Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

With surridge upfront, things will change but i think BR needs to give Sterling chance ya kuwa center forward as well

Huyu kiduku amekua hovyo kabisa
Raheem kabla ya kupewa hiyo nafasi anatakiwa kwanza ajifunze jinsi ya kufunga, ball control na kutokukimbia kimbia hovyo na mipira. Msimu huwa kawa na performance mbovu sana, na huwa nashangaa hata sub huwa hafanyiwi kabisa hata kama game imemkataa. Mipira mingi inayofika kwake hupotelea tena kwake, akishapiga chemga moja kinachofata ni kupoteza mpira. Ila kitu ninachopenda sana toka kwa anarudi sana nyuma kutafuta mipira na kukaba timu ikizidiwa. Kwa upande wangu kabla ya Raheem kupewa hiyo nafasi ni kipindi sasa cha Borini aaminiwe, na mbele kuwe na Italians job (Balo + Fabio) kabla ya Dan hajarudi uwanjani, iwapo tutaamua kuchezesha fowadi wawili.

Kuhusu Balo pamoja na jana kukosa goli, tukisema haja deliver chochote tutakuwa tunamuonea sana, sidhani kama anaweza kufanya chochote golini kama mipira haifiki kwake, na ni bora yeye akipata nafasi anajaribu kuliko ambao wakifika golini wanarudisha mipira nyuma. La zaidi kabla hatujaendelea kulaumu "striking line" yetu, tuanze na "defensive line" kwa nini hadi sasa hivi hawajatoa clean sheet hata moja.
 
Ninachopenda kutoka Joe huwa umuhimu wake tunauona akiwapo uwanjani, ila akiwa ameumia washbiki huwa hatum miss uwanjani hata kidogo, Nimeona umuhimu wake jana yeye na Coutinho walivyobadili upepo kama walivyofanya kwenye game ya kwanza na Saton. Na Mignolet pamoja na mapungufu yake kwa game ya jana anatakiwa apewe sana credits, ila nilichokigundua tatizo kubwa toka kwake anawafokea mabeki wakiwa wameshafanya makosa, badala aongee nao kabla ya makosa hayajatokea.
 
Raheem kabla ya kupewa hiyo nafasi anatakiwa kwanza ajifunze jinsi ya kufunga, ball control na kutokukimbia kimbia hovyo na mipira. Msimu huwa kawa na performance mbovu sana, na huwa nashangaa hata sub huwa hafanyiwi kabisa hata kama game imemkataa. Mipira mingi inayofika kwake hupotelea tena kwake, akishapiga chemga moja kinachofata ni kupoteza mpira. Ila kitu ninachopenda sana toka kwa anarudi sana nyuma kutafuta mipira na kukaba timu ikizidiwa. Kwa upande wangu kabla ya Raheem kupewa hiyo nafasi ni kipindi sasa cha Borini aaminiwe, na mbele kuwe na Italians job (Balo + Fabio) kabla ya Dan hajarudi uwanjani, iwapo tutaamua kuchezesha fowadi wawili.

Kuhusu Balo pamoja na jana kukosa goli, tukisema haja deliver chochote tutakuwa tunamuonea sana, sidhani kama anaweza kufanya chochote golini kama mipira haifiki kwake, na ni bora yeye akipata nafasi anajaribu kuliko ambao wakifika golini wanarudisha mipira nyuma. La zaidi kabla hatujaendelea kulaumu "striking line" yetu, tuanze na "defensive line" kwa nini hadi sasa hivi hawajatoa clean sheet hata moja.

