Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 7,918
- 20,037
kwenye match ya man united na forest wamekubali ni gold halali ila kwa Liverpool diidi ya Chelsea wamelikataa goli la namna ile ile yaani copy and paste.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwenye match ya man united na forest wamekubali ni gold halali ila kwa Liverpool diidi ya Chelsea wamelikataa goli la namna ile ile yaani copy and paste.
Double standards. Ubaya ni kuwa no matter what they do, we still thrive.
Dah yaani hajui kama tulipoteza Ubingwa tukiwa tubekiza mechi 2 tu
Allison nae mbovu wa miguuni huyo
Akina Van wakimrudishiaga pasi moyo wangu huwa unashituka sana kama tumekabiwa juu
Anabutuaga hovyo
Kosa lililofanywa na Stevie G lingefanywa na Henderson ningemlaani
Lakini Stevie G alikuwa ni mchezaji wangu kipenzi nilihumia huku nikimuhurumia mwamba kustaafu bila epl maana mimi nilikuwa na imani one day tutabeba epl maana shabiki hastaafu
Suarez nilihumia magoli yake kutokuwa na thamani kwa team yangu
Sturridge oh my boy na staili yake ya ushangiliaji baada ya kufunga
Sterling ukiberenge wakati akiwa Liverpool ulikuwa ni wa hatari
SSS utatu huu ulikuwa hatari
Allison yeye anacho kipi Cha maana
Mbona anatuchomesha sana
Kweli mimi kelleher akiwa golini nakuwa na Amani kuliko akiwa Alison hachelewi kutoka golini
Kabisa Mkuu
Allison anatoka sana utadhani anataka naye akafunge
Wasitutanie Hawa[emoji23]
Tetesi mo salah amesign pre contract na timu moja huko arabuni.
hainitishi maana kwa tetesi za hawa makocha wanaotajwa hakuna hata mmoja wa kumzidi Salah vyumbani/ukubwa wa mambo ambayo ameshayafanya
Bora waje wakutane na madogo ambao hawatawapa stress kwenye kuwaagiza majukumu uwanjani
Ili timu iwe sawa uwanjani lazima vyumbani kuwe na utulivu
YNWA
Nitajie magolikipa wasiotoka sana.
Game vs Brentford kama sijakosea Kelleher alipimwa mbali tu akiwa nje goli ni vile haikuwa on target tu ilitoka nje. Nayo ungemlaumu??
Najua Game ya Arsenal lawama kwa Beckor, ila huo ndio mpira kukosea kupo, bahati mbaya utahukumiwa makosa yako kulingana na demand ya mechi husika ya wakati huo.
Hawa waache kutega kaziGame ya juzi hata bech hawakuwepo
Wanatoka ila Allison amezidiNitajie magolikipa wasiotoka sana.
Game vs Brentford kama sijakosea Kelleher alipimwa mbali tu akiwa nje goli ni vile haikuwa on target tu ilitoka nje. Nayo ungemlaumu??
Najua Game ya Arsenal lawama kwa Beckor, ila huo ndio mpira kukosea kupo, bahati mbaya utahukumiwa makosa yako kulingana na demand ya mechi husika ya wakati huo.
Lile goli wanalirusha sana LFC TV ilikuwa bahati tu ipo upande wakeNakupa tatu:-
1. Katazame mechi Liverpool vs Napoli December 15 2018. Alison alifanya world class great save ambayo ilienda imatupa Champions league.
2. Katazame Liverpool vs West Bromwich May 16 2021. Alison scored beautiful goal from corner kick iliyotupeleka Champions League tukaenda hadi fainali 2021/2022 vs Madrid. Bahati mbaya hatukubeba.
3. Katazame mechi ya Man utd vs Liverpool January 20, 2020. Alison alitoa assist kwa Salah akafunga his first ever goal vs Utd.
Achana na saves za 1v1 ambazo zimemfanya awe among best GKs.
YNWA.