HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 2,952
- 5,583
Safari ya kwenda nchi ya ahadi ni ngumu balaa. Kama alitegemea itakuwa rahisi, basi alijidangaya. Katika safari hii, milima na mabonde ni mengi. Mambo yakienda vibaya kidogo, tupo vigeugeu kibao tunamgeuka fasta, kama wale waisraeli wa Musa. Jamaa wakilala njaa jangwani kidogo tu wanalilia kurudishwa utumwani. Wakiletewa kware wawakamate wawachinje wawapike wale, wanalalamika kwa nini hao kware hawakuja wakiwa washapikwa rosti style na ugali kabisa in the first place...Huko promised land Caanan mbona hamfiki
Mnarandaranda tu kama Israelites kule jangwani
Subirini miaka 400😂