Unaujua mpira mkuu
Sio shabiki tu nimependa ulivyochambua
 
the moment unamchezesha balo na fabio, ujue lalana and cou wanakua sacrificed, sasa kuliko kuwa na taahira mmoja na chizi maarifa moja mbele, ni bora kujaza midfielders kwenye attack with raheem as a center forward and adam taking his midfield role na ---- nafasi coutinho watengeneze freekicks za kutosha kwa gerrard na adam kuweka mabao ya dead balls

with pace ya hendo and allen pale kati tunaweza kupata kitu, shida itakua kwenye set pieces uande wetu, ambazo hadi sasa hatujafanya vizuri hata huyo "tolu" baloteli hajatusaidia sana

Kingine against real, ni kumweka Shako, najua wengi mtapiga lakini we saw how Lovren struggleed against Zamora, kapoteza confidence kabisa - Sakho nibange yake na sura yake inaweza kusaidia kufukuza nzi kama CR7 na Jay Rodriguez

Sina imani kabisa na baloteli, yani hata kukaa tu kwenye benchi ni mkkosi, kamfanya hata yule center wa aston villa kuwa man of the match
 
Aaah! Kwamba sura ya Sakho inaweza kumkimbiza CR, vipi na sura ya Balo haiwezi kukimbiza beki za RM?! . Mi mwenyewe sio mshabiki wa balo, ila naona ni wakati sasa wa Borini kupewa nafasi, na Raheem arudi tena kujifunza mpira, na nafasi yake apewe Coutinho. Kingine Lovren kaisha feli kabisa sidhani kama anahitajika kupewa nafasi zaidi, mara mia bora comb ya Skrtel na Sakho ijaribishwe upya au acheze mara moja moja na babu Kolo kuliko kuendelea na Lovren. (katucost sana hadi sasa)

Kwa upande wangu kikosi changu kwa kipa hatuna options, kushoto sina tatizo kati ya Jose na Moreno (ingawa mi ni mshabiki mkubwa wa Jose) beki za katikaki ndio matatizo (ila nafasi ni Skrtel na Sakho/Kolo), kulia sina tatizo nalo sana, defensive mid ningewaacha Henderson na Allen, kati wakacheza Lalana - Coutinho - SG. (Kwenye dimba SG na PC wakawa wanapishana)
na mwisho kwa kuwa hatuna striker anayeeleweka ningempa nafasi Borini.
 
yah, ila Jose anachoka upesi, so si mbaya wakaanza na Jose, halafu akaingia moreno second half kuua moves za akina CR7, we do also need stability pale kati, na Cou akicheza na Allen na Henderson plus Gerro wanaweza kubalance power, pace na vision (and leadership)

I would Lallana kama attacker because he has good eye on the goal na pia ana chenga za kuua viuno mabeki... balo is a waste kabisa

Mine would be: Minyoo, Glen/Monkey, Jose (45mn), Sakho, Sketi, Gerro, Allen, Hendo, Cou, Adam and Sterling... Ni mbio mwanzo mwisho, kisha later namleta headless Fabio na Emre kubalance miguvu
 
Kwenye hicho kikosi chako ungewachezesha formation gani? hasa Coutinho na SG ungewapeleka wapi, manake dogo Coutinho ukimpanga namba sio ndio umempoteza.
Af Lucas sasa hivi hana namba pale kati, ulishawahi kufikiria akarudishwa nyuma akacheza na Skrtel, vipi inaweza ika work kweli hii comb? Manake kwa upande wangu hadi sasa bado sitaki kuamini kama tuna tatizo pale mbele, tatizo langu kubwa ninaloliona ni defensive yetu bado ni mbovu sana.
 
We do not need to panic!Liverpool will be OK na Baloteli ataanza kufunga tu!Suarez mwenyewe mwaka wa kwanza ali struggle labda mmeisha sahau hii!

Baloteli ana pressure kwa sasa kikubwa ñi kuendelea tu kumpa game na atakuwa OK!

Team ya kuilia timing ni Chelsea tu hizi zingine afadhali sisi!Wana KOPS wenzangu tushikamane naona nuru kubwa mbele yetu
 
Katika watu wanao nifurahisha mkuu Malafyale unaongoza.... SALUTE.... maana hutaki amini Kama timu yetu inazingua na tunashinda sababu we have only lucky sababu playin yetu kwenye pitch we play very soft.....

Kuwa na wakati mgumu kwa Balo sawa ugumu unakuja sababu formation anayocheza haisababishi yeye a-perform well hata yeye alikiri anaweza na anapenda kucheza with another striker siyo kuwa peke ake......

