Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dada Majogoo yamepigana dakika 120 darajani!Hakika Liverpool ni team nzuri

Tunahitaji mabadiliko kidogo:Baloteli aondoke na Sterling kama hataki kusajili pia andoke

Dan arudi na hata Ings wa Burnley atafaa
Malafyale, Ings tena ndugu yangu????

Lambert wakat yupo Southampton ndo alikuwa mchezaji wa 3 kwa Assists kwenye EPL last season nyuma ya SG na Suarez...

Hawa kina Ings, Austin, Berahinho..Usihangaike nao kabisa...ni ONE season wonder players!!!
 
Last edited by a moderator:
Leo sijaangalia hii game,niliepuka kukwazwa na Sterling make nina stress zangu...nimesoma sehemu BR anajisifia wakati kafungwa! Poor him!

Raheem wamwache aende Bayern, manake amekuwa kipenz cha Guardiola..LFC wanaweza wakapata mchezaj mwingine wa maana kama wakimuuza yule dogo kwa £30-45..

wakamchukue Dybala tu kabla LVG hajam-beba yule dogo..manake naona anapoteza muda wake tu Parlemo kule, afu RS anazingua huku..

Raheem ni mchezaj mzuri sana, anasumbua sana mabek, lakin ana maamuz ya kitoto sana Aisee...hatak kumpa Ushirikiano kabisa Coutinho wakiwa kwenye 18..ndo maana chances kibao zinakuwa wasted tu..

Labda kwa Guardiola atajifunza bhana...
 
COUTINHO huwa ananikumbusha KAKA wa 2005-2008...hatar sana Little Magician...

Huwa anafanya maamuzi ya haraka akiwa kwenye speed ya hatar sana..wachezaj wachache sana hufanya hivyo..sijui kama Manure utd yupo mchezaj wa aina hiyo..

Asa akirud DS, raheem anarud pemben huku, Markovic ndo anarud kwenye number yake katikati sambamba na Little phill..itakuwa ni pace and direct football...
 
Manure utd, wana Herrera though...a £32m man.."spanish Magician"
 
Hii game tumepoteza kutokana na maamuzi mabovu ya BR tulikuwa na nafasi nzuri ya kushinda hii game kwa performance tuliyokuwa nayo kwenye kipindi cha kwanza.

Gerrard alikuwa na game mbaya from the start, zaidi ya ile pass ya aliyokosa countinho zaidi ya hapo hakuwa na performance ya maana ya kuendelea kuwepo uwanjani kwa dakika zote 120.

BR alivuruga kwenye substitutions alizofanya Johnson was poor kwenye hiyo role ya centre back he was awful na uamuzi wa kumpandisha lucas kwenye attacking midfield wakati gerrard kaisha chemsha huko tena anamshusha chini.

Sterling, huyu dogo anatunyima ushindi kabisa kwa kukosa maamuzi ya haraka ili timu ipate ushindi kama jana kapoteza chances 3 ambazo zingetufanya twende HT tukiwa tunaongoza ni muda muafaka BR afanye kama alichomfanyia msimu uliyopita kwa poor performance yake labda ndo atapata akili.

Hivi BR na bench la ufundi pamoja na wachezaji wao huwa hawapitii makosa ya game zilizopita ili yasijirudie tena? Maana makosa kwenye game ya jana hayana tofauti na makosa ya mechi 3 nyuma tena tena kwa watu almost wale wale
 
Mkuu mak89 me nadhan kwa game ya Jana, hatuna cha kumoan Aisee, tbf...

Hatuna tu Clinical Finisher, tuliyenaye ni DS na ndiyo ametoka majeruhi..

Suala la kukosekana ST makin ndo limetupunguzia credits katika hii formation mpya 3-4-3.. kwenye formation ya mara ya kwanza tulikuwa tunacheza mpira m-bovu sana...lakin BR has managed to turn things around kidogo, kubadilisha formation wakat upo kwenye Presha kubwa inahitaj guts sana, hicho ndo kinamshinda MP na hata Klopp kwa sasa, nadhan ni BR na Luis Enrique wa Barca wamefanikiwa kufanya hivyo msimu huu..

Aim kubwa ni TOP FOUR, na bado tupo mbali nayo kidogo..so kuna Sub ambazo zilikuwa ni inevitable..we got West ham and very tough fixture mwez wa pili..

Me nadhan tulikosa ST tu wa maana..hata BR angefanyaje, lakin bila Clinical finisher lazima ustruggle kupata goal..we saw that against Bolton..

Tumsubiri Danny, tuone ataleta kitu gan kipya kwenye hii first 11 ya sasa!!

Borini, lambert na Balotelli wa SASA, hawaitoshelezi LFC kwa kiasi flani.
 
Last edited by a moderator:
Mfumo aliokuja nao BR ulikuwa ni m-bovu sijapata ona, ule wa 4-2-3-1, we were bad kwenye kila kitu, mpira m-bovu, kiungo kibovu, beki mbovu, Striking force mbovu etc..yaan players walikuwa hawajui wanafanya nn uwanjan..na BR mwenyewe alikuwa hajui anafanya nini kipind kile..

lakin sahiv kabadilisha Mfumo kwenda 3-4-3 unaona kabisa ile pace yetu inarud, players wanaelewa wanachokifanya..room anayoipata Coutinho ya kusambaza mipira ni kubwa, sema anakosa mtu wa maana pale mbele..

Me ni Mkosoaji mkubwa sana wa BR kama akifanya Blunders lakin kwasasa mpaka akirud DS ndo ntaanza tena kumjudge, coz kwa sasa unaweza ukaona kabisa kuwa tunakosa ST wa maana, na 2nd best ST wa msimu uliopita alikuwa na majeruhi ya muda mrefu..

BR kajitahid kusema ukweli..
 
Mkuu MosDef, nimefurahishwa na opinion yako kuhusu BR. Am sure we'll come good with him at the helm.
 
Mkuu MosDef, nimefurahishwa na opinion yako kuhusu BR. Am sure we'll come good with him at the helm.

Anahitaji Right players..

ndo maana huwa nasema akubali kuwa na DoF kwenye Team..

BR anaweza akafanya wonders akiwa na Right players wenye profile ya kuchezea LFC..
 
Anahitaji Right players..

ndo maana huwa nasema akubali kuwa na DoF kwenye Team..

BR anaweza akafanya wonders akiwa na Right players wenye profile ya kuchezea LFC..

Japo BR ni mzuri technically, lakini ni dhahiri kuwa kwenye mambo ya players recruitment anahitaji mtu wa kumsaidia. Hapa ndipo FSG wanatakiwa kuingilia na ku-impose mambo kwa BR (including kum-appoint DoF). Hataki, aanze.
 
Back
Top Bottom