Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani spurs leo utafikili walilazimishwa kucheza, hawana ushindani, wapo wapo tu wapuuzi hawa, yaani leo wangekaza, kesho tukafanya yetu then wiki ijayo tukamngonga huyu manure ili arudi sehemu yake stahiki
grafani11 mnasahau na Approach ya Pochettino kwenye ile Game!!!Man U ni timu nzuri, ukweli huwa inaharibiwa na upangaji wa LVG.
LVG upangaji wake ndiyo umempa Wenger jeuri ya kuongea FA, ila kwa kikosi kilichomchapa Spurs, Arsenal asingetoka salama. Rooney sasa anafurahia namba anayocheza.
Mkuu wakati mwingine unatakiwa kutizama hii EPL na timu zote beyond, maana ligi kwa sasa imeshakwisha kila mtu anang'ang'ana kushika kile alichonacho na kamwe hataki kimtoke.....wewe km ndio unaamka sasaivi umekwisha kuchelewa mkuu. ManU J2 atakuchapa tena hutoamini maana wanajua umuhimu wa huo mchezo kua km ni fainal au ni kupoteza nafasi ya kushiriki CL next season kitu ambacho ni malengo yao makubwa msimu huu. Lazima washikilie kile walichonacho km utajitahidi sn utapata sare...ManU wamedhihirisha hili kwa Tots juzi na kwako wanakuja kukamilisha mpango wao ili usiwaletee fujo tena.
katika msimu wake wa kwanza LFC 2012/2013, Round ya pili ya League BR alipoteza game 3 tu!!
Katika msimu wa Pili, 2013/2014, Round ya Pili, BR alipoteza game 1 tu..
Now, 2014/2015, katika round ya Pili, hajapoteza mchezo wowote mpaka sasa katka PL, Na its March already!!!!
Monaco leo wanaaga uefa,