Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mechi ya leo ni moja ya ushahidi kwa nini Liverpool, inashindwa kuchukuwa ubingwa wa ligi kuu ya England kwa miaka 18 sasa: Wanaangalia zaidi kushinda mechi moja moja dhidi ya vigogo ili kufurahisha fans wao kuliko kuwa na mikakati makini na mahesabu kuchukuwa ubingwa. Kwa mfano Msimu huu Man wamefungwa na timu vigogo tu, yaani Arsenal na Liverpool, lakini siyo zile vibonde ambazo ndizo za kujichotea pointi.

Liverpool imefungwa na timu vibonde tu msimu huu -- M'Borough na Spurs na kutoka sare na timu nyingine 10, nyingi zikiwa vibonde. Kuchukuwa ubingwa siyo kuifunga Man au Chelsea tu (ingawa ina raha yake hasa kwa fans). Kuchukuwa ubingwa ni namna ya kuweka mikakati ya vipi kujilimbikizia pointi katika mechi 38.

Kila msimu kuna mashindano manne yaani PL, CL, FA Cup na carling Cup, lakini inavyoelekea hawajui priorities zao na in the end hutoka kapa kila baada ya msimu. Bila shaka mashindano kama vile FA Cup na Carling yanawachanganya. Hapo ndipo Mzee Fergie huonyesha umahiri wake.

Leo Liverpool wamepata ushindi mnono dhidi ya Man, tena kwao na wataushangilia sana ushindi huo huku wanajua kuwa Man watacheka mwisho kwani sasa hivi kilichobakia ni kila timu kuiombea nyingine ifungwe katika mechi zilizobakia -- kitu ambacho ni mtihani zaidi kwa Liveropool kuliko Man. Kwa mfano Man wanaweza kuafford kufungwa hata mechi mbili kati ya zilizobakia (nafikiria Man City na Arsenal) na bado wakaibuka mabingwa.
 
i beg to differ [strongly], sijawahi soma au kusikia kwamba priority ya liverpool ni kuzifunga top four au man specifically. yesterdays match was a "make or break" and they did make something out of it. you just cant take yesterday' results and use against Liverpool for teh past 17 years.

Not sure kama wewe ni shabiki au mpenzi wa football... POLE FOR THE SHODDY ANALYSIS
 
Mechi ya leo ni moja ya ushahidi kwa nini Liverpool, inashindwa kuchukuwa ubingwa wa ligi kuu ya England kwa miaka 18 sasa: Wanaangalia zaidi kushinda mechi moja moja dhidi ya vigogo ili kufurahisha fans wao kuliko kuwa na mikakati makini na mahesabu kuchukuwa ubingwa. Kwa mfano Msimu huu Man wamefungwa na timu vigogo tu, yaani Arsenal na Liverpool, lakini siyo zile vibonde ambazo ndizo za kujichotea pointi.

Liverpool imefungwa na timu vibonde tu msimu huu -- M'Borough na Spurs na kutoka sare na timu nyingine 10, nyingi zikiwa vibonde. Kuchukuwa ubingwa siyo kuifunga Man au Chelsea tu (ingawa ina raha yake hasa kwa fans). Kuchukuwa ubingwa ni namna ya kuweka mikakati ya vipi kujilimbikizia pointi katika mechi 38.

Kila msimu kuna mashindano manne yaani PL, CL, FA Cup na carling Cup, lakini inavyoelekea hawajui priorities zao na in the end hutoka kapa kila baada ya msimu. Bila shaka mashindano kama vile FA Cup na Carling yanawachanganya. Hapo ndipo Mzee Fergie huonyesha umahiri wake.

