeba team, bila yeye team haimove wala kusambaza mipira, team inabanwa, hakuna sehem za kufungua, hapo mnakuwa forced kurud nyuma japokuwa linakuwa syo lengo lenu kurud nyuma..fabregas ndo anampa kiburi COSTA, ni kama alivyokuwa anapewa kiburi Na Koke, chelsea ukim-bana Fabregas mipira inakuwa haimfikii Diego, hapo anakuwa forced kurud chini kuchukua mipira (nadhan uliliona hilo), Na kwa njia hiyo Diego hawez kuwa na threat yoyote coz inakuwa easy kum-Mark, unless kama angekuwa anachezesha strikers wawili mbele, lakin as long as Diego akiwa peke yake mbele, hawez kufurukuta kama Fabregas akiminywa, faby ndo injini ya chelsea kwa sasa, he's responsble kwa points zote mlizozipata this season!!

Kwenye game kubwa karibia zote, nadhan coaches watadeal sana na Faby ili kuzima mashambulizi, lakin team ndogo zitazid kuhangaika na Fabregas...

Kama unakumbuka interview ya Delph wa Aston Villa, alisema kabla ya game na liverpool alisema kocha wake paul lambert na keane, walimwambia asimpe nafas SG ya kucheza hata kidogo, coz SG ndo chazo cha mashambuliz pale LFC, ukimdsturb sana lazma connections ya kiungo na attacking ipotee..
 
Ntunzu, asante kwa pole!ni kweli hatujakaa sawa ilo halina ubishi mtani. ILA nakukumbusha safari ndio kwanza imeanza ki bongo bongo wote hata Chalinze hatujafika.

Yah ni kweli mkuu ndo kwanza tuko Mbezi mwisho ata Mizani hatujafika Kibaha hatujafika!

Umepotea sn mkuu!
 
Manquillo should be benched..

kacheza mfululizo sana!..we have Everton next week!!!

itakuwa poa kama McLaughlin akicheza instead of Manquillo kwenye RB!!!

Manquillo kacheza mfululizo ila kuna taarifa kwamba McLaughlin ni majeruhi

So probably back line inaweza kuwa...

----------------MIGNOLET--------------
MANQUILLO----JONES----KOLO------ENRIQUE
 
Role alyokuwa anaicheza Fabregas Arsena kipindi kile, ndo anaicheza sahv pale chelsea *kaachwa acheze huru* ni free role, ni kama alvyokuwa anacheza Mata chini ya benitez, but tunajua kuwa fabregas ni hatar sana akiwa Katika Free role, hakucheza hivyo akiwa barca..

Sasa, pale chelsea, Sahv Fabregas ndo anaibeba team, bila yeye team haimove wala kusambaza mipira, team inabanwa, hakuna sehem za kufungua, hapo mnakuwa forced kurud nyuma japokuwa linakuwa syo lengo lenu kurud nyuma..fabregas ndo anampa kiburi COSTA, ni kama alivyokuwa anapewa kiburi Na Koke, chelsea ukim-bana Fabregas mipira inakuwa haimfikii Diego, hapo anakuwa forced kurud chini kuchukua mipira (nadhan uliliona hilo), Na kwa njia hiyo Diego hawez kuwa na threat yoyote coz inakuwa easy kum-Mark, unless kama angekuwa anachezesha strikers wawili mbele, lakin as long as Diego akiwa peke yake mbele, hawez kufurukuta kama Fabregas akiminywa, faby ndo injini ya chelsea kwa sasa, he's responsble kwa points zote mlizozipata this season!!

Kwenye game kubwa karibia zote, nadhan coaches watadeal sana na Faby ili kuzima mashambulizi, lakin team ndogo zitazid kuhangaika na Fabregas...

Kama unakumbuka interview ya Delph wa Aston Villa, alisema kabla ya game na liverpool alisema kocha wake paul lambert na keane, walimwambia asimpe nafas SG ya kucheza hata kidogo, coz SG ndo chazo cha mashambuliz pale LFC, ukimdsturb sana lazma connections ya kiungo na attacking ipotee..

Nakubaliana na wewe mkuu ktk maelezo yako Lkn kutokana na Hali waliyokua nayo Man City iliwapasa wacheze hivyo na viungo wetu wote wafanye kz ya kukaba tu! Km Jose angentoa maagizo Kwa Faby akae juu kule Pamoja Na Costa angekaa na mambo yangekua mengine! Lkn walikua wamejengwa ktk kujilinda sn kuliko kushambulia na hasa kutokana na kuihisi Man City kwamba ingecheza Zaidi ya kiwango chake!

Lkn pia kuna mbinu mbadala Manager anaweza kutumia Km marking Kwa Faby itakua kubwa sn Kwa kila game, kwasababu Chelsea Kwa sasa wanashambulia Kutoka pande zote! Katikati na pembeni pia!

Na Faby hii juzi alikosa nguvu kwasababu Ramires alikosa uhuru wa Kwenda mbele sn na kumfanya Faby kushuka na Costa kushuka pia! Lkn Km Ramires angekua huru basi Faby Na Costa wangekua moto sn!
 
Manquillo kacheza mfululizo ila kuna taarifa kwamba McLaughlin ni majeruhi

So probably back line inaweza kuwa...

----------------MIGNOLET--------------
MANQUILLO----JONES----KOLO------ENRIQUE
sikudhani kama br anaweza kumnyima Jones na Suso hata leo kucheza
 
Kikosi chetu leo.....hiki hapa.....
 
Attachments

  • 1411494856014.jpg
    1411494856014.jpg
    51.4 KB · Views: 57
Looserfools Vs Middlesbrough ............ nackia harufu ya droo leo!"

Grand PA
 
JORDAN ROSSITER NI kijana mdogo mwenye miaka 17 na leo ndio itakuwa mara yake ya kwanza kuichezea timu ya wakubwa ya Liverpool akitokea timu ya watoto.
Atavaa jezi namba 46.

Wakuu tujitaidi kumuuangalia huyu dogo........yuko vizuri sana!
 
Kuhusu taarifa wana Kops wenzangu!
Nilisikia kuwa SUSO Atakuwa kwa mkopo AC MILAN. Inakuwaje tena?
 
Huyu dogo Rossister anapiga bao la kwanza ni mzuri sana .....our next G8.tuendelee kumuangalia in 3 dimension.
 
Back
Top Bottom