HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 2,952
- 5,583
Hebu sema tena tukuelewe. Yaani ili Gomez afunge, mnataka muwe mnaongoza 4-0 dhidi ya City, mpate penalty ndiyo apewe Gomez apige?View attachment 2925299
Mwenyezi Mungu amsaidie weekend hii afunge goli dhidi ya City kati ya zile goli za ushindi tutakazopata kwenye game hiyo. 😂😂😂
Mhh. Itapendeza lakini.
Wapigeni 3-0 tu . Msiwavunje moyo.