Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Another dominant midfield display from Endo last night 🇯🇵
 
Attachments

  • IMG_20231227_131604_333.jpg
    IMG_20231227_131604_333.jpg
    165.7 KB · Views: 1
Nunez on the scoresheet [emoji91][emoji91] With beautiful goal from is feet.

Jota was back with a goal. His normal behavior to score these kinda goals.

All were good but kudos to

Endo: (ameshajipata) Mpaka Macca ameumia ndio tumemuona our DM (Endo) ni wakati wa Klopp kupiga double 8’ (Macca and Szobo) while Endo as 6.

Quansah: Toka nilipoanza kumuona mara ya kwanza nilimuona mchezaji mwenye potential. Quansah ana utulivu mzuri sana, with and without the ball, katika kupora mipira, ana uwezo mzuri wa aerial duels, long passes. Lucky to have him from academy. Chelsea walitaka kutuuzia Colwill kwa £80M while we have our own Vvd 2.0 from academy.

Elliot: He has improved alot, his involvement kwenye kuyatafuta magoli inafurahisha sana, we need him msimu wote uliobaki.

Gomez: Yule wa 2019 mpaka january 2020 amerejea, and this time around anacheza as RB/LB and he is doing still good. Stay fit Joe you are so close to get your 1st goal of your career I pray.

Vvd back to his form we used to know after suffered ACL 2020/2021.

Gravenberch bado anajitafuta, but he has that quality we need, game time will improve him (just like Endo). Wish him to Click ASAP.! All the best Ryan.

And lastly we need all our boys back

Macca
Robbo
Thiago
Bajcetic

Hawa wanarudi January. We might be safe unlike many think kwa kuondoka kwa Salah. Its about Klopp himself tu atatumiaje alichonacho,?

YNWA
 
Captain Marvelous , Jota anakuambia funga mdomo usiseme hivyo 😂😂😂
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Bhana huyu dogo mifupa yake au misuri kuna changamoto aisee....

Kwa sasa Klopp ampe tu dakika 30 mpaka 20 zinamtosha mpaka pale watajiridhisha na uzima wake.

Jones, Konate na Jota wana bahati mbaya sana na upepo wa majeruhi hivyo Klopp ana kibarua kizito kuwa manage ili waedelee kua wazima wanvyohitajika kupiga kazi..

YNWA
 
Angalizo...

Klopp asugue kichwa haswa tunataka majibu 2024 pale mbele pamepwaya kua clinical...
Katika Mech 3 za mwisho(Arsenal, Manchester United, Burnley) Liverpool tumepiga mashuti 66 golini huku tikufunga goli 3 tu hii haina picha nzuri sanaaa.

Salah atakosa Mech kama 8 hivi hivyo Klopp ana muda mchache sana hawa vijana kuelewa kwamba awamu ya pili ndio kipara huamsha balaa hivyo sare au vipigo kwetu havihitajiki kabisaa...

YNWA
 
Wale wa Misri wana hati miliki Afcon usishangae haooo mpaka fainali.

Elliot kama RW au Gapko acheze RW ndio tulipo sasa....
Akiodoka Salah twende hivi..
Diaz Nunez Gapko au
Nunez Jota Gapko

YNWA

Kabisa aise, bora wasiende WC ila AFCON fainali wafike. Na wanajua kuicheza kweli ngazi ya klabu na taifa pia.

Nana kidogo msimu huu tutakuwa mikono salama kuliko vipindi vyote vilivyopita vya AFCON. Tuliwakosa wachezaji muhimu sana kikosi na tegemezi haswa kwenye kuketa matokeo, Mane and Salah akabaki bobby pekee yake, na tulivuka salama. Nakumbuka kwa muda wa walipokosekana Fabinho akawa mpachika wetu mabao (funny monthly moment kwa seaaon ile).

Sasa hivi walau, kuna option;
Elliot
Diaz
Gakpo
Nunez

Ingawa magoli yamekauka ila kutokana na patterns zetu za kushambulia. MosDef aliliezea hili vizuri ishu ya inverted ya TAA, inatunyima strength kwenye kushambulia maana inapunguza extra man kwenye RHS. Klopp atwist kidogo naamini tutavuka salama, tuna presha ndogo AFCON hii kuliko iliyopita aisee. Na sasa hivi tuna viungo ambao wanauwezo wa kufunga unlike other season.

Tutaathirika ila sio kwa kiasi kikubwa sana.

Kabisa ndugu japo hua hii January na February tunakua na matokeo ya kukatisha tamaa nina imani sasa bench letu linatupa extra edge ikiwa Salah hayupo... Tumeona benchi hivi karibuni Elliot na Jota wametokea benchi na kufunga magoli muhimu sana hii zamani haikuwepo.

Gapko na Nunez wanahitaji kupata utulivu kwa zile nafasi wanazopata..

Domy jana kaanzia benchi hii safi sana kwani dogo kwenye ligi hajakosa kuanza mechi aisee na hapo kati alionekana kuelemewa kabisa hivyo game management ndio silaha tu itatuvusha salama.

YNWA
 
Patrice Evra on Liverpool going top last night:

“I don’t want to answer, we have to be neutral, we work on TV! No, but credit to Liverpool and they deserve it. I think they are a serious contender to win the title."
 
🇯🇵 Wataru Endo starting his 4th game in 9 days and earning praise from Klopp after the game.

  • Won the most duels in midfield (6)
  • Made the 2nd most recoveries on the pitch (8)
  • Won 4 aerial duels
  • And created 2 chances as well

Credit to him. Wasn’t perfect but that’s to be expected given the amount he has played recently.
 
Back
Top Bottom