Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tukicheza hivi EPL tunamfunga yyt yule!Kipimo cha Liverpool ni leo kama wataweza kumiliki soka

Haya matokeo ni blue print yetu EPL
 
Ronaldo amefikia Record ya goal 71 ya All time UEFA Champions League goal scorer ambayo ilikuwa inashikiliwa na Raul Gonzalez Blanco ambaye naye ana goli 71. Akiongeza hapo anavunja record
 
Tukicheza hivi EPL tunamfunga yyt yule!Kipimo cha Liverpool ni leo kama wataweza kumiliki soka

Haya matokeo ni blue print yetu EPL

Tunafungwa mkuu, ila huyu refa maanin zake, beki ya liver maanin, BR maanin, na wachezaji wa Madrid maanin zao. Usiku mwema na goli 3 bila
 
Tukicheza hivi EPL tunamfunga yyt yule!Kipimo cha Liverpool ni leo kama wataweza kumiliki soka

Haya matokeo ni blue print yetu EPL

Acha kuwa Na moyo mgumu leo ni 7 liverpool timu ndogo sana hakuna chochote hapo
 
Kila siku humu jukwaani tunampigia kelele Balo, wakati kuna wachezaji wapuuzi mara mia yake.
 
Goli zote 3 ni ubovu wa beki zetu za kati!Sakho sasa aanze kucheza

Hawa tuliwadhibiti kabisa
 
Tunafungwa mkuu, ila huyu refa maanin zake, beki ya liver maanin, BR maanin, na wachezaji wa Madrid maanin zao. Usiku mwema na goli 3 bila

Usikimbie bana mpira ni dakika 90 mnaweza kurudisha yote 3 na mkawazid pia........
..
 
Back
Top Bottom