Nuru unayoiona mkuu ni ipi? Maana siku hizi timu yoyote inayocheza na sisi haipati hofu kama ya last season...... nahisi tutachelewa sana kutembea vifua mbele Kama last season
 
Last edited by a moderator:
Kwenye hicho kikosi chako ungewachezesha formation gani? hasa Coutinho na SG ungewapeleka wapi, manake dogo Coutinho ukimpanga namba sio ndio umempoteza.
Af Lucas sasa hivi hana namba pale kati, ulishawahi kufikiria akarudishwa nyuma akacheza na Skrtel, vipi inaweza ika work kweli hii comb? Manake kwa upande wangu hadi sasa bado sitaki kuamini kama tuna tatizo pale mbele, tatizo langu kubwa ninaloliona ni defensive yetu bado ni mbovu sana.

Lucas hawezi center half

Kuhusu formation, ntampa Lallana namba kumi na Sterling namba tisa, diamond (narrow) nawapa Gerro, Allen, Cou na Hendo
 
Kijana wetu Wiadom huu uwe mwaka wake wa mwisho kupelekwa kwa.mkopo!Anacheza vyema sana huyu kijana kwa sasa
 
We do not need to panic!Liverpool will be OK na Baloteli ataanza kufunga tu!Suarez mwenyewe mwaka wa kwanza ali struggle labda mmeisha sahau hii!

Baloteli ana pressure kwa sasa kikubwa ñi kuendelea tu kumpa game na atakuwa OK!

Team ya kuilia timing ni Chelsea tu hizi zingine afadhali sisi!Wana KOPS wenzangu tushikamane naona nuru kubwa mbele yetu

Suarez, game ya kwanza tu akitokea sub alitia kamba pale Anfield...msimu wake wa kwanza alitia kamba 18 golini..na Daglish alikuwa anamchezesha nyuma ya Caroll, yaan caroll ndo alikuwa namba 9..diaz alikuwa anacheza 10...
 
Sina hakika kama tutasonga
 
Attachments

  • 1413840897414.jpg
    1413840897414.jpg
    110.1 KB · Views: 61
Sina hakika kama tutasonga

good one, I think game na villa ndio imetucost zaidi... tungekua na points zilezile, na mwaka huu sio mbaya hasa ukizingatia ni chelsea na citeh tu wanaocheza vizuri, we seriously need to consider Higuain au Bony to replace balo and pray for a fully fit sturridge
 
Balo will score amini nisemayo!Tusiogope hata kidogo hapo wa kumuangalia ni Chelsea na Man City tu hao wengine wachumba kwetu!

Kinachonipa moyo ni kuwa hatuja click bado lkn hatupo pabaya kwenye msimamo!

Hull City namchapa kwangu easily kabisa week hii na kuanza kuwafuata wanao ongoza
 
Siasa hizo na utabiri
 
Siasa hizo na utabiri

Sio siasa wala sio utabiri!Wachezaji wengi huwa wana struggle kwenye team zao mpya miaka ya kwanza!Dzeko ilimchukua miaka 2 kutulia Man City,Hata Suarez hakuwa clinical kama alivyo kuja kuwa baadae!

Team ni nzuri hii huwa inayumbishwa na mifumo ya hovyo ya BR!Ona kipindi cha pili na QPR tulivyo cheza soka saafi!!

Hull City atakaa kiurahisi tu
 
MKuu, kuna kuchelewa kufuunga, na kuwa imbecile uwanjani...

Hivi jana uliona Balo alipoguswa kichwa aliinama for over a minute na karibia tufungwe, check his movements za gestures za wenzake pale anapopata mpira, they stand still

I think hali ya Liverpool kwa sasa sio ya kumpa nafasi, he can come on kutoka bench labda atakua na mchango

9 games, zero performance

On a positive note, balo kanipatia dola mia, wakati tunamchukua nilisema mshkaji ni kiazi, wakabisha

Labda atabadilika akikipiga kwenye carling and FA cup
 
Balo asikae nje mkuu!!Huyu anahitaji bao moja tu la ligi ili arudishe confo yake!Balo is too young only 24 yrs kwa hiyo atatusaidia kwa miaka mingi kama tukimuivisha!!
 
Back
Top Bottom