Saikosisi
JF-Expert Member
- May 4, 2007
- 528
- 34
- Wakuu vipi leo tutapita hapa naona kama pugumu kidogo, au?
Dakika ya 67; inabidi mtumie mlango wa uani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
- Wakuu vipi leo tutapita hapa naona kama pugumu kidogo, au?
Hii si sawa, ingawa kweli mmetokea mlango wa uani, mmewaumiza wenzenu Fulham, na Man Utd sasa imekuwa noma zaidi.Gooooooooooooooooaaaaaaaaaaaaaal! Its gonna be hard now for Manure, well done boys!
Hii si sawa, ingawa kweli mmetokea mlango wa uani, mmewaumiza wenzenu Fulham, na Man Utd sasa imekuwa noma zaidi.
Duh, hongereni, ngoja ytuone mnaishia wapi!
FEMEs msimu huu hapo Craven Cottage hakuna cha Chelsea, Arsenal wala Man U, wote wameshindwa kuondoka na ushindi, ngoja tuone mtu mzima Liver kama ataweza.
Mkuu nadhani maneno yangu yamejithibitisha!!sasa ni Pressure Kwenda Mbele!!manure wakiteleza tu tunaongea mengine!!!Jana wamepapatua!!sijui itakuaje!!tusubiri game zao na arsenal,w/ham and derby yao na man city hopefully they'll drop points!!Thanks... But i don't remember Liverpool winning after an international break; lets hope the streak hasn't been disturbed
YNWA
- Wakuu vipi leo yaani nimetoka kazini mapema kuja kuuwahi mchezo, mnasemaje tutapita leo maana hawa Chelsea sometimes ni wagumu hawa, au?
FMES!
Wala usiwe na wasiwasi kaka. Tunakipiga kichwa cha Chelsea makwenzi si chin ya 2 leo. Andika chini maneno yangu.
Wala usiwe na wasiwasi kaka. Tunakipiga kichwa cha Chelsea makwenzi si chin ya 2 leo. Andika chini maneno yangu.
...You Will Never Walk Alone!
...Goodluck wapenzi wote wa 'Bwawa la maini'