Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dah hii mechi ni hatari. Intensity iko juu sana. Liverpool tunakwama tu hatuna holding mid ambae angetusaidia kukata umeme hapo katikati maana Szobo na Mac hao sio holding basi tu.

Klopp natumaini second halt atamtoa Elliot na Nunez aingie Endo na Jota.

Come on Reds.
Jota Ana red card
 
Kazi ipo [emoji24]
Screenshot_20231008-174847.jpg
 
BHA katupeleka darasani leo.

Kunasiku niliwahi kusema hapa,, siku tukikutana na BRIGHTON au MAN CITY ndio tutajua zaid madhaifu yetu.

Klopp atafute DM .
 
Sio mbaya saana
Chelsea Draw
Tottenham lost
Brighton Draw
January tupate DM tuanze competition msimu ujao nahisi tutafanya comeback Man city tutakimbizana nae
 
DM ni tatizo, beki wa kulia ni tatizo pia..pamoja na Gomezi kuingia nae ni bure tu.......
 
Sio mbaya saana
Chelsea Draw
Tottenham lost
Brighton Draw
January tupate DM tuanze competition msimu ujao nahisi tutafanya comeback Man city tutakimbizana nae
HUu msimu ungetukuta na DM title ilikuwa nyeupe sana
 
Aisee saiv hata tukifungwa nipo pamoja na timu maana najua inapambana sana, Et unashangaa mtu anamsema Matip kujifunga [emoji23][emoji23] wakati alipambana sana kuokoa magoli mengi ile mechi vs Totte nilishangaa sana.
Usiforce kila mtu ashangilie unavyotaka wewe
 
Sare ugenini kwa BHA sio mbaya.
Tunaenda International break tukiwa sawa
Jota na Gapko watakua wapo sawa
Viva Liverpool Viva
 
Tuache utani , Brighton wapo vizuri . Ukitoa Sarah, Dominic, ali,matip,Robertson... wengine wanacheza kama wamefosiwa hivi kucheza.

Diazi anacheza vizuri, ila bado sana kuingia kwa mane, mane alikuwa anapambana hadi anataka kulia, diazi mikimbio mingiii sana na chenga zisizo na msingi.

Swala la maka kucheza kama kiungo mkabaji, ni kweli sio sehemu yake, ila kaboa sana timu kama Liverpool ni timu yenye pressure watu wanataka matokeo, mtu kama Milner pamoja na umri wake alikuwa nacheza kokote na anaonyesha kupambana.

SINA MENGI YA KUSEMA, NA PIA SIO FUNDI SANA WAKUCHAMBUA MPIRA HAYA NI MAWAZO YANGU WAKUU.
 
Dah hii mechi ni hatari. Intensity iko juu sana. Liverpool tunakwama tu hatuna holding mid ambae angetusaidia kukata umeme hapo katikati maana Szobo na Mac hao sio holding basi tu.

Klopp natumaini second halt atamtoa Elliot na Nunez aingie Endo na Jota.

Come on Reds.
Jota ana Red Card
 
Back
Top Bottom