Mr. Wise
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 7,733
- 6,469
JE abaki,GJ aondoke
Yani kama ni ivyo bora waondoke wote, Enrique uyu wa leo si yule wa zamani, Enrique wasasa kanenepa na alidai atapungua kabla ya kurudi toka majeruhi, but ajabu karudi na mwili ule ule mzito aliokua nao akijiuguza, nadhani mlimuona baadhi ya games alivyokua anakosa kasi na kupotea. Mbaya zaidi upande anaocheza tayari kuna mtu ambaye ameshajiestablish (Moreno). Lingine tofauti kubwa na mwenzie yeye ni guu moja yani shoto tu, wakati Johnson ni multipurpose Kulia na Kushoto atakaa tukiwa na majeruhi pande hizo. LABDA cha kumuondoa Johnson ni mshahara anaolipwa mkubwa sana, so kama atagoma kupunguza nadhani BR atamuacha asipogoma Huyu BR amuachi sababu ya iyo sifa ya kucheza pande mbili left na right nadhani mmeona fans wengi walipiga kelele kumlaumu, na kutaka BR amdrop but BR aliziba masikio akawa anamuweka week in week out, mpaka alipoumia.
Mshahara tu ndio utamuondoa GJ kirahisi