Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mtamrudisha tuMbona mnamkaba sana Miss LiverpoolFc, yeye amesema ni Kelleher tu hao wengine mtajua wenyewe.
Akija kushtuka Kelleher yupo huko Norwich.
Tupo paleš¤£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtamrudisha tuMbona mnamkaba sana Miss LiverpoolFc, yeye amesema ni Kelleher tu hao wengine mtajua wenyewe.
Akija kushtuka Kelleher yupo huko Norwich.
Mtamrudisha tu
Tupo pale[emoji1787]
Mona hujambo?Nenda kasali kwanza
Oscar booooobKipara anakazi huko leo.
Usiwape presha hawa kuku, wataacha kuchangia jukwaa wakianza kukumbuka ka hero kao kameenda afcon.š Kelvin is back !Anatoa Salam.....
Mashabiki wa Mama Cita watoto wa shule mnatabu2 points jamani tunakumbushana tu.
Wakati wengine salaha anaondoka wengine KDB ndo kwanzaa anarudi kazini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnatia huruma kwakweli.
Ule ushindi wa kibabe, mpira mwingii.Mashabiki wa Mama Cita watoto wa shule mnatabu
Ushindi wa papatu papatu dakika za mwisho umekuwehusha[emoji1787]..
Mabingwa tupo tumetulia kileleni..ukijiona timu yako haipo kileleni usitupigie kelele[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnacheza na vibonde wanawanyuka goli zote 2Ule ushindi wa kibabe, mpira mwingii.
Hapo unaambiwa halaand hayupo, ederson, grealish, stones .......mama yangu.
Tunapowaambia ligi tunaanza February tuelewane jamani, hizi point 2 bado hamjasema.
Yaani ushinde uje ushangilie kwenye jukwaa la LiverpoolOscar booooob
Beautiful cross from kevin de bruyne....oooh lovely finish from composed bobb
Vijana wana hofu [emoji16]Yaani ushinde uje ushangilie kwenye jukwaa la Liverpool
Akili mavi kabisa hizi
kupata ushindi kwao ni adimu sana kwa sasa, ndio maana wakipata ushindi wanaweuka.kila mechi hawana uhakika na ushindi ,wakipata ushindi ni kamÄ miujiza.Yaani ushinde uje ushangilie kwenye jukwaa la Liverpool
Akili mavi kabisa hizi
HAPANA mkuu, mimi wachezaji wazuri nawapenda TU, kama king Salah , ujio wa huyu ndugu hata Klopp kauzungumzia Mimi ni nani nisichagizemehamia Man City?
Yaani ushinde uje ushangilie kwenye jukwaa la Liverpool
Akili mavi kabisa hizi
Wapo wawili tušSasa kwenye Uzi wao hakuna washabiki ataenda wapi asipokuja hapa