Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jota Ana red cardDah hii mechi ni hatari. Intensity iko juu sana. Liverpool tunakwama tu hatuna holding mid ambae angetusaidia kukata umeme hapo katikati maana Szobo na Mac hao sio holding basi tu.
Klopp natumaini second halt atamtoa Elliot na Nunez aingie Endo na Jota.
Come on Reds.
Hahahahahhahahahhahhh!Eti Ali Bakari kumbe ndio jina lake halisi ?Hakuna kima mkali kwenye 1 vs 1 Dunia mzima kama ALI BAKARI
HUu msimu ungetukuta na DM title ilikuwa nyeupe sanaSio mbaya saana
Chelsea Draw
Tottenham lost
Brighton Draw
January tupate DM tuanze competition msimu ujao nahisi tutafanya comeback Man city tutakimbizana nae
Usiforce kila mtu ashangilie unavyotaka weweAisee saiv hata tukifungwa nipo pamoja na timu maana najua inapambana sana, Et unashangaa mtu anamsema Matip kujifunga [emoji23][emoji23] wakati alipambana sana kuokoa magoli mengi ile mechi vs Totte nilishangaa sana.
Ashazoea mabao huyoKuna Kitu kinaendelea Kwa Mo Salah Now Kila Akifunga Ashangilii Mbona!!
Aisee sijakutag hapa tuliaUsiforce kila mtu ashangilie unavyotaka wewe
SawaAshazoea mabao huyo
Kufunga kwake siyo big deal kwamba aanze kushangilia hivyoo.
Jota ana Red CardDah hii mechi ni hatari. Intensity iko juu sana. Liverpool tunakwama tu hatuna holding mid ambae angetusaidia kukata umeme hapo katikati maana Szobo na Mac hao sio holding basi tu.
Klopp natumaini second halt atamtoa Elliot na Nunez aingie Endo na Jota.
Come on Reds.