Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20240201_012001.jpg

YNWA
 
View attachment 2890322

Bradley ni habari mpya kabisa Liverpool... Mnasema aje mazima Anorld ahamie MF ama abakie pale pale kama sub ya Bradley [emoji1787]

YNWA
TAA kikombe alichomnywesha Clyne nahisi hicho hicho anaenda kukinywa

yaan TAA anapasha dogo Bradley anampiga bonge moja la assist kwa Diaz kama ni kocha mwingine unaweza kuona aibu kumtoa unamwambia TAA arud kwanza kwenye bench

On a serious note though Trent anatakiwa Sasa apambanie kombe kwenye hiyo nafasi ya kiungo maana kwa kukaba huyu dogo Yuko vizur kuliko you so nahisi coach ni rahisi kumpanga dogo badala yake
 
View attachment 2890322

Bradley ni habari mpya kabisa Liverpool... Mnasema aje mazima Anorld ahamie MF ama abakie pale pale kama sub ya Bradley [emoji1787]

YNWA

Mpira una ukatili sana, mara hii Trent wanamsahau, unajua kwa nini??

Anachofanya Bradley zaidi ya TRENT. Bradley yupo balanced offensively and defensively kitu ambacho TAA hana na ndio kinawapa confidence bora Trent endelee kujifunza kwa Bradley.

Trent bwana uvivu wake mambo yanawezekana kabisaaa,. Ila ndio hivyo ngoja this Ireland lad teaches him how to defend.
 
TAA kikombe alichomnywesha Clyne nahisi hicho hicho anaenda kukinywa

yaan TAA anapasha dogo Bradley anampiga bonge moja la assist kwa Diaz kama ni kocha mwingine unaweza kuona aibu kumtoa unamwambia TAA arud kwanza kwenye bench

On a serious note though Trent anatakiwa Sasa apambanie kombe kwenye hiyo nafasi ya kiungo maana kwa kukaba huyu dogo Yuko vizur kuliko you so nahisi coach ni rahisi kumpanga dogo badala yake

Klopp akitaka apate matokeo vs Arsenal same today’s starting line up has to start with.

Timu ina flow nzuri sana RHS unapata good flow na uwepo wa Bradley as RB unapa Szobo uhakika wa kuwa more offensively na Konate the France Horse awe na majukumu machache. Sioni kama ni sahihi kuwalazimisha Konate na Szobo wamlinde trent kwa kiasi hicho at the same time you have someone anaweza kuifanya kazi hiyo kwa ufasaha sana (BRADLEY) give him game time as long as anakupa unachotaka why bench him,??
 
Back
Top Bottom