Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

All ----ing rent boys you better ---- off!!

You got your own thread so why bother coming here and post some ----ing shitty comments???

Kazipostini kwenye thread yenu and if you wanna talk shit about lfc kaongeeni kwenye thread yenu coz kuna baadhi ya kopites huwa wanakuja kwenye thread yenu!

Si ambao hatuji kwenye thread yenu hizo shitty comments zenu hazituhusu...

#----off
 
Liverpool 1 - 2 Chelsea:::: Tisha-TOTO's post match analysis
=========================================================

1) Chelsea - a form team:

Yesterday LFC played a small club which is currently in form. A typical feature of a small club is packing the bus when playing against strong opposition (am just echoing BR's outburst last season after LFC lost to a time-wasting and outrageously defensive Chelsea side as well as Pellegrini's similar lambasting against Chelsea earlier this season). One could see a sign of those Chelsea traits yesterday (despite their good form at present), particularly towards the match climax.

2) The goals:

LFC's 1st goal:
A marauding run from EC and....bang!.. he let fly. Excellent defending from Chelsea's backline (held their line up well....typical Mourinho) but the beauty of hitting the ball like what EC did is that the only thing defenders can do is put the bodies on the line.... and the ball can end up anywhere! LFC should be doing more of those strikes which they are not doing much at this moment. SG used to do it a lot in his old AM role. Coutinho has been trying but he needs to do it more often at Melwood first. Sturridge is another one doing it more often but he's not playing at the moment and we have no clue when he'll get back on the pitch....he might get injured again before kicking his first ball!

Chelsea's equalizer:
LFC's defensive frailties were on show here again: (a) after Mignolet clears the header, there are only SG & GJ in the 6-yard box to deal with the loose ball while Chelsea had 4 players there which included their defenders! Yaani inashangaza sana na kusikitisha mno.. (b) Mignolet is fully aware that he could be standing by the goal line yet he opts to hold the ball from Cahill instead of just punching it to safety....jamani!!!

Chelsea's winner:
One of the biggest strengths of Chelsea's attaching midfield players is their commitment to contribute to defensive duties. At LFC, with the exception of Sterling (whose bull-like strength is quite amazing considering his small frame), no one else appears to be taking this responsibility. Testimony to this is the way Coutinho was brushed aside in the build up to Chelsea's second and winning goal...kwa nini hata hakuvuta shati, bukta au hata kukwatua tu is beyond me!! BR needs to address this with his AMs.

3) My overall assessment:

If LFC can build on yesterday's performance which wasn't (relatively speaking) not all that bad, then I think they will soon return to their accustomed winning ways provided that BR always sends on the pitch the following first 11 (please challenge me):
Mignolet, GJ, J Enrique, Kolo (it's not by choice really but who else is there, Lovren? F...ck no!), MS, SG, JH, EC (the beast!), PC, RS, MB (stop-gap until the return of DS).

4) LFC player ratings (again, challenge me):

Mignolet (5.5), GJ (6.5), Moreno (5.5), Lovren (5.0), MS (7.0), SG (6.2), JH (6.0), EC (7.4), PC (7.5), RS (7.4), MB (5.5)
 
All ----ing rent boys you better ---- off!!

You got your own thread so why bother coming here and post some ----ing shitty comments???

Kazipostini kwenye thread yenu and if you wanna talk shit about lfc kaongeeni kwenye thread yenu coz kuna baadhi ya kopites huwa wanakuja kwenye thread yenu!

Si ambao hatuji kwenye thread yenu hizo shitty comments zenu hazituhusu...

#----off

Easy, easy, easy mkuu...
 
Mkuu Viol naomba utulie Mkuu..! Usiendelee kujibu Hizo post..!

Hakuna haja ya kutukanana sababu ya soka!Actually soka ituunganishe!!Tujifunze kutokukubaliana bila lugha za ajabu!

Karibuni kwenye thread yetu
 
Last edited by a moderator:
Hakuna haja ya kutukanana sababu ya soka!Actually soka ituunganishe!!Tujifunze kutokukubaliana bila lugha za ajabu!

