+255
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 1,940
- 762
Raheem kabla ya kupewa hiyo nafasi anatakiwa kwanza ajifunze jinsi ya kufunga, ball control na kutokukimbia kimbia hovyo na mipira. Msimu huwa kawa na performance mbovu sana, na huwa nashangaa hata sub huwa hafanyiwi kabisa hata kama game imemkataa. Mipira mingi inayofika kwake hupotelea tena kwake, akishapiga chemga moja kinachofata ni kupoteza mpira. Ila kitu ninachopenda sana toka kwa anarudi sana nyuma kutafuta mipira na kukaba timu ikizidiwa. Kwa upande wangu kabla ya Raheem kupewa hiyo nafasi ni kipindi sasa cha Borini aaminiwe, na mbele kuwe na Italians job (Balo + Fabio) kabla ya Dan hajarudi uwanjani, iwapo tutaamua kuchezesha fowadi wawili.With surridge upfront, things will change but i think BR needs to give Sterling chance ya kuwa center forward as well
Huyu kiduku amekua hovyo kabisa
Kuhusu Balo pamoja na jana kukosa goli, tukisema haja deliver chochote tutakuwa tunamuonea sana, sidhani kama anaweza kufanya chochote golini kama mipira haifiki kwake, na ni bora yeye akipata nafasi anajaribu kuliko ambao wakifika golini wanarudisha mipira nyuma. La zaidi kabla hatujaendelea kulaumu "striking line" yetu, tuanze na "defensive line" kwa nini hadi sasa hivi hawajatoa clean sheet hata moja.