Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa tumefanya vibaya sababu mwaka jana tulikuwa wa pili
Kuchelewa kupata formation BR kumetuumiza sana lkn FA ni letu
Mechi 2 za mwisho DS simuelewielewi kabisa.
Apigwe bench kama 2 matches hivi ashike adabu.
Sante sn kaka yake everlenk. Mi tayari nimesha anza kusheherekea ubingwa wetu. Nasubiri kukabidhiwa kombe tu siku wewe na timu yako mkija darajani mwezi wa tano tarehe 9.
Darajani safari hii hamna dakika 120 kama mlivyo chomoka Capital One Cup
Safari hii ndani ya dakika 90 nakupiga ingawaje utakuwa tayari bingwa kipindi hicho
Yani bora tufungwe na timu ndogo kulikoni hizi kubwa na hasa LFC. Siku hiyo nakuchapa km mtoto.
Bado sana na j2 niko upande wa liverpool ila mmh pagumu
Mechi 2 za mwisho DS simuelewielewi kabisa.
Apigwe bench kama 2 matches hivi ashike adabu.
Worry not ma braza, Jana tulikua tuna save energy kwa ajili ya j2
Mm sipotezi tena game ktk mechi zilizobaki
Monaco leo wanaaga uefa,
J2 unapigwa hapo hapo kwenu......
Arsenal hawezi mtoa Monaco
Wala sitaangalia game maana najua 100% Arsenal is OUT
Mashabiki wa Man U kwa kumchapa Tots wanajipa sana moyo,wamesahau wakati wao wamemchapa Tots kwao OT mm nilimchapa idadi hiyo hiyo ya mabao nikicheza ugenini
Tots nimemchapa home and away just to remind them
Kaokoa Jahazi
Ntuzu mwepesi sana wa kusahauKiukweli huoni km ManU kumfunga Tots majuzu kumeongeza hari na kujiamini kwa timu na watakuletea usumbufu sn ata kukushinda siku hiyo? Huoni kwamba jana mmecheza ktk kiwango kibovu timu yote na kocha wenu mnawazo kutokana na game inayokuja baada ya kuwaona ManU wako ktk ubora kiasi...huoni km hili lilikuwepo jana?
Mechi 2 za mwisho DS simuelewielewi kabisa.
Apigwe bench kama 2 matches hivi ashike adabu.
Ntuzu mwepesi sana wa kusahau
Weeks 3 tu zilizopita hapo hapo Liberty Stadium Man U walipigwa kama watoto na kuzidiwa kila kitu uwanjani
Mm nimeshinda jana hapo hapo palipo mshinda Man U tena Coutihno na akina DS wakicheza chini ya kiwango!
Anfield namaliza game dakika 45 tu za kwanza