Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

JE abaki,GJ aondoke

Yani kama ni ivyo bora waondoke wote, Enrique uyu wa leo si yule wa zamani, Enrique wasasa kanenepa na alidai atapungua kabla ya kurudi toka majeruhi, but ajabu karudi na mwili ule ule mzito aliokua nao akijiuguza, nadhani mlimuona baadhi ya games alivyokua anakosa kasi na kupotea. Mbaya zaidi upande anaocheza tayari kuna mtu ambaye ameshajiestablish (Moreno). Lingine tofauti kubwa na mwenzie yeye ni guu moja yani shoto tu, wakati Johnson ni multipurpose Kulia na Kushoto atakaa tukiwa na majeruhi pande hizo. LABDA cha kumuondoa Johnson ni mshahara anaolipwa mkubwa sana, so kama atagoma kupunguza nadhani BR atamuacha asipogoma Huyu BR amuachi sababu ya iyo sifa ya kucheza pande mbili left na right nadhani mmeona fans wengi walipiga kelele kumlaumu, na kutaka BR amdrop but BR aliziba masikio akawa anamuweka week in week out, mpaka alipoumia.

Mshahara tu ndio utamuondoa GJ kirahisi
 
Kwasasa GJ ni free agent, na anatafuta club abroad itayoweza kumlipa tofauti sabab tayari anajua akibakia LFC lazima alimwe huu mshahara.
 
Rumours : Jordan Henderson turned down an 80,000 a week deal last year, still mazungumzo yanaendelea, the bad thing is Barcelona want him on a free transfer next January.
 
Binafsi sioni ubora wa Origi, labda kama atakuja kuni prove wrong huku LFC, nahisi kama tumenunua Dany Pachecco ama Ngog mpya aisee. Plz BR let us go for Lacazzete ama Icard, Tabia ya Sturridge itatunyima mengi

Liverpool need new strikers tena watatu
 
Rumours : Jordan Henderson turned down an 80,000 a week deal last year, still mazungumzo yanaendelea, the bad thing is Barcelona want him on a free transfer next January.

Jordan Henderson huko Barca akacheze namba ya nani? Kuwa vice captain kunataka kumuotesha mapembe bwa' mdogo, kashajiona yuko level za kina Stevie G
Waingereza wana mentality ya ajabu sana, yaani Henderson anakataa 80k/week wakati mchezaji kama Ivanovic analipwa 75k na hana kelele ukizingatia ana mchango mkubwa sana na club yake kuliko huyu dogo
 
yan akiondoka atahaiumiz kichwa kuziba nafasi yake....
 
Jordan Henderson huko Barca akacheze namba ya nani? Kuwa vice captain kunataka kumuotesha mapembe bwa' mdogo, kashajiona yuko level za kina Stevie G
Waingereza wana mentality ya ajabu sana, yaani Henderson anakataa 80k/week wakati mchezaji kama Ivanovic analipwa 75k na hana kelele ukizingatia ana mchango mkubwa sana na club yake kuliko huyu dogo

Alafu hawa kwao iyo mishahara haina makato ya ajabu kama kwa foreigners, but kwa msaada anaotoa anastahili kuongezewa mshahara, ila cjui anataka ngapi kama aliipiga chini 80,000/week
 
Kwa kuguess tu atataka 120k au karibia na huko kama kina Luke Shaw
Kama anajiona anajua sana athubutu kwenda huko Barca, ila ningemshauri kwanza amuulize Song kilichompata kule
Binafsi, hakuna a better DM duniani kama Mascherano, pamoja na kuwa anachezeshwa kama beki huko Barca lakini cheki performance yake kwenye World Cup.
Sasa kama Mascherano kageuzwa beki wa kati, Henderson ataenda kuwa back up wa beki 2 na akirudishwa EPL atapelekwa kwa mkopo QPR
 
Jordan Henderson huko Barca akacheze namba ya nani? Kuwa vice captain kunataka kumuotesha mapembe bwa' mdogo, kashajiona yuko level za kina Stevie G
Waingereza wana mentality ya ajabu sana, yaani Henderson anakataa 80k/week wakati mchezaji kama Ivanovic analipwa 75k na hana kelele ukizingatia ana mchango mkubwa sana na club yake kuliko huyu dogo

Hahahahaha!!!!

