Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kweli kocha anapata headache asee. Ila cha muhimu ni rotation tu kila mchezaji apate game time.

Naam.

Kama mimi ni Klopp bado ningeanza na team hii hii vs Arsenal

Jones on fire
Macca on point (as six last 3 matches amekuwa mzuri sana).
Szobo as usual

Bradley we all on he is on peak
Gomez at his best.

Front three no doubt,. Wapo involve sana kwenye magoli

Nunez assist
Diaz goal plus assist
Jota goal
 
Hakuna yeyote kati ya wachezaji wenu anayemfikia Trent kuona Mpira

Trent ana macho ya rohoni
Jicho la tatu

Ni wateule tu kama akina Trent tunalo[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji81] wachezaji wetu wapi?? Bradley anampa wakati mgumu Trent kujiuliza maswali magumu kwenye kuzuia.

Na kwa sasa akiharibu cameraman watamuonesha Bradley akiwa bench kwamba oya vipi bwana mdogo anawezaje, wewe unashindwa??

Uzuri Bradley mengi anayafanya kwa usahihi sana.
 
Trent huko nyuma si mnamlazimisha tu kucheza
[emoji81] wachezaji wetu wapi?? Bradley anampa wakati mgumu Trent kujiuliza maswali magumu kwenye kuzuia.

Na kwa sasa akiharibu cameraman watamuonesha Bradley akiwa bench kwamba oya vipi bwana mdogo anawezaje, wewe unashindwa??

Uzuri Bradley mengi anayafanya kwa usahihi sana.
 
🤣 🤣 🤣 Bado sana Gerrard labda nyuma yake apewe data analyst wa nguvu sana kama Graham na FD awe Edward au Ward ili asituletee akina Milner, Chambers, Lallana, Henderson hapa Liverpool....

YNWA
Gerrard ndiye aliyewatoa hao kwenye timu ,au mmeshasahau?
 
Haya maneno tulisha yasemaga tukanyoshewa vidole maranyingi alizokosekana Salah tilicheza vyema Sanaa na ushindi mnono.

Huyu Nunez aombe Salah aondoke mana anamhofu Tim ni yasala Nunez asubili kwanza

No! Haupo sahihi.
Timu kucheza vizuri au kucheza vibaya ni vipindi tu huwa vinatokea.

Nakumbuka kama miaka 3 iliyopita ilikuwa tukitoka Winter break ndiyo tunapopoteana.

Lakini marahii imekuwa tofauti lakini sio kwa sababu amekosekana sana.

Hata Coutinho alitubeba sana lakini alipoondoka Timu haikucheza vibaya bali ndiyo tukabeba Ubingwa! Je hii ilikuwa na maana alipoondoka Coutinho ndiyo Timu imecheza vizuri?

So, na kwa Salah ni same na Coutinho ametubeba sana kwenye huu msimu wakati kila mmoja akiwa amepotea, hivyo kuwa kwneye form kwa baadhi ya Wachezaji isiwe sababu ya kubeza uwezo wa Salah.

Salah ni nguzo muhimu kwenye Timu kwasababu pale kila mmoja anapopatea yeye ndiyo husimama.
 
Miss Liverpool atakupinga balaa kuondoka kwa Salah hataki hata kusikia.

Sema nini Lijnder mpira anaujua ndio maana Klopp anamuita brainer View attachment 2890612

Jurgen Klopp on Conor Bradley:

“For three years, Pep Lijnders has been in my ear [about Bradley].” #LFC

Hii alifanya kwa Trent pia.

Consistency ni kitu muhimu kuliko hizi form ambazo mara nyingi huwa ni temporary.

TAA ana Class but Bradley yuko na best form.

So, Bradley asipokuwa na consistency basi TAA ataendelea kucheza kila game.
 
Huyo dogo tumpe mwaka mzima acheze kwa kiwango hikihiki halafu sasa tutamwita mwamba kama Trent

Ndio sifa ya Ushabiki na upenzi wa timu ulivyo na thats football.

Nafikiri ingekuwa vizuri kama tungeona

We are still playing good and bag positive results even without Salah.!!
 
Consistency ni kitu muhimu kuliko hizi form ambazo mara nyingi huwa ni temporary.

TAA ana Class but Bradley yuko na best form.

So, Bradley asipokuwa na consistency basi TAA ataendelea kucheza kila game.

There is no Consistency without form. Form ndio inazaa consistency na consistency inaanza na form kama Bradley.
 
Kumbe tumeyapiga haya kenge 4 na hamsemi🤣
Ngoja niamke nikacheck mechi

Makenge ni timu ya kutupwa😂😂😂😂

Jota as usual.
Huyu mtoto Bradley ntaanza kumzingatia.

Babe wangu jana alianza benchi jamani
Baby wako yuko offensively sana Sasa huyu Bradley yuko Defensively na Offensively vizuri sana, na hii inamfanya Konate apunguze majukumu ya kwenda kufanya covering upande wa kulia.
 
Arsenal tunawasubiri kwa hamu Emirate, Mkapange tena kale Katoto kule kulia kaone show. Huwa tunamuhofia Salah tu.

Chelsea hawaeleweki walikua wanacheza mfumo gani. Hata kupiga pasi 3 shida.
Bila Salah kuwepo utakua hujaangalia mechi za Liverpool wewe si wa kutoa hio kauli... Bila Salah hatuna wa kumtegemea pale mbele wote wawe tayari kupokea chance na kufunga hakuna namna..kama jana ulivyoona.

Hako unakosema katoto hakana ishu sanaaaaa kutafuta statement kwani Klopp alishasema kwamba anamwimini na hio inatosha kwake hivyo endapo ataamka powa kama jana basi huyo Martineli atakula sub mapema sana... Ombeni sana apangwe kibonde wenu TAA ila kama ni huyu dogo ujue kazi mnayo.

YNWA
 
Back
Top Bottom