mkombengwa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 3,173
- 3,443
Na anakabaSasa TAA atafute namba maana huyu Conor Bradley huyu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na anakabaSasa TAA atafute namba maana huyu Conor Bradley huyu!
Ding'oka hingo dibwela hingoYaan mpaka raha,toa kitu weka kitu.
Nunez ana evolve taratibu. Siku za nyuma alikuwa anakosa hovyo, sasa anagongesha mwamba hovyo. Very soon atakuwa anatupia magoli mpaka haters wajinyonge.Nunez inawezekana Mungu hajampangia kuwa striker angejaribu kuwa hata beki ama kiungo mkabaji tu.
Yesu wangu🥹🥹🥹Hii timu apewe Unai Emery kuliko hata huyo Alonso.
TAA kikombe alichomnywesha Clyne nahisi hicho hicho anaenda kukinywaView attachment 2890322
Bradley ni habari mpya kabisa Liverpool... Mnasema aje mazima Anorld ahamie MF ama abakie pale pale kama sub ya Bradley [emoji1787]
YNWA
View attachment 2890322
Bradley ni habari mpya kabisa Liverpool... Mnasema aje mazima Anorld ahamie MF ama abakie pale pale kama sub ya Bradley [emoji1787]
YNWA
Nkamu ebu kuwa serious kidogo 😂Nkamu Gerrard ndiye Joshua wetu😂
TAA kikombe alichomnywesha Clyne nahisi hicho hicho anaenda kukinywa
yaan TAA anapasha dogo Bradley anampiga bonge moja la assist kwa Diaz kama ni kocha mwingine unaweza kuona aibu kumtoa unamwambia TAA arud kwanza kwenye bench
On a serious note though Trent anatakiwa Sasa apambanie kombe kwenye hiyo nafasi ya kiungo maana kwa kukaba huyu dogo Yuko vizur kuliko you so nahisi coach ni rahisi kumpanga dogo badala yake
Nunez ana evolve taratibu. Siku za nyuma alikuwa anakosa hovyo, sasa anagongesha mwamba hovyo. Very soon atakuwa anatupia magoli mpaka haters wajinyonge.