Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sante sn kaka yake everlenk. Mi tayari nimesha anza kusheherekea ubingwa wetu. Nasubiri kukabidhiwa kombe tu siku wewe na timu yako mkija darajani mwezi wa tano tarehe 9.

Darajani safari hii hamna dakika 120 kama mlivyo chomoka Capital One Cup

Safari hii ndani ya dakika 90 nakupiga ingawaje utakuwa tayari bingwa kipindi hicho
 
Last edited by a moderator:
Darajani safari hii hamna dakika 120 kama mlivyo chomoka Capital One Cup

Safari hii ndani ya dakika 90 nakupiga ingawaje utakuwa tayari bingwa kipindi hicho

Yani bora tufungwe na timu ndogo kulikoni hizi kubwa na hasa LFC. Siku hiyo nakuchapa km mtoto.
 
Mashabiki wa Man U kwa kumchapa Tots wanajipa sana moyo,wamesahau wakati wao wamemchapa Tots kwao OT mm nilimchapa idadi hiyo hiyo ya mabao nikicheza ugenini

Tots nimemchapa home and away just to remind them

Kiukweli huoni km ManU kumfunga Tots majuzu kumeongeza hari na kujiamini kwa timu na watakuletea usumbufu sn ata kukushinda siku hiyo? Huoni kwamba jana mmecheza ktk kiwango kibovu timu yote na kocha wenu mnawazo kutokana na game inayokuja baada ya kuwaona ManU wako ktk ubora kiasi...huoni km hili lilikuwepo jana?
 
Ntuzu mwepesi sana wa kusahau

Weeks 3 tu zilizopita hapo hapo Liberty Stadium Man U walipigwa kama watoto na kuzidiwa kila kitu uwanjani

Mm nimeshinda jana hapo hapo palipo mshinda Man U tena Coutihno na akina DS wakicheza chini ya kiwango!

Anfield namaliza game dakika 45 tu za kwanza
 
Last edited by a moderator:
Mechi 2 za mwisho DS simuelewielewi kabisa.

Apigwe bench kama 2 matches hivi ashike adabu.

DS tangu anarudi Kutoka majeruhi, his pace and movements zimepungua, He needs time kurecover, Kakaa nje muda mrefu!!

But, Siyo wa kuanza kwenye big matches, atakuwa anaslow mashambulizi!!

I'd go with RS upfront..
 
JOE ALLEN Vs. SWANSEA

90% Pass Accuracy
3 Chances Created
100% take on Success
4/6 tackles won
3 interceptions
 
Ntuzu mwepesi sana wa kusahau

Weeks 3 tu zilizopita hapo hapo Liberty Stadium Man U walipigwa kama watoto na kuzidiwa kila kitu uwanjani

Mm nimeshinda jana hapo hapo palipo mshinda Man U tena Coutihno na akina DS wakicheza chini ya kiwango!

Anfield namaliza game dakika 45 tu za kwanza

Mkuu wakati mwingine unatakiwa kutizama hii EPL na timu zote beyond, maana ligi kwa sasa imeshakwisha kila mtu anang'ang'ana kushika kile alichonacho na kamwe hataki kimtoke.....wewe km ndio unaamka sasaivi umekwisha kuchelewa mkuu. ManU J2 atakuchapa tena hutoamini maana wanajua umuhimu wa huo mchezo kua km ni fainal au ni kupoteza nafasi ya kushiriki CL next season kitu ambacho ni malengo yao makubwa msimu huu. Lazima washikilie kile walichonacho km utajitahidi sn utapata sare...ManU wamedhihirisha hili kwa Tots juzi na kwako wanakuja kukamilisha mpango wao ili usiwaletee fujo tena.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom