Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jamaa kaapologize kisanii sana, funika kombe mwanaharamu apite..isome vizuri hiyo statement

nadhani ili awazibe mdomo tu..maana kina fergie walishaanza kuongea na pale ukiangalia vizuri evra alikuwa anamsubiri suarez ampe mkono afu jamaa kamruka mbaya..
 
nadhani ili awazibe mdomo tu..maana kina fergie walishaanza kuongea na pale ukiangalia vizuri evra alikuwa anamsubiri suarez ampe mkono afu jamaa kamruka mbaya..

Mkuu game nilichelewa kuicheki, ila kuna picha nimeziona leo inaonekana ka Evra alipewa mkona na Suarez ila akawa anajisikilizia kupokea ndo maana Suarez akaamua kumpotezea na yeye (kama picha zitakuwa sio za kutengeneza)
 
Mkuu Pazi, heshima sana kaka! Binafsi issue ya Suarez naichukulia tofauti sana... Waingereza wamei-treat kwa unafiki wa hali ya juu, man u wanachotamani ni kuiona Liverpool ikididimia, tazama coment za akina romney kwenye tweeter wakati wa mechi yetu na Spurs na matamshi ya fungus kuwa Suarez asiichezee tena Liver! ukirudi kwenye kesi angalia statement ya evra, alikiri kumtolea MATUSI MABAYA Suarez tena mara nyingi! Tuhuma za evra hazina shahidi, analalamika kuitwa NEGRITO, na Suarez anakubali kumuita hivyo, hiyo ni NIGGER/MTU MWEUSI/ A BLACK MAN. FA kwa chuki zao binafsi wakaona ni fursa ya kumkomoa Sepp Blatter wa FIFA. Maana alitamaka hadharani kuwa matukio kama hayo yanatakiwa kumalizwa baada ya mechi kwa wahusika kupeana mikono tu na wala siyo issue ya kupigìshana makelele na kuendesha kesi za kisanii.. Waingereza wakaja juu. Sasa jiulize, kwa nini evra hajaadhibiwa kwa matusi mabaya anayokiri mwenyewe kumtolea Suarez? Hata baada ya Liverpool kuhoji fa wako kimya. Suarez alikosea kuahidi timu yake kuwa hana tatizo na kusalimiana halafu akafanya kinyume, lkn keshaomba msamaha na fa hawawezi kumwadhibu kwa suala hilo, lbd watafute lingine, sasa tusubiri wataibuka na unafiki gani kwa suala la evra kwenda kum-taunt na kum-provoke Suarez.
 
Punainen red, hiyo comment yako kidogo naikubali kuhusu media za UK zina Anti liverpool hasa SKY! Suarez anakosa kubwa hata mie nilisoma ile statement Evra kakiri yeye ndio alianza kwahiyo aliutafuta ugomvi na kakiri katukana sababu kakiri katukana yy pia angepigwa hata small fine bila ban kama FA wanafanya kazi yao, na sehemu kubwa zaidi Evra kasema kwenye ile Statement hazani kama Suarez mbaguzi, hata kama yy mbaguzi ila Evra alishasema hazani kama ni mbaguzi na kama wanafata ya Evra walitakiwa wafanye Evra alivyosema sio uamuzi wao mbona Terry wameirusha upande wa pili na mpaka ligi iishe June isiwe time ya Aibu kwa FA na Terry FA wanamchezo wa kupiga Ban wageni ila wao watu wao kama Rooney wanaenda kumtetea ban FA hawana msimamo ni kweli Blatter walikuwa na machungu naye sababu aliirusha World Cup Russia. Kama United Fan kwenda na nguo za KKK wangefanya Fan wa LFC Media ingepiga kelele mpaka mwisho wa ligi ila mie msimamo wanGu Kenny atolewe yy ndio Chanzo ya mengi naye. Sawa nakusema UK lazima wampe Mkono Mugabe.
 
Nilidhani hii issue ilishaisha,Luis Suarez alikosea kutompa mkono Evra wakati kabla ya mechi alimwambia Daglish atamsihka mkono.FA nao wameshindwa ku-ihandle hii issue vizuri nafikiri ni bora wangejaribu kuwakutanisha Evra na Suarez kabla ya mechi wakamaliza tofauti zao
 
Heee! Jamani majogoo mpo wapi?! Yaani nimekuja speed hapa nikijua nitapata kinachoendelea kumbe mmenogewa na mambo mengine ya weekend...!!! Wacha niende bbc.
 
Mpira umeisha kwa scoreline ileile 6-1. Skrtel alifunga la kwanza, Carroll la tatu na Suarez akapiga la sita! Goli la pili,nne na la tano jamaa wamejifunga wenyewe. Pia Suarez alikosa penalty, baada ya dakika chache ndo akafunga la sita.
 
Jumapili ijayo tarehe 26 feb tuko Wembley kukipiga na Cardiff kwenye fainali ya Carling Cup... Na ktk last eight za FA tumepangiwa kukutana na Stoke.....Kila la heri Majogoo....
 
Jumapili ijayo tarehe 26 feb tuko Wembley kukipiga na Cardiff kwenye fainali ya Carling Cup... Na ktk last eight za FA tumepangiwa kukutana na Stoke.....Kila la heri Majogoo....
Lazima tuwakanyage Stoke City. Halafu tumebahatika kukipga nyumbani. You will never walk alone
 
Chijui maringo yalikuwa ya nini .... ..... .... tetesi wameomba msamaha wasamehewe Surez na King Kenny ooops queen wengine wanachema.

when dove cries

lets give it up for Mr Ass in Wenger, and his b!tch a$$ poodle aka "leave1"

BRAVO LIVERPOOL, THIS IS HOW WE DO IT, 7 YEARS EMPTY HANDS AND STILL COUNTING.... kHEKHEKHEHEKEHEHEHEHEHEKEHEKHEKHEKHEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
Mwenzenu keshaomba msamaha. Nyinyi endeleeni kulamba miguu yake na ****** wake.

Its politico game dude.... he took it to the chin!!! Like any other sportsman, but his heart is pure

Hivi leo nikiambiwa nimshike mkono MS unadhani ntafanya??? never. and i will stick to my gun forever.... Suarez did the right thing, believing in his guts (i have changed my mind and now i support him not shaking hands with a muppet
 
Ile team kweli imewaogopa Liverpool na ilikuwa na presha kabla ya mechi.One game three own goals!!!two of them from the same man(L.Bridcutt)
 
Its politico game dude.... he took it to the chin!!! Like any other sportsman, but his heart is pure

Hivi leo nikiambiwa nimshike mkono MS unadhani ntafanya??? never. and i will stick to my gun forever.... Suarez did the right thing, believing in his guts (i have changed my mind and now i support him not shaking hands with a muppet
Pamoja sana mkuu... YNWA.
 
Nilependa team aliyopanga jana KD, nadhani pale akirudi Agger badala ya Carra na Kuyt/Bellamy akacheza nafasi ya Henderson we have a perfect first eleven!! Gerrald was outstanding in the middle so as Downing on the left side!! ynwa..
 
Sure mkuu, ni mara ya kwanza Carroll, Suarez na Gerrard kuanza pamoja na walionyesha kuwa wanaweza kuwa tishio wakizoeana vizuri.
 
Helloooo----Wazeiya mupo???! Leo majogoo tuko ndani ya Wembley.... Kila la here The Reds woooote! YNWA.
 
Helloooo----Wazeiya mupo???! Leo majogoo tuko ndani ya Wembley.... Kila la here The Reds woooote! YNWA.

Tupo pamoja mkuu, leo ndiyo tunachukua ndoo ya Carling then tunafukuzia FA na ile 4th spot on EPL...Hopefully next year we will be a genuine title contenders..YNWA
 
Back
Top Bottom