Leo Liverpool wamepata ushindi mnono dhidi ya Man, tena kwao na wataushangilia sana ushindi huo huku wanajua kuwa Man watacheka mwisho kwani sasa hivi kilichobakia ni kila timu kuiombea nyingine ifungwe katika mechi zilizobakia -- kitu ambacho ni mtihani zaidi kwa Liveropool kuliko Man. Kwa mfano Man wanaweza kuafford kufungwa hata mechi mbili kati ya zilizobakia (nafikiria Man City na Arsenal) na bado wakaibuka mabingwa.
Ni dhahiri Huijui Histori Ya Liverpool Wewe Unajuwa Livepool baada ya Miak Mingapi Kupita Ndio Wanapata Ushindi Old Traford au Mara Ya mwisho Kulivujnja Daraja La Stanford? Utawala Wa Liverpool Katika Soka la Uingereza lilianguka Kufutia Kufungiwa Kwa Club Hiyo Na Club Zingine Za Uingereza Kufuatia Maafa Ya Hysels Na Yale Ya Nothingham Lakini Kumbuka Na Mbio Zote Mlionazo Katika kipindi Cha miongo Miwili Lakini Hujaivuka Record Ya Liverpool Na mtahangaika Saana Kufungwa Ni kufungwa Tu Hata Ulipofungwa 2-1 ilikuwa Ni Kawaida Lakini Kufungwa 4-1 Ni Aibu Tena Kwako Hatimaye Liverpool Wamefanya Walichoshindwa Wengi Kwa Kipindi Cha Miaka 10
 
Ni dhahiri Huijui Histori Ya Liverpool Wewe Unajuwa Livepool baada ya Miak Mingapi Kupita Ndio Wanapata Ushindi Old Traford au Mara Ya mwisho Kulivujnja Daraja La Stanford? Utawala Wa Liverpool Katika Soka la Uingereza lilianguka Kufutia Kufungiwa Kwa Club Hiyo Na Club Zingine Za Uingereza Kufuatia Maafa Ya Hysels Na Yale Ya Nothingham Lakini Kumbuka Na Mbio Zote Mlionazo Katika kipindi Cha miongo Miwili Lakini Hujaivuka Record Ya Liverpool Na mtahangaika Saana Kufungwa Ni kufungwa Tu Hata Ulipofungwa 2-1 ilikuwa Ni Kawaida Lakini Kufungwa 4-1 Ni Aibu Tena Kwako Hatimaye Liverpool Wamefanya Walichoshindwa Wengi Kwa Kipindi Cha Miaka 10 [/B]

Mkuu umenena neno haswaa, its more than the current top four when it comes to liverpool vs. manure!!! if one reads history of english soccer, utaelewa zaidi maana ya mechi na thamani ya kupata premier league championship

Ila tusiseme sana, huwezi jua huyo ZM aliyetoa kauli yake ana umri gani
 
...acheni kumtisha dogo nyie, Liverpool mmebahatisha jana kumfunga Man U imekuwa keleeeeeele!... hebu angalieni Graph yenu hapa! kama ingekuwa ni mgonjwa, hiyo "chini-juu-chini" tayari mgonjwa angeshakuwa kwenye 'vegetative state' 😀

...acheni kumtisha dogo nyie, liverpool mmebahatisha jana kumfunga man u imekuwa keleeeeeele!... Hebu angalieni graph yenu hapa! Kama ingekuwa ni mgonjwa, hiyo "chini-juu-chini" tayari mgonjwa angeshakuwa kwenye 'vegetative state' :d

lol... Really lol...
 
Huo ndio utofauti wa Manutd na Liverpool may be more specific btn SAF na Benitez (and their fans)...

January kipindi ambacho Liverpool walikuwa kileleni kwa jumla ya tofauti ya saba dhidi ya Manutd kwa Benitez he thought tayari one hand washalishika kombe la EPL, akanza ku-pressurize bodi ya Liverpool impe uhuru zaidi wa kusajili despite the fact that tangu atue Liverpool, within 4 years tu amesajili 51 players na ni kati yao watatu tu, Torres, Mascherano na Skritel wana prove consistency till to date. The rest of the players, wewe mpenzi wa Liva u know what they are doing. What happen later sijui, lakini so far so gud Liva ni WATATU nyuma ya Manutd kwa Pointi NNE na ONE game in hand.

Verbal attacks dhidi ya SAF from Benitez it was a wrong timing na mbaya zaidi ni kuwa yeye 'maneno maneno' hayawezi. SAF alimjibu tu short and clear; Pressure itawaondoa tu pale juu na the fate proves him that he was right.

