Kuna watu humu huwa siwaelewi what they need....siyo fans wa LFC ila kila tunapo zingua kwenye game huwa wanakuja humu kutoa shit.... kinachonishtua ni hiki
- Timu zao za juzi halafu wanajilinganisha na sisi...ok madai yao we have history only hahaha they forget its better than them.
Ku-win a game its just a matter of time, passion, spirit, tactics, psychology and many more. Kila tuki-loose they talk much huwa najiuliza ina maana timu zingine huwa hazipotezi game...?
Mfano: Uefa; its ok we struggle and our chance is little, kinachonifanya nishangae ina maana watu hawaoni muelekeo wa timu zingine kama Mancity ambao its already wako mortuary ya uefa na hata kwenye ligi bado hawako vizuri ila people do not see it..real?. Arsenal still suffocate as we are in uefa and EPL, timu pekee inayoshiriki misimu 17 mfululizo uefa without to touch a crown na hili pia halionekani...seriously?
Even if we loose match after match sioni mantiki ya watu ku-talk some shit about our team, tumecheza only 11 game only 27 game bado hazijachezwa haijalishi tutakuwa nafasi ya ngapi baada ya mechi za leo ila kwa pointi tulizoachwa hasa na timu kuanzia nafasi ya 3 si nyingi kiivo anything can happen at anytime. Sita shangaa wala kuhuzunika kwa wale wanaojihisi kuwepo top 4 halafu mwisho wa siku tukawakuta na wao wanagombania nafasi ya kucheza Europa league.