KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
Pole jamani,walikufanyaje......?
Sijui ila naturally siwapendi tuuh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole jamani,walikufanyaje......?
Asante mtani..... mpaka sasa nashindwa elewa tulifungwaje kwenye hii gemu
Sijui ila naturally siwapendi tuuh!
Pole sana au sababu ya jina la mashetani wekundu? Na wewe timu gani ?naomba urafiki ntakuwa nakuja kukutembelea kwenye jukwaa lako..........
Karibu sana! Mimi true colour THE BLUES kijana wa darajani!
Malafyale, Ings tena ndugu yangu????Dada Majogoo yamepigana dakika 120 darajani!Hakika Liverpool ni team nzuri
Tunahitaji mabadiliko kidogo:Baloteli aondoke na Sterling kama hataki kusajili pia andoke
Dan arudi na hata Ings wa Burnley atafaa
Mtani pole sana one mistake one goal,mlipata nafasi nyingi lakini hakuzitumia mlitakiwa muwe na magoli yasiyopungua 3.
Leo sijaangalia hii game,niliepuka kukwazwa na Sterling make nina stress zangu...nimesoma sehemu BR anajisifia wakati kafungwa! Poor him!
Hii game tumepoteza kutokana na maamuzi mabovu ya BR tulikuwa na nafasi nzuri ya kushinda hii game kwa performance tuliyokuwa nayo kwenye kipindi cha kwanza.
Gerrard alikuwa na game mbaya from the start, zaidi ya ile pass ya aliyokosa countinho zaidi ya hapo hakuwa na performance ya maana ya kuendelea kuwepo uwanjani kwa dakika zote 120.
BR alivuruga kwenye substitutions alizofanya Johnson was poor kwenye hiyo role ya centre back he was awful na uamuzi wa kumpandisha lucas kwenye attacking midfield wakati gerrard kaisha chemsha huko tena anamshusha chini.
Sterling, huyu dogo anatunyima ushindi kabisa kwa kukosa maamuzi ya haraka ili timu ipate ushindi kama jana kapoteza chances 3 ambazo zingetufanya twende HT tukiwa tunaongoza ni muda muafaka BR afanye kama alichomfanyia msimu uliyopita kwa poor performance yake labda ndo atapata akili.
Hivi BR na bench la ufundi pamoja na wachezaji wao huwa hawapitii makosa ya game zilizopita ili yasijirudie tena? Maana makosa kwenye game ya jana hayana tofauti na makosa ya mechi 3 nyuma tena tena kwa watu almost wale wale
Mfumo aliokuja nao BR ulikuwa ni m-bovu sijapata ona, ule wa 4-2-3-1, we were bad kwenye kila kitu, mpira m-bovu, kiungo kibovu, beki mbovu, Striking force mbovu etc..yaan players walikuwa hawajui wanafanya nn uwanjan..na BR mwenyewe alikuwa hajui anafanya nini kipind kile..
lakin sahiv kabadilisha Mfumo kwenda 3-4-3 unaona kabisa ile pace yetu inarud, players wanaelewa wanachokifanya..room anayoipata Coutinho ya kusambaza mipira ni kubwa, sema anakosa mtu wa maana pale mbele..
Me ni Mkosoaji mkubwa sana wa BR kama akifanya Blunders lakin kwasasa mpaka akirud DS ndo ntaanza tena kumjudge, coz kwa sasa unaweza ukaona kabisa kuwa tunakosa ST wa maana, na 2nd best ST wa msimu uliopita alikuwa na majeruhi ya muda mrefu..
BR kajitahid kusema ukweli..
Mkuu MosDef, nimefurahishwa na opinion yako kuhusu BR. Am sure we'll come good with him at the helm.
Kabisa kabisa....Anahitaji Right players..
ndo maana huwa nasema akubali kuwa na DoF kwenye Team..
BR anaweza akafanya wonders akiwa na Right players wenye profile ya kuchezea LFC..
Good results for BR, tu- concentrate kwenye ligi kwanza.
Anahitaji Right players..
ndo maana huwa nasema akubali kuwa na DoF kwenye Team..
BR anaweza akafanya wonders akiwa na Right players wenye profile ya kuchezea LFC..
Mtani pole sana one mistake one goal,mlipata nafasi nyingi lakini hakuzitumia mlitakiwa muwe na magoli yasiyopungua 3.