The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
Mnyakatari umemaliza kila kitu,na haya ndo madhara ya kufundishwa na kocha muingereza! BR anapenda sana wachezaji waingereza,no wonder Man city na Chelsea wanafanya vizuri kila mwaka,hawana hii miingereza mingi,pale Man city muingereza mwenye namba ya uhakika ni Joe Hart tu,pale Chelsea ni J.Terry na Cahill. Hebu angalia Lvpool,SG,RS,DS,JH,JI,JA, halafu karibia wote ni average players
Last edited by a moderator: