Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Man city ipo kibla.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Rahem sterling banaHahaha hajatulia kabisa
Salah wangu na Trent wakikosekana mambo hayaendi kabisaNunez ebu fanya jambo Miss Liverpool atazame gemu laivu sio livescore[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
YNWA
Kwa kikosi hiki cha leo kutoka sare mpaka Pep anamtoa KDB ili azuie ujue amekamatika vilivyo...hua mara chache sana Pep kukamatika kama leo.Mkuu game ya presha hii bado atatulia naamini ..
Ila city wanapiga mpira kimkakati Sana ..
Naamini goli lipo labda watuwah Cha pili
YNWA
Rudi huko livescore bhana ungejua kazi ya Nunez wala usingesema hayo maneno...Salah wangu na Trent wakikosekana mambo hayaendi kabisa
Ila m nimeshangaa inakuaje city inatuogopa hv ..Kwa kikosi hiki cha leo kutoka sare mpaka Pep anamtoa KDB ili azuie ujue amekamatika vilivyo...hua mara chache sana Pep kukamatika kama leo.
Kudos kwa vijana wamecheza vyema sana leo. Sare sio powa kwetu lakin ni bora sare na Kipara kuliko sare na Everton nk... Ushindi wao leo ingekua kama busta kwao angalau vijana wetu Quansah na Bradley wamehitimu sasa ni boys to men kutoka salama vs Kipara sio kazi rahisi..
Sijakumbaliana na sub za Klopp kumtoa Nunez ambae ndio hatare zote kwetu amesababisha, pia Bradley anajua kuingia vyema kwenye channels hakufaa kutolewa leo...
YNWA
YNWA
Diaz kakosa tu clear chance sema dogo mjapan anajua sana mpiraSijui hata nilitaka kusemaje ila tu leo bahati haikuwa kwa upande wetu, tumeshindwa kutumia nafasi nyingi sana za wazi ambazo zingeweza kuwa magoli.
But anyway let's hope for more win in the next games.
YNWA.
That the mentality man. Always hoping for a better tomorrow.Sijui hata nilitaka kusemaje ila tu leo bahati haikuwa kwa upande wetu, tumeshindwa kutumia nafasi nyingi sana za wazi ambazo zingeweza kuwa magoli.
But anyway let's hope for more win in the next games.
YNWA.
Njlisema tangu mapema kuhusu hii game yetu Leo itakuwa 1-1Wakuu
Leo naamini kabisa City hatpki hata pep anajua hilo tena anfield
Ni sisi kuwin au iwe draw kama basi ni 1-1 tu.
Nunez mnayemdharau kama akianza leo atafunga .
Save this.
Nimeridhika na matokeo ya leo kabisa no complain vijana wamefanya vyema sana dhidