Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

View attachment 2925299
Mwenyezi Mungu amsaidie weekend hii afunge goli dhidi ya City kati ya zile goli za ushindi tutakazopata kwenye game hiyo. 😂😂😂
Hebu sema tena tukuelewe. Yaani ili Gomez afunge, mnataka muwe mnaongoza 4-0 dhidi ya City, mpate penalty ndiyo apewe Gomez apige?

Mhh. Itapendeza lakini.

Wapigeni 3-0 tu . Msiwavunje moyo.
 
Bado hamis77 na Arteta wanatukanwa kwenye Uzi wenu?
Matusi yamepungua.

Sisi kawaida yetu ni tukishinda mechi mbili tatu tunafurahi, ila tuna hatari ya kugeukana tukifungwa hata mechi moja. Hatupendi kabisa kufungwa au kutoa sare. Tulizoea kitambo ila hatujawahi kupenda.

Kazi ya Arteta ni kuhakikisha tunampiga kila anayekatiza mbele yetu ili tuwe na amani.
 
[emoji837][emoji633] EXCLUSIVE — Grimaldo: “Xabi Alonso is 𝐬𝐩𝐞𝐜𝐢𝐚𝐥. He’s going to mark an era as a manager”.

“In the game vs Stuttgart, we did very bad in first half...”.

“Xabi Alonso told us: I don’t care about the result. It doesn’t matter. What I want is to see our style, our football”.
 
Xabi ni mshkaji wa Arteta. Atakuwa anampigiaga simu Arteta na kumuomba ushauri pamoja na kumuambia yeye ni #1 fan wake na kuwa ana autographed cd ya 'All or Nothing:Arsenal". No wonder anaongea kama Arteta na ana mpira mtamu kama wa Arteta.
 
Tumpige City hii game . Then game ya City na Arsenal itakuja kutuambia tucheze karata gani nyingine ya kuchukua ligi.
1709737581878.jpg
 
Mkuu keptain mavalaz hebu naomba uchambue kidogo game yetu na city tunatoboa kweli na hawa madogo...?
Ngoja kesho vijana wacheze tuone namna watakavyotoka maana hili pepo la majeruhi limetukaa mno mpaka hatari sanaaa.
Tukishaona kikosi waliowazima ndio tuone namna aisee.
Hawa wakicheza 4 3 3 dynamic tutakua salama na ushindi
Kelleher
Bradley Konate VVD Gomez
Domy Endo Mac
Salah Nunez Diaz

YNWA
 
I would start gakpo ili Nunez aje second half

Gakpo ni good CAM can protect defense as well
 
Ngoja kesho vijana wacheze tuone namna watakavyotoka maana hili pepo la majeruhi limetukaa mno mpaka hatari sanaaa.
Tukishaona kikosi waliowazima ndio tuone namna aisee.
Hawa wakicheza 4 3 3 dynamic tutakua salama na ushindi
Kelleher
Bradley Konate VVD Gomez
Domy Endo Mac
Salah Nunez Diaz

YNWA
Kwetu tuna squad ndogo mkuu. Je mnaweza kutuchagulia madogo gani wenu mtuuzie?
 
Ngoja kesho vijana wacheze tuone namna watakavyotoka maana hili pepo la majeruhi limetukaa mno mpaka hatari sanaaa.
Tukishaona kikosi waliowazima ndio tuone namna aisee.
Hawa wakicheza 4 3 3 dynamic tutakua salama na ushindi
Kelleher
Bradley Konate VVD Gomez
Domy Endo Mac
Salah Nunez Diaz

YNWA
Robbo ameumia?
 
Back
Top Bottom