BR hawez kumpa 80k na pia hana uwezo wa kuikataa hiyo 80k (hana ubavu huo)...hizo ni Rumours tu!!!

LFC wakipanda sana watampa 65k per week!!! kwa sterling wamegota kwenye 75k (naskia Agent anakaza, lakin Dogo hana Neno), na Agent hajui kama anadela na watu wa biashara (FSG) sahiv wamekaza hapo coz wanajua Si madrid wala Barca au Bayern watakao kuja kwa RS sahiv manake bado hajaiva kama wanavyotaka wao, mpaka kwenye 22-24, ndo fujo zitaanza!!!

Coutinho huwa hana mbwembwe, dogo alishajisemea anataka kuacha kitu LFC (kama SG) lakin kama akitekenya tu sahiv, FSG lazima wadate, Manake Barca and Bayern zinamwangalia sana sahiv, especially Barcelona, na tricky yao kubwa ni ya kila Siku, Neymar kuongea sana kuhusu Coutinho kwenye media (na ana influence kubwa sana kwa phil, coz ni buddies tangu wakiwa wadogo sana, kama David Luiz na Tiago silva), na najua BR na FSG wanalijua hilo!!!!

Henderson anapewa 65k hawez kuchomoa huyo, akitoka hapo ataenda wapi??? na hawez kutoka nje ya England yule, ni waoga sana kujaribu soccer nje ya UK..
 
Rumours : Jordan Henderson turned down an 80,000 a week deal last year, still mazungumzo yanaendelea, the bad thing is Barcelona want him on a free transfer next January.

hahahahahah!!!

akina Muddock hao, lazima wangetaka kuuza magazet baada ya magoal yake dhidi ya Man city na Burnley..

last season, pacha wake Mr. Aaron Ramsey nae alihusishwa na kwenda Barcelona!!!

Yaya Toure alionekana Surplus kule, na kaondoka hata pengo lake halikuonekana hata kidogo, ndo wakatakiwe hao vichaa wawili!!!!

Itakuwa ni zaid ya zali kama aliyoipata kipind hiki bwana Mathieu kwenda Barca au Kipind kile bwana Adebayor kuchezea Madrid!!!!
 
Kwa kuguess tu atataka 120k au karibia na huko kama kina Luke Shaw
Kama anajiona anajua sana athubutu kwenda huko Barca, ila ningemshauri kwanza amuulize Song kilichompata kule
Binafsi, hakuna a better DM duniani kama Mascherano, pamoja na kuwa anachezeshwa kama beki huko Barca lakini cheki performance yake kwenye World Cup.
Sasa kama Mascherano kageuzwa beki wa kati, Henderson ataenda kuwa back up wa beki 2 na akirudishwa EPL atapelekwa kwa mkopo QPR

Ni kama vile Kyle Walker wa Spurs alipokuwa Linked kwenda Barcelona, Au Dembele kwenda Madrid kipind kile wakat yupo Fulham!!!

Henderson hawez kuwafanya Barca wakae vikao kisa yeye!!!
 
Masch alipoondoka kipind kile LFC iliyumba sana kwenye midfield mpaka Lucas (wa kabla ya injuries) alipokuja kukaa sawa, lakin kaenda Barca kule, katupwa kwenye Back-line kule!!! na katikati Barca hawajapungukiwa na chochote!!!

Asa Mr. Hendo ndo aende Barca jamani!!!!! ukute mwenyewe alivyozisoma hizo rumours kwenye Medias alicheka sana!!!!
 
Hivi mko serious na Ings?
 
Labla anaenda Barcelona B, lol
 
Kwa CAM za LFC pale, ni EMRE CAN ambaye baada ya miaka 2-3, Madrid na Bayern watakuja kwa nguvu zote Kumng'oa LFC!!!

Mark this POST.
 
Ings, deal ishakamilika yule!!!

labda LFC waamue kuivunja wenyewe!!!

But, naweza nikasema ni "kama" LFC player tayari!!!!

Uamuzi upo kwa BR!!!

Is he that good? Au ni another Ricky Lambert?
 
Back
Top Bottom