Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,345
- 10,885
hahaha, count me in
Naomba niweke kwenye bet, 100 dollars mzee
ukimaliza juu yetu nakupa, tukimaliza juu yako naomba unipe 100 USD
Pleeeaaaaaaaaaaaaaase
Deal...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha, count me in
Naomba niweke kwenye bet, 100 dollars mzee
ukimaliza juu yetu nakupa, tukimaliza juu yako naomba unipe 100 USD
Pleeeaaaaaaaaaaaaaase
MaEverton hayana uwezo wowote wa kuisaidia LFC, syo ya kuyategemea yale, Team lao kwanza bovu, na Wed yanacheza na Stoke City..Yakafie Mbele!!
Kuhusu Arsenal na Manure wala usiwe na hofu, Weeks zinazokuja utaona utofauti tu..
Tulihitaj kuclose the gap kama hivi, mambo mengine yatajipa tu weeks zinazokuja!!!
Nami wala sijaichukulia ubaya...nimeongea kwa kuwa kuongea ni kawaida kwa mtu anayeweza kuongea, au siyo?
Mimi nimeshaweka bet na mloserfool Malafalye...na naweka na maloserfool wote humu sasa kwa kuweka hela, nyiye hata msiweke chochote..
Liverpool ikamaliza juu ya United msimu huu, licha ya kupigwa ban ya mwaka mzima kwenye jukwaa la United, nitawapa washabiki wa Liverpool US$ 100 wa jukwaa hili
samahan kwa tanzania izo ni shingap mkuu ili nijue ntakua na shngap
Nitatumia exchange rate ya siku husika...leo inaweza ikawa 1 = 1,800 lakini siku yenyewe ikawa 1 = 2,000 au 1 = 1,000.
Asante sana watani zetu liver kwa kutusaidia kuongeza pengo la uongozi wa ligi. Mwaka huu the blues tunatangaza ubingwa mapema sana, misa ya kwanza.
Sawa mkuu tumekusikia vyema sana
hongereni looserfools
Liver inakuogopesha sana au??
hamjawahi kuniogopesha
Kwa mara ya kwanza naomba nitoe shout out za kutosha kwa Lovren akiwepa game kama 3 mfulilizo he can make a better move
Hii tactic ya BR ya kuacha wapinzani wamiliki mchezo inasaidia kiasi chake. Thanks BR siku hizi natembea kifua mbele kama nimepigwa ngumi ya mgongo
Magoli ya Hendo & Cou are the magnificent
Still Anti-sterring
Stunning all-round display from the boys today!
Considering we started the match without an out-and-out striker, credit to the Irish man himself (BR) the way he's managed to so effectively shuffle his pack these past few weeks.
Mie mpaka hapa tulipofikia kwenye msimu huu kama kuna Manager ambaye anastahili kupewa tuzo ya kuwa Manager of the year basi ni Brendan Rodgers. Jinsi Liverpool walivyoaanza vibaya msimu huu na kuwepo katika nafasi waliyofikia leo hii jamaa anastahili pongezi nyingi na sitashangaa kama wakiwemo katika tatu bora.