Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyu Moreno kila siku anawatengenezea watu magoli
 
Naona majogooo yanafanya yao hapa..
Rogers katika ubora wake.. Malafyale
 
Last edited by a moderator:
Liverpool wako pungufu

This is 11 vs 10......

11vs11 hakuna wa kumfunga Liverpool

C.c. Malafyale
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu hapa KOPS anajua why Toure anacheza badala ya Lovren?BR kocha hovyo kabisa
Naona Arsenal inanyonyoa manyoya ya Majogoo yako. Nimewasikia wakimaliza manyoya, wanakata mbawa zao.
Mhh,Wenger amekinukisha.
Arsenal wakiendelea kukanyaga gesi/mafuta kila jogoo atapata zawadi yake leo.

Zile dakika 6 za mwanzo za mchezo zilionesha kuwa leo Arsenal wanachinja majogoo.
Ngoja tuone nngwe ya pili. Mpira ni dakika 90.

Baada ya dakika 12 nilifikiri wanacheza charity match au friendly match.
 
I have never been a fan of Allen aisee, huyu mtu hana hata sifa ya kucheza hizi team kubwa za big four. Kakosa vitu vingi sana, nafasi yake ni sawa na kiungo wa kusupport, make sure una kiungo mzuri kisha yeye awe kama msaidizi wa kiungo uyo katikati
 
sturridge aanzie benchi, anaua sana moves

aje second half kama impact player

Nadhani utakuwa umebadilisha mawazo Ndugu, sina amani na toure, Lovren had a rough start ila nina imani he is far better kwa toure.

Moreno, yupo off form sana, kwa goli zote mbili wamepitia kwa moreno, Sakho ni kama anacheza namba mbili. Timu nzima haiperform ukitoa Markovic na Emre Can

Kwenye Second half, ampandishe Can kwenye midfield, atoke Allen au Lucas, Sturridge aingie nafasi ya Sterling.

Napenda kuwa salimu sana Kopites,
 
Back
Top Bottom