Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

ngoma imelala hii mkuu Invisible na Rev Kishoka poleni sana
 
Duh....ama kweli..Nilikuwa nimeamua nisionje bia hii weekend..lakini hapana ngoja nikatafute hata kichupa kimoja. Liverpool!!! You will never walk alone....sasa now the game has started...the prophets of doom..walikuwa wametuzika..duh..ama kweli Liverpool mmenipa raha leo..

Trully, the season for men has started and the boys ofcourse should watch out...

Congs kwa wana wa bwawa la maini popote mlipo...

Ushindi wa leo ni kama wa Wenje dhdi ya Masha! Lol...
 
Poleni san wana Chelsea sisi man u tunafurahia tu.
 
Terry is Terrible, ule haukuwa mpira wa kupitwa na Torres! Leo tunafunga tela...

I love this! Weakness ya huyu bwana (pamoja na vibwagizo vya misifa anayoimbiwa na waingereza) ni kwamba hana mbio.
 
Leo tumefulia.. Hongereni Liverpool, mlikuja na nia ya ushindi. Anzia Malouda, Anelka, Mikel, Terry, Ramirez kigugumizi kilikuwa kikubwa na huyo Kalou, sijui kwa nini anaanzishwa badala ya Sturridge.
 
Leo tumefulia.. Hongereni Liverpool, mlikuja na nia ya ushindi. Anzia Malouda, Anelka, Mikel, Terry, Ramirez kigugumizi kilikuwa kikubwa na huyo Kalou, sijui kwa nini anaanzishwa badala ya Sturridge.
Kaka nimefarijika na friendly congrats

Leo kwangu, kesho kwako
 
Invisible.... kwa hesima ya the kops naomba hii sredi uipeleke kule kwetu ili kuleta uhai, tumepoa sana
 
ukitaka kwenda juu lazima utumie ngazi imara. Kwa hiyo hapa liver wanatumia ngazi (chelsea) iliyo imara
Mkuu nimeipenda sana hii post yako...imekaa kifalsafa sana ukizingatia msimu huu tumenyanyasika sana!!Hii ngazi IMARA tutaitumia ipasavyo!
 
Hii PL haieleweki kabisa, yaani hakuna consistence among top 4, hongera kwa Acid na Kop wote, commiseration to chelsea troupe
 
Hii PL haieleweki kabisa, yaani hakuna consistence among top 4, hongera kwa Acid na Kop wote, commiseration to chelsea troupe
nothing but love bro'

ila bado tunapumulia mashine
 
Tatizo la Chelsea walijua hii mechi watakwenda kujichukulia point tatu bila kutoa jasho lol....!! Hongereni Liverpool kwa kuwapunguza speed hawa jamaa.

Kama alivyosema Kweli hii season haina consistence, in form Chelsea wana point 25 out of form Manchester United wana point 23 ado ado tunapunguza gap.
 
Good job LFC......Sasa tunaweza kupumuwa tumeshatoka ICU.

Hakuna mchezaji nilokuwa namchukia katika team na nilikuwa sitaki hata kumuona akichezea Liverpool kama Lucas, but jana alikuwa man off the match in my opinion.
 
Back
Top Bottom