everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,027
Tulichza vyema lkn bao halikupatikana!Tunaenda kuwatoa kwao
Hahaha!! Kaka bana unanifurahisha kwanini yasipatikane kama umecheza vizur?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulichza vyema lkn bao halikupatikana!Tunaenda kuwatoa kwao
Tulichza vyema lkn bao halikupatikana!Tunaenda kuwatoa kwao
hiyo weka wewekweli hii timu inawanyima usingizi. kwanini usiweke squad yenu na bolton? ambao wamekuja hapo kwenu na kuwatoa jasho.
BR anaposema kwamba, kama huwez kupress huwez kucheza tena LFC huo ni ujinga..as a coach ulikuwa unajua kabisa kuwa MB hana mpira wa kupress, so kwann ulimsajili???
he used to slat Sakho kwenye media last season, mpaka summer akamnunua Lovren (LCB ambaye hatukumuhitaji kabisa)..lakin sahiv Sakho is proving kuwa jamaa alikuwa wrong sana...
me sijawahi kumuona MP akimuongelea vibaya Mangala kwa perfomances zake mbovu kwenye Media...
BR anasema MB alikuwa hajaumia, lakin ALIAMUA KUMUACHA tu..
me MB siwez kum-rule out mpaka nione anacheza sambamba na DS.
BR hana akili! LFC ingetumia ile pesa waliyotumia kumnunua MB,Origi na Lovren...pound mil 46 wakaingia sokoni kumtafuta striker mmoja tu...wa bei hiyo,make hata kwenye wages,ukichukua wage ya Origi,Lovren na MB ukaioffer kwa huyo world class player,kama vile Reus,Benzema,etc
Pesa ya kununulia wachezaji haikuwa shida. Shida ni payroll (ridiculous salaries) and this is not BR's problem....it's FSG hierarchy's baby.
BR has to take responsibility as a coach lakini mapungufu kwenye timu chanzo si yeye peke yake, so we need to be fair in our judgement.
Kuna umuhimu wa kushinda hii game ili kupunguza wingi wa mechi katika ratiba yetu
Look at this and you will understand my point of view......Raheem Sterling's contract talks with Liverpool stall after he rejects SECOND offer from club - Mirror Online
1) BR hamuhitaji tena MB and he wants to cash in on him so that he has the money to buy another striker. He has to find a way to ditch him, so use every trick in the book (dirty or not). BR hataki kurudia kosa alilolifanya kwa Borini last summer (ambapo deep down BR alitaka aondoke kwenda Sunderland lakini alifanya kosa la kumpa impression Borini as if anataka abaki)
.
Look at this and you will understand my point of view......Raheem Sterling's contract talks with Liverpool stall after he rejects SECOND offer from club - Mirror Online
umri ule anaanza kulalamika kama mchagua jembe na kuringa wakati bado haijafikia Kule pakuringia siimpendi michael Owen nje ya LFC ila alivyokuwepo umri wake Owen ha kuringa na alikuwa anapiga mabao tu siku hizi vijana wanaringa sana sababu ya sheria zinazowalinda angekuwa Grame Souness bao moja tu la uso yeye na agency wake mpaka nje ya Mlango wa Liverpoolfc asituletee nyodo hataki aseme live asitafute sababu.huyu dogo anataka £100,000 ambazo hata Mimi sioni kama anastahili kulipwa pesa zote hizo,kwa lipi hasa? Mbinafsi,mchoyo,ridiculous finishing,yaan Ana ujinga ujinga mwingi Tu.,,,binafsi huwa ananiboa Kila dakika anayokuwepo uwanjani