Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyo Jerome mdogo bado
Arudi tu kucheza

Mona umeangalia mechi za 2008 ukiwa na miaka mingapi?

Yawezekana wakubwa tupo wengi humu eeh!
Aisee mpira sio wa wote na inategemea na fate muda mwingine.

Kuna mchezaji alikipiga Spurs, QPR, Brighton, Fulham, Westham enzi hizo. Kwa walioingalia Fulham ya 2008-2011 hivi watamkumbuka jamaa, na Fulham ya Clint Demspey, Philip Sendaros, Muphy, Hangeland,Mousa Dembele, timu ya nguvu hii ukikutana nayo Craven Cortage unajiuliza mara mbili mbili.

Sasa Zamora na kiwango kile alishangaza watu kwa kusema hapendi kucheza mpira. Unajiuliza commitment ya mazoezi anaipata wapi?

Sasa tuje kwenye story moja hivi. Kuna jamaa anaitwa Jerome Sinclair. Huyu jamaa alikulia academy ya LFC aliichezea LFC not to senior level, but cups game na europe games japo not as a starter those days. Speaking of 2014 huko. He was playing as CF. Katolewa kwa mkopo weee akaamua kustaafu.

Sasa hivi ana Fried Chicken Shop huko Uingereza. Ukisikia “KAMA HAIPO NI HAIPO” ndio hivi visa viwili.

Bobby Zamora hakupenda kucheza mpira ila alipata kuucheza mpira. Jerome Sinclair aliupenda mpira lkn mpira haukumpenda.

Zamora kwa sasa ni 42’
Jerome ni 27’
 
Sisi hatuna muda na hilo kombe wala kombe lolote lile. Tulianza msimu tukiyataka yote ila nasikia sasa Arteta kasema hatutaki kombe lolote. Tunareset kwanza halafu ndiyo turejee.
Kwahiyo Arterta yeye hataki kombe ila anataka nini?
Kufuga tu kiwigi?😂
Kwa kiwigi tu jamaa ameweza🙌
Kinampendezea balaa utasema amebond.
 
Attachments

  • IMG_20240109_112722_284.jpg
    IMG_20240109_112722_284.jpg
    510.7 KB · Views: 3
usimsahau Benoit Assoue Ekotto wa Spurs yule Mcameroon alikuwa akirudia kusema kuwa katika vitu hakuwa akivipenda Ni mpira wa miguu, Yaani alijishangaa kwann alikuwa mcheza soka na muda wa kuwa nyumbani anasema Hana mudq wa kucheck mpira kwenye tv yeye ni basketball na vingine
Kawa Pornstar huyo Assoue Ekkoto
 
Kwahiyo Arterta yeye hataki kombe ila anataka nini?
Kufuga tu kiwigi?😂
Kwa kiwigi tu jamaa ameweza🙌
Kinampendezea balaa utasema amebond.
Arteta ana nywele nyingi sana kiasili. Siyo wigi. Ule usemi wa akili ni nywele, kwa Arteta maana yake ni ana akili nyingi kama nywele zake, mpaka anapitiliza. Mpaka vitu simple tu kama kushinda mechi simple sasa imekuwa mtihani kwake.
 
Watu wenyewe kama lilivyo jina lao,wapo na hamu full ya kupasuliwa
Hesabu goli 3 kupanda.

Golini leo yupo screen protector Kelleher🔥
Usije dhani ni lile ninja lenu la mchongo linalopandisha kichaa kila baada ya dakika 10
Tusilaumiane tu baadae. Bahati mbaya kwake na nzuri kwenu ni nasikia Trent kaumia. Hapo mtaweza kuweka mtu anayeweza kukaba ashike nafasi yake na ndiyo pona yenu.

Meanwhile nimeona post ingine ya Mane kuoa bonge la pisi. Alivyokuwa Liverpool mlikuwa mnamstress kijana wa watu mpaka akawa anashindwa kuamua kuoa ili asijipe stress mara mbili. Sasa ameonyesha kuwa livakuku ni stress lukuki ila sasa amerelax na anaweza kuoa.
 
Nenda kamuulize
Huko alipo hana furaha

Liverpool kisima cha furaha, wote wanataka kurudi.
 
Arteta ana nywele nyingi sana kiasili. Siyo wigi. Ule usemi wa akili ni nywele, kwa Arteta maana yake ni ana akili nyingi kama nywele zake, mpaka anapitiliza. Mpaka vitu simple tu kama kushinda mechi simple sasa imekuwa mtihani kwake.
Kweli wingi wa kiwigi si wingi wa akili
Pep kipara ana akili tele

Arterta bichwa kubwa, kiwigi kama kabond, akili kisoda.
 
Kaka yetu Mane ameopoa chombo masha'Allah
Wifi Mzuri sana,I'm happy for Mane kwa kweli.

Amekwepa mitego ya wazungu
Wazungu ni majasusi.
Mané ni domo zege kaogopa kutupia sound kwa pisi za kizungu, kaogopa kuchambwa.
 
Kweli wingi wa kiwigi si wingi wa akili
Pep kipara ana akili tele

Arterta bichwa kubwa, kiwigi kama kabond, akili kisoda.
Arteta amemsaidia sana kipara kutwaa mataji. Kampa mambinu kibao kipara. Alivyoona sasa kipara anajiweza weza na anaonyesha ataweza kupiga treble pekee yake akaona ameshamjenga vya kutosha, ndiyo yeye mwenyewe Arteta akaamua aanze challenge mpya ya kuinoa Arsenal na kuitoa jangwani na kuipeleka nchi ya ahadi.
 
Huko promised land Caanan mbona hamfiki
Mnarandaranda tu kama Israelites kule jangwani

Subirini miaka 400😂
 
Back
Top Bottom