Benitez, with all respect, timu bora na kocha bora huonekana na kile anacho ki-deliver in terms of silverwares na sio kuwa run-up or kutolewa robo final. Sijui ni nini so substantial Benitez ume-deliver Anfield may be na Europe unataka attention ya watu kihivo, CL na FA cup ulibeba kwa kikosi cha Houllier, Liverpool last time wanachukua EPL(hata haikuwa iikiitwa hivyo) it was almost TWO decades ago, deliver first and start talking.

Gud to see that you guys you are counting off Manutd, just wait and see....

I will be there and plz be there too....

One Love One United.....
 
huo ndio utofauti wa manutd na liverpool may be more specific btn saf na benitez (and their fans)...

January kipindi ambacho liverpool walikuwa kileleni kwa jumla ya tofauti ya saba dhidi ya manutd kwa benitez he thought tayari one hand washalishika kombe la epl, akanza ku-pressurize bodi ya liverpool impe uhuru zaidi wa kusajili despite the fact that tangu atue liverpool, within 4 years tu amesajili 51 players na ni kati yao watatu tu, torres, mascherano na skritel wana prove consistency till to date. The rest of the players, wewe mpenzi wa liva u know what they are doing. What happen later sijui, lakini so far so gud liva ni watatu nyuma ya manutd kwa pointi nne na one game in hand.

Verbal attacks dhidi ya saf from benitez it was a wrong timing na mbaya zaidi ni kuwa yeye 'maneno maneno' hayawezi. Saf alimjibu tu short and clear; pressure itawaondoa tu pale juu na the fate proves him that he was right.

Benitez, with all respect, timu bora na kocha bora huonekana na kile anacho ki-deliver in terms of silverwares na sio kuwa run-up or kutolewa robo final. Sijui ni nini so substantial benitez ume-deliver anfield may be na europe unataka attention ya watu kihivo, cl na fa cup ulibeba kwa kikosi cha houllier, liverpool last time wanachukua epl(hata haikuwa iikiitwa hivyo) it was almost two decades ago, deliver first and start talking.

Gud to see that you guys you are counting off manutd, just wait and see....

I will be there and plz be there too....

One love one united.....

mkuu nakuaminia for your constructive criticism... But one correction, no one has written-OFF manure... And if any he/she is really wroong, because saf is more than an ordinary football team manager... He is the football leagues manager

ywna
 
MTM...

upo? draw ya CL umeionaje?
mpo kimya sana pande hii,.....
CHELSKI na "white witch" wao, mzee Guus Hiddink wepesi...

you will never walk alone wazee,

cheer up!​
 
Naona yule mwanamke wetu wa ngomani "CHELSKIMOVICH" karudi tena kwenye mnanda... kama kuangusha mlevi gongo la mboto mwisho wa lami
 
MTM...

upo? draw ya CL umeionaje?
mpo kimya sana pande hii,.....
CHELSKI na "white witch" wao, mzee Guus Hiddink wepesi...

you will never walk alone wazee,

cheer up!​

Mzee we acha tu!!! white witch anakutana na the redds led by Elnino and the stevie G... we will surely find the G spot in the "THE WHITE DEVIL IN A BLUE DRESS

HUHUUUUUUUUUU
 
Last edited:

...haya haya tena, tonge hilo mdomoni, 'ooh, lamoto, oooh halina mchuzi, ooh linamabuje!' ...mind the Gap!

MTM, QM, Caroline Danzi, Blade Runner...na wengine limezeni hilo, mkilitema shauri yenu!
 
Jamani mechi ya liver na Asto inaonyeshwa live kwenye website gani?
 
Cha kwanza hicho... presha presha preshaaaaaaaaaaaaaaaaa.....

Liverpool 1 - 0 A' Villa
 
- Wakulu vipi tupo pamoja mechi ndio imeanza vipi tutashinda? maana wagonjwa wa hii timu tupo wengi.

...😀 mkulu FMES nice to see you pande hii... msiwe na wasiwasi, wenu tu hao... mshawachapa cha kwanza...
 
Mechi ya leo lazima tuue baada ya kuwakunguta vigogo wa dunia Manu na Real , tupeni chaneel ambayo mechi inaonyeshwa live
 
Back
Top Bottom