Karibuni kwenye thread yetu

Oya,we ndo unasababisha hawa was*nge wanaleta dharau humu,tangu umeanza kuwakaribisha humu kuna jambo gani la maana washawahi kuliongelea humu?? Kama unawapenda sana si uwafuate hukohuko kwenye nyuzi zao mkajadiliane? Unazingua sana brother!
 
Sidhani kama kuwakaribisha hapa kutapunguza chochote kwetu na sidhani kama hawa jamaa tunawashindwa kuongea nao!!

Issue hapa ni kukubali changamoto na kujibu hoja bila wao kututusi wala sisi kuwatusi
 
Sidhani kama kuwakaribisha hapa kutapunguza chochote kwetu na sidhani kama hawa jamaa tunawashindwa kuongea nao!!

Issue hapa ni kukubali changamoto na kujibu hoja bila wao kututusi wala sisi kuwatusi

Mwenyezi Mungu akuzidishie hekima na busara kaka! Tujadiliane kwa nguvu za hoja na sio hoja ziwe nguvu na matusi!!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mwenyezi Mungu akuzidishie hekima na busara kaka! Tujadiliane kwa nguvu za hoja na sio hoja ziwe nguvu na matusi!!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Jana wakati akina Viol wanatumia lugha za ajabu hapa nilikuwa nasoma kila kitu na kutingisha tu kichwa hapa!

Ukweli tusifikie kukashifiana sababu tu ya ushabiki!Soka ikijadiliwa kwa hekima kila mtu ataongeza maarifa kichwani mwake!

Jana hata Chelsea sasa wanajua kuwa team yao sio special na ni beatable maana kama refa angekuwa makini red card Cahil na penalty ile ingebadili matokeo!

Majogoo tuna hoja nzito zaidi ya Chelsea kuhusu mechi ya jana!
 
wewe ni poyoyo wa uchambuzi na unawaiibisha sana wenzako umeshinda kwenye uzi wa chelsea wiki nzimz ukitukana wamekufwata huku shauri ya upoyoyo wako eti penalti tunawasubiri tuwandike tena jinga sana
 
Ndiyo walivyo kufundisha walimu wako jinsi ya kuwasilisha mada zako ndiyo hivi?Maandishi ya hovyo hovyo kabisa!!

Wapi mm.nimewahi tukana?Paste hapa kuonyesha matusi yangu popote pale hapa JF
 
Wakuu naomba munifahamishe hivi Remmy alifeli vipimo gani liver kwa chelsea amepasi,
 
Sidhani kama kuwakaribisha hapa kutapunguza chochote kwetu na sidhani kama hawa jamaa tunawashindwa kuongea nao!!

Issue hapa ni kukubali changamoto na kujibu hoja bila wao kututusi wala sisi kuwatusi

Umetoa maoni mazuri sn Mkuu..! Sisi tukija ktk Uzi wenu hapa hatutoi lugha chafu Bali wenzako ndio wanaotoa lugha chafu....! Nimependa hoja yako Mkuu Malafyale kwasababu unasimamia ukweli...! Na hii ndio Maana ya michezo urafiki upendo etc sio chuki matusi..!

Safi sn Mkuu .....,!
 
Safi sn Mkuu .....,![/QUOTE

daah we jamaa umesahau wenzio walivo nitukana uko kwenu ad wengine ukaniitia.navojua KUMPA MPINZAN WAKO MANENO YA KARAHA NIKAWAIDA SANA KWENYE MICHEZO but sio matusi
 
Ndiyo walivyo kufundisha walimu wako jinsi ya kuwasilisha mada zako ndiyo hivi?Maandishi ya hovyo hovyo kabisa!!

Wapi mm.nimewahi tukana?Paste hapa kuonyesha matusi yangu popote pale hapa JF

awa jamaa hawajui ligha za upinzan,maneno ya karaha na yashombo nikawaida sana but wao wanageuza wanasema umetukana.iv mtu akikaa kwenye sred ya timu pinzan ndokumaanisha alikua anatukana...KUNA TOFAUTI KAT YA MANENO YA KARAHA NA MATUSI
 
Back
Top Bottom