Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hatari WBA 1 LFC 0 HT. Ngoma ipo palepale tatizo ni nani? Ni huyu Downing na hakuna Winger walioenda shule huyu Borini naye si mchezaji na Downing bado anafanya nn LFC yy na Carrol? Tulionunua ni Allen tu kama Dempsey hakuja basi tutaendelea kula mikunguto.
 
FT: WBA 3 LVRPL 0

hii ni dalili ya kwamba hakika leage itakuwa swafi season hii kweli kweli!
 
Hahahaha wakuu mmeanza na kichapo... Poleni sana!! Swanswea kampiga mtu 5
 
Yale mabao ilibidi nikae :behindsofa: ni Aibuuuuuuu mtu kama Borini kumbe utumbo kama Carroll na Downing sijui bado anafanya nini pale J Cole naye aondolewe kama winger wenye akili hatutokuwa nao basi striker kama Suarez ataonekana kama Carrol tu. Pale Player ni Allen tu hata SG aanze ubao.
 
Poleni sana wenzangu wote! Inakera kupoteza mechi tena kwa hivi vitimu visivyoeleweka, ila nadhani Liverpool itaimarika japo mwanzoni tuna fixtures ngumu kweli. Msife moyo kuna wachezaji kweli hawafai kuwa kwenye timu, lkn hata hao wazuri wanahitaji muda kugel vizuri. YNWA.
 
suarez_1568610a.jpg

DAY TO FORGET ... Luis Suarez vents his anger

Poleni wakuu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Duh bao tatu na west brom is not a gd start team yake ya zamani imempa kichapo
qpr bao tano nahisi anawish angebaki swansea
 
Duh bao tatu na west brom is not a gd start team yake ya zamani imempa kichapo
qpr bao tano nahisi anawish angebaki swansea
Kumbe ulikuja kuwanga hapa kabla ya kuchezea kichapo jijini Liverpool??! Haya sasa 'hisi' na rvp anawish angebaki Arsenal!!!
 
Wacha1 utaendelea mwaka wa 8 kuwa Trophyless tu Bora twenye History channel kinaangalikika na Mwaka jana hatukumaliza watupu sasa sijui History channel ni nani? wengine timu zao hata History hazina.
 
Wacha1 utaendelea mwaka wa 8 kuwa Trophyless tu Bora twenye History channel kinaangalikika na Mwaka jana hatukumaliza watupu sasa sijui History channel ni nani? wengine timu zao hata History hazina.

Wewe ndiye muumba maana unaamua nani ashinde taji na nani asishinde hongera sana. Hivi nani yupo mkiani kwenye EPL hivi chacha? Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Wacha1 weye tena mzee wa kutokubali kushindwa Mie sio muumba naweza kusema nimekosea kauli kuonyesha kama mie sio muumba huwa nakosea, ila ukweli upo palepale Mr Trophyless kama ulivyo ukweli tupo kweli mkiani hehehe sijakataa je wewe unakataa ni Trophyless mwaka wa 7?
 
Chacha nyie mlichukua EPL mara ya mwisho lini? Au na wewe unataka kuwa mzee wa chuki binafsi? Hebu linganisha miaka hapo kwanza kabla ya kurukaruka kama chura, najua utakuja na nahau za kombe la tombola ambalo unaweza kulinunua tu kama timu flani ..... .... .... Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Liverpool vs man city is the only game that i would support liverpool.. So come on you KOPites brendan rogers and the boys do ya thing tonite
 
Sijui kwa faida gani liverpool inaendelea kuwa na mchezaji kama caroll na kumuacha Kuyt au Maxi?
 
Wakuu, kwa hiyo kwa hali ilivyo na ikitokea kwa bahati mbaya tukafungwa, nanga ya PL itakuwa inatuhusu siyo?!
Ila jana tulimpata Nuri Sahin kutoka Real Madrid kwa mkopo. Kila la heri The Reds wote... YNWA.
 
REDS will do great this season, even if we lose to City,its not the end..I wasnt very upset with the loss to WBA,due to referee's decisions,he swinged the game in WBA side
 
Back
Top Bottom