King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,117
- 6,897
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lile mlilotubutua wiki 3 zilizopita tulishinda msimu wa kwanza wa Arteta....zaidi ya hapo hakuna cha maana...ila nyny wakubwa wa ligi mmebeba sana makombe inaonekana🤠🤠🤠Ukitoa EPL ambayo huu ni mwaka wa 20 hamna, Mna kikombe gani tena kingine mmefanikiwa kupata ndani ya miaka 5?
Yeye lake goli
Uwanjani huku anatafuta nini?
Magoli ya jana ni magoli ya kipumbavu kupata kuwahi kutokea.
Mi mwenzenu sijui kwa vile sijui mpira, yaani simuelewi hata huyo dogo.
Unafanya analysis kishamba sana....ukianza kuzungumzia Nyumbani na ugenini Kila mtu kwny ligi ana mechi ziko tricky sana....unataka kusema hapa Liverpool hatafungwa tena hadi ligi inaisha na wenzake watakuwa wanadundwa tu....West Ham kushinda mechi ya kwanza haimaanishi na ya pili watashinda....Man City anaweza akadondosha points naye....halafu tangu Klopp aje mmebeba EPL mara ngapi kwni....yaani unataka kufanya kama vile ni mabingwa wa mara kwa mara wakati na nyny ni wafukuza upepo tu kama Arsenal....
Ukute hajiwezi bila Salah akaona asepe mapema kabla yake
Ukisoma hyo comment yangu vzuri ninachokipinga ni akili ya jamaa kwmba Liverpool mechi karibu zte zilizobaki kwake ni rahisi...hasa zile big games atakazocheza pale Anfield....kwngu mm hlo ni kosa kubwa sana kufikiria hvyo....Arsenal ukiondoa last season lini alifukuzia ubingwa toka era ya Pep na Klopp itue EPL???
Maana unachokipinga ndicho unachokisema.
Mizimu ya kwao haina vinyongo vya ajabu ajabu. Hata kwa hilo Darwin jamaa ni wamoto sanaView attachment 2895456
Dogo anakiuka mababu zake, huko ipo hivi
Uruguay, ni lazima uwe na la kwenu kwenye jezi, Ndio maana Uruguay anaandika D. Nunez akija EPL anajikuta Darwin.
Arudi kwao akatubu mambo yakae sawa.
YNWA
Bradley amefiwa na babake mzazi ndio maana jana hakucheza.Ha haaa Klopp alijua kampanga bladley nini?
Kwa hiyo huyu mzee hajui mapungufu ya wachezaji wake kweli Tim inamzidi uzito Sasa acha apumzike tu
🤣 🤣 🤣 Miss Liverpool lol...Kombe lenu msimu huu ni kumfunga Liverpool
Yaani kwa kweli kanikera sanaYanatia ukakasi kwa anayegombea ubingwa,.
Tulikua unga sana. But its a work up call,.
Ukitazama sana tabia ya ma swipa kipa kutoka Brazil hii staili wanayo sana y kutoka golini kila wakinusa hatari yaja... Sometimes ni sawa kwa hesabu sasa ila sometimes sio sawa kama jana kwa sababu ile situation VVD alikua 'ameshaituliza' kabla ya Allison kuja spidi kali sana aafu akaishia kua spectator...sio mara ya kwanza ameti cost point na haitakua mara ya mwisho kutu cost point.Ila kiukweli mtindo wa Allison kutoka nje ya goli na kukaa karibia katikati ya uwanja ,utadhani naye ni beki aisee hii tabia inanikera sa
DuhNo kuujua au kutokujua kuna vitu basics unaona tu hapa kazi ipo.
Graven ni talent sana tulimtaka akiwa Ajax kabla hata Bayern hawajamtaka, ila Bayern wakatuzidi kete dogo akachagua huko na ikaishia hivyo.
He is good inahitaji kujituma zaidi, ajitume sana. Akili inataka mwili unakataa
🤣 🤣 Hallaad leo kakosa sitter hivi hivi.. Ingekua ni kijana wangu Nunez hapa miss Liverpool angekua kashatupia mistari ya kutosha...Leo utajionea mtu anapelekewa mvua ya mashambulizi dk 30’ za mwanzo
Comb ya KDB na Halaand tutaishuhudia leo.
Lile mlilotubutua wiki 3 zilizopita tulishinda msimu wa kwanza wa Arteta....zaidi ya hapo hakuna cha maana...ila nyny wakubwa wa ligi mmebeba sana makombe inaonekana🤠🤠🤠
Ujinga ni pale anaporudia tabia hiyo magoli yoteUkitazama sana tabia ya ma swipa kipa kutoka Brazil hii staili wanayo sana y kutoka golini kila wakinusa hatari yaja... Sometimes ni sawa kwa hesabu sasa ila sometimes sio sawa kama jana kwa sababu ile situation VVD alikua 'ameshaituliza' kabla ya Allison kuja spidi kali sana aafu akaishia kua spectator...sio mara ya kwanza ameti cost point na haitakua mara ya mwisho kutu cost point.
YNWA
Jana hata kama Salah angekuwepo kichapo kilikua pale pale... Liverpool hua tunacheza kama unit ndio ushindi unapatikana na jana ilikua siku mbaya sana kazini vijana hawakuamka na mpinzani alijipanga vyema sana... Arteta amefanya homework yake vizuri sana jana akazimba kila njia kimsingi ametuchezea mpira wetu....Ukute hajiwezi bila Salah akaona asepe mapema kabla yake