Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Why not?
Same Old story.
Aya wakuu kila mmoja abaki na anavoamini ila mwisho wa siku tutakuja kuona mbivu na mbichi.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Why not?
Same Old story.
Aya wakuu kila mmoja abaki na anavoamini ila mwisho wa siku tutakuja kuona mbivu na mbichi.....
It makes sense!!Time will tell :yo:
Nafikiri umepata jibu lile unapenda kusikia.......
Mkuu nashangaa kuona bado mna matumaini na top four... niliwambia hapo nyuma kua baada ya huu mchezo sasa tunaweza tukaongea....nyie top four hamtoingia ata iweje...mna michezo miwili mikubwa alafu ugenini amabayo lazima mfungwe....Wa chelsea na wa Arsenal na tayari ManU wako juu yenu points 5 kitu amabcho hatoweza kumshusha ata sijui itokee nini....BR anapaswa kulaumiwa sn ktk hii michezo mikubwa maana amekua anafungwa tu, hawezi kuwaanda vijana wake kukabiliana na hizi timu kubwa....atakua anawabahatisha Man City na Arseanl lkn sio ManU au Chelsea na siku kale kazee Wenger kakiamka vibaya katalichinja jogoo hapohapo kwenu....
Jipangeni msimu ujao wakuu nawapeni pole sn kwa hilo...
1.Team moja kumtawala mwenzake tunahesabu clear chance walizotengeneza ni ngapi!Haya sijui kutusukuma nyuma hayana maana hata Swansea walitusukuma nyuma
2.Man U walitengeneza nafasi moja tu na wakafunga kipindi cha kwanza=fact
3.Liverpool tulitengeneza nafasi moja tu nzuri tena zaidi ya Man u kipindi cha kwanza tukashindwa kufunga=fact
4.Rooney hakumkanyaga makusudi keeper wetu?Kwa nn Skrtel tu aadhibiwe wakati Rooney alifanya kosa kama lile lle tena yy akitangulia?
Smear campaign against us
sikuona kama tulipotezwa dakika zote tisini za mchezo, kama tulipotea basi ni dk30 za mwanzo tu, pale hata ingekuwa yanga ingeshinda ile game ten men, mixer penalt unategemea nini? sisi tukifanya makosa tunaadhibiwa wao refa anaangalia tu, di maria kadaka mpira ndani ya uwanja refa kaangalia tu, jones anacheza rafu za hovyo bila wasiwasi kwani anajua nothin will hapen
Mkuu mi huwa sio muumini wa "conclusion" kabla ya Event yenyewe!!Ulichokiongea sasa ndicho sahihi ili ikija kutokea tofauti na ulivyotaka ku conclude hautaweza kuhukumiwa kabisa
Mkuu mi huwa sio muumini wa "conclusion" kabla ya Event yenyewe!!Ulichokiongea sasa ndicho sahihi ili ikija kutokea tofauti na ulivyotaka ku conclude hautaweza kuhukumiwa kabisa
Yani unataka kusema Man U msimu huu alivyo mbovu atapona kwa City, Arsenal, Chelsea, Kwetu, na kwa Everton
1.Team moja kumtawala mwenzake tunahesabu clear chance walizotengeneza ni ngapi!Haya sijui kutusukuma nyuma hayana maana hata Swansea walitusukuma nyuma
2.Man U walitengeneza nafasi moja tu na wakafunga kipindi cha kwanza=fact
3.Liverpool tulitengeneza nafasi moja tu nzuri tena zaidi ya Man u kipindi cha kwanza tukashindwa kufunga=fact
4.Rooney hakumkanyaga makusudi keeper wetu?Kwa nn Skrtel tu aadhibiwe wakati Rooney alifanya kosa kama lile lle tena yy akitangulia?
Smear campaign against us
Huyu ndiye "siyo muumini wa conclusion kabla ya event yenyewe"!!
Huyu ndiye "siyo muumini wa conclusion kabla ya event yenyewe"!!
kipigo cha jana kibaya sana, tumekua wapoleeee
I still think starting Sturridge slows our attack down, and sub ya ---- wasnt neccesary
Doh! Sawa basi United haikutawala, Loserfools walitawala lakini wakaishiwa kupewa dozi. Nani mjanja?!?
Unatia huruma ewe kigeugeu kama Zitto Kabwe. Nashangaa mods hawajakupa bans kama walivyopewa Root na Salamander kwa kusema wafanywe iwapo R. Madrid hawatashinda.
Nakupinga kwa hoja!
Kutawala bila ku create any chance ni kutawala gani sasa?Mlikuwa mnataka Herera akiwa anapiga pasi golini kwake Liverpool wakamkabe?
Siwezi kujitoa sababu nimepoteza mchezo kwa ajili ya SG sio soka la uwanjani
Daaah kumbe habari ya Skrtel ipi hapa tayari!
Huwa siwaelewi kabisa FA kwa kweli!Atakosa mechi 3 daaah
kipigo cha jana kibaya sana, tumekua wapoleeee
I still think starting Sturridge slows our attack down, and sub ya ---- wasnt neccesary