Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

FEMEs msimu huu hapo Craven Cottage hakuna cha Chelsea, Arsenal wala Man U, wote wameshindwa kuondoka na ushindi, ngoja tuone mtu mzima Liver kama ataweza.
 
Gooooooooooooooooaaaaaaaaaaaaaal! Its gonna be hard now for Manure, well done boys!
 
Gooooooooooooooooaaaaaaaaaaaaaal! Its gonna be hard now for Manure, well done boys!
Hii si sawa, ingawa kweli mmetokea mlango wa uani, mmewaumiza wenzenu Fulham, na Man Utd sasa imekuwa noma zaidi.
Duh, hongereni, ngoja ytuone mnaishia wapi!
 
Hii si sawa, ingawa kweli mmetokea mlango wa uani, mmewaumiza wenzenu Fulham, na Man Utd sasa imekuwa noma zaidi.
Duh, hongereni, ngoja ytuone mnaishia wapi!

Tutake radhi mkuu, hatujapitia tigo.... tumekula kwa njia halali aiseee

YNWA

Huhuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Thanks... But i don't remember Liverpool winning after an international break; lets hope the streak hasn't been disturbed

YNWA
Mkuu nadhani maneno yangu yamejithibitisha!!sasa ni Pressure Kwenda Mbele!!manure wakiteleza tu tunaongea mengine!!!Jana wamepapatua!!sijui itakuaje!!tusubiri game zao na arsenal,w/ham and derby yao na man city hopefully they'll drop points!!
 
Duh hawa jamaa wapo juu kwa sasa, ila ndo hivyo hawajiamini kimtindo, kwanza mawazo ya kunyakua ubingwa hawana kabisa, yani nadhani kama hafikirii. Ngoja tuone J tano watafanya nini?
 
- Wakuu vipi leo yaani nimetoka kazini mapema kuja kuuwahi mchezo, mnasemaje tutapita leo maana hawa Chelsea sometimes ni wagumu hawa, au?

FMES!
 
- Wakuu vipi leo yaani nimetoka kazini mapema kuja kuuwahi mchezo, mnasemaje tutapita leo maana hawa Chelsea sometimes ni wagumu hawa, au?

FMES!

Wala usiwe na wasiwasi kaka. Tunakipiga kichwa cha Chelsea makwenzi si chin ya 2 leo. Andika chini maneno yangu.
 
...You Will Never Walk Alone!

...Goodluck wapenzi wote wa 'Bwawa la maini'
 
...You Will Never Walk Alone!

...Goodluck wapenzi wote wa 'Bwawa la maini'

Halafu Mbu nshakushitukia...wewe ni mmoja wa wale damdam Liverpoolians ambao walikumbwa na fantasy storm ya Arsenal enzi za akina T. adams, D. Benkamp, P. Viera., T. Henry et la. Rudi nyumbani yakhe, usione khaya kushika bendera ya Bwawa la Maini tena baada ya storm ya Washika Bunduki kuisha. Tulishakusamekhe....lol
 
Hii mechi ya leo itakuwa bomba sana maana Chelsea wanadai kwamba watashambulia kama nyuki kuanzia dakika ya kwanza na kikosi chao kimekamilika sidhani kama kuna majeruhi. Na L'pool nao sasa hivi wanajiamini mno kutokana na matokeo yao ya hivi karibuni. I hope referee na wasaidizi wake watakuwa macho kutotoa maamuzi ya upendeleo au ya kutatanisha na kuiharibu mechi hiyo.
 
Natamani ze blues wamfanyoe kitu mbaya banitez mana dah nikikumbuka kile kipigo sina hamu...ila mechi tanu ipo kwa Barca na Bayern hili ni bonge la mechi
 
Back
Top Bottom