Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jembe langu bado nina imani nae sana tuView attachment 2854517
Wapi Miss Saint Anne 😂😂😂
Big Man Captain Marvelous bado watu hawakuelewi tu
Wapi Malafyale?Mpe tu hongera yake Striker la Dunia Fernando Torres ajaye 😂
View attachment 2854517
Wapi Miss Saint Anne 😂😂😂
Big Man Captain Marvelous bado watu hawakuelewi tu
Wapi Malafyale?
Anakwenda Afcon sijui atakosa mechi ngapi aiaee balaamkuu sipati picha bila ya Salah pale mbele tutakuwaje
Egypt kikosi chao ni cha kawaida watatolewa mapemaAnakwenda Afcon sijui atakosa mechi ngapi aiaee balaa
YNWA
Wale wa Misri wana hati miliki Afcon usishangae haooo mpaka fainali.Egypt kikosi chao ni cha kawaida watatolewa mapema
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Bhana huyu dogo mifupa yake au misuri kuna changamoto aisee....Captain Marvelous , Jota anakuambia funga mdomo usiseme hivyo 😂😂😂
Wale wa Misri wana hati miliki Afcon usishangae haooo mpaka fainali.
Elliot kama RW au Gapko acheze RW ndio tulipo sasa....
Akiodoka Salah twende hivi..
Diaz Nunez Gapko au
Nunez Jota Gapko
YNWA
Kabisa ndugu japo hua hii January na February tunakua na matokeo ya kukatisha tamaa nina imani sasa bench letu linatupa extra edge ikiwa Salah hayupo... Tumeona benchi hivi karibuni Elliot na Jota wametokea benchi na kufunga magoli muhimu sana hii zamani haikuwepo.Kabisa aise, bora wasiende WC ila AFCON fainali wafike. Na wanajua kuicheza kweli ngazi ya klabu na taifa pia.
Nana kidogo msimu huu tutakuwa mikono salama kuliko vipindi vyote vilivyopita vya AFCON. Tuliwakosa wachezaji muhimu sana kikosi na tegemezi haswa kwenye kuketa matokeo, Mane and Salah akabaki bobby pekee yake, na tulivuka salama. Nakumbuka kwa muda wa walipokosekana Fabinho akawa mpachika wetu mabao (funny monthly moment kwa seaaon ile).
Sasa hivi walau, kuna option;
Elliot
Diaz
Gakpo
Nunez
Ingawa magoli yamekauka ila kutokana na patterns zetu za kushambulia. MosDef aliliezea hili vizuri ishu ya inverted ya TAA, inatunyima strength kwenye kushambulia maana inapunguza extra man kwenye RHS. Klopp atwist kidogo naamini tutavuka salama, tuna presha ndogo AFCON hii kuliko iliyopita aisee. Na sasa hivi tuna viungo ambao wanauwezo wa kufunga unlike other season.
Tutaathirika ila sio kwa kiasi kikubwa sana.
YNWA