Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

. Nimeona sema huyu Breandan Rogers sioni kama ataweza kuleta vifaa na kengine siamini sababu Swansea inacheza pasi nzuri ndio Breandan Rogers atafanya LFC iwe hivyo nikujidanganya, mie sito judge sana ila nampa kuona nani ataleta na game 15 ndio nitajuwa kama jamaa anafaa muhimu Van da gaal.

kazi mnayo wazee wa YNWA
 
Tunapaswa kuweka kila kitu nyuma yetu na kumpa full support Rodgers! Ila kama mdau Pazi alivyosema,muhimu ni Van Gaal kuwa appointed as one of the directors
 
Mimi juu ya huyu Rodgers sitii neno. Nasubiria kwa hamu nione nani anauzwa na nani ananunuliwa.... Maana hawa wamarekani siwaelewielewi, kwa sababu hata huyu tutatakiwa kumpa support na muda wa kutosha ili tujue mbivu na mbichi. YNWA.
 
Walipaswa kumrudisha Benitez,huyu sidhani kama atamaliza mkataba
 
Huyu Rodgers atakuwa kama Roy Hodgson.. makocha wanaopata mafanikio katika timu ndogo mara nyingi wanapata shida kureplicate mafanikio katika timu kubwa. Liverpool majukumu makubwa na matarajio makubwa. Swansea City walikuwa na Aim ya kubaki PL. Liverpool ni timu inayotakiwa kugombania top 4 na ubingwa, Rodgers sidhani kama ataweza kuwafanikisha hayo. Bora wangempa Van Gaal mwenye experience na CV yake imekwenda shule..
Anyway, kama mpenzi wa Arsenal nafurahia tumepoteza(tumepunguza) mpinzani mmoja wa top 4
icon6.png
icon7.png
 
rubaman ... hawa liverpool na mambo yao ya ku gamble wakiendelea nao watakuwa ni timu ya mid table kila msimu.

lol mmepunguza mpinzani gani wa top 4?
 
Last edited by a moderator:
rubaman ... hawa liverpool na mambo yao ya ku gamble wakiendelea nao watakuwa ni timu ya mid table kila msimu.

lol mmepunguza mpinzani gani wa top 4?

Liverpool wakiendelea na jamaa huyu hadi mwisho wa msimu ujao kuna uwezekano wa kuendelea kugombea Europa League. Uhakika wa Arsenal kuendelea kucheza Champions League :lol: :lol:. Chelsea wali-gamble kwa AVB wameishia top 6, bahati yao wamebeba CL trophy.
 
Haya nendeni mkajipongeze na hizo ndoto zenu halafu tukutane msimu utakapoanza. Kuwa na kocha mzoefu hakukupi guarantee ya mafanikio pia. Maana ya ku-gamble ni kuwa unaweza kupata au kukosa, sasa kuna mwingine anadai tume gamble huku akihitimisha kuwa tumepoteza tayari! Shehe yahya ametuachia warithi wake wengi kweli!
 
Tehteh Mie yangu Macho ila kama nilivyosema Baada Game 15 ndio nitaongea kuhusu mbaya au mzuri au hapo ataponunuwa wachezaji, ila Rubaman kwani CL nyie huwa mnashinda Kombe lile au Mnasindikiza Maiti? nasikia Kabati la Kombe Emirates Limejaa Panya wanger ndio kamlilia Van Parsie awache angalau Kiatu cha Gold ili watalii wapate kuona wakienda inawachukue Sekunde Moja wanarudi mlangoni wanaambiwa hakuna cha kutizama lol.
 
Pazi,Hahahaha hatujawahi kulichukuwa lakini si unajua mnakosa pesa ngapi kwa kushindwa kucheza CL kwa miaka 2 sasa..Pesa zingewasaidia kukamilisha Stanley project. Afu huwezi jua tunaweza kulibeba kama timu mbovu kama Chelsea imelibeba kibahati-bahati hata sisi inaweza kutuangukia siku moja LOL. Van Persie haondoki, Euro kabla haijaisha atakuwa kashavunjika viguu vyake vya chupa nani atajiingiza mkenge kumpandia dau. :lol: :lol: :lol:
 
Rubaman
Kuhusu Kukosa CL ni kweli usemalo tunakosa Pesa nyingi sababu ukitizama Miaka 3-4 sijui yakukosa kucheza CL ila bado kiutajiri tupo kutoka 14 mpaka wa 7 inaonyesha kama tungekuwa tunaingia CL tungekuwa kwenye hali nzuri ila Stanley Park naona washasema haiwezekani angalau Henry kawa mkweli atatanuwa palepale, CL ni muhimu ila kwa brendan Rogers sioni na kwa wachezaji kama Downing mie ningekuwa Billionea ningempa Downing Millioni 10 andoke timu na Carrol ningempeleka awahi Draft ya NBA.
 
Mkuu Pazi naona muda si mrefu dream yako itatimia. Hapatakuwa na King Kenny na Andy Carroll. Mnataka kumuuza kwa bei ya kutupa hahahaha.
 
Wazeiya mupo?!!! Naona Rodgers kamsajili Fabio Borini kutoka Roma, ila nimeudhika kuondoka kwa Maxi Rodriguez, angeondoka Andy C Maxi abaki.
 
Wazeiya mupo?!!! Naona Rodgers kamsajili Fabio Borini kutoka Roma, ila nimeudhika kuondoka kwa Maxi Rodriguez, angeondoka Andy C Maxi abaki.

Punainen-red Huyo Fabio Borini naye sizani kama anafaa mie wamuondoe Andy Carrol na Downing ndio nitafurahi au wamtoe tu Downing kubadilishana na Dempsey then Wauze Andy Carrol na Charlie Adam walete vifaa vyenye akili ya Mpira Dogo huyu hapa aanze kupangwa Suso Suso vs Portugal U19 Euro 2012 - YouTube
 
Baada ya kuwa nje ya uwanja kwa mda mrefu sababu ya kuumia goti kulikosababisha afanyiwe upasuaji, kiungo wetu mahiri Lucas Leiva anatarajiwa kucheza katika mechi za maandalizi ya msimu mpya dhidi ya Toronto trh 21 july, Roma trh 25 july naTottenham trh 28 july.
 
Baada ya kuwa nje ya uwanja kwa mda mrefu sababu ya kuumia goti kulikosababisha afanyiwe upasuaji, kiungo wetu mahiri Lucas Leiva anatarajiwa kucheza katika mechi za maandalizi ya msimu mpya.

pamoko mzee wa YNWA
 
Back
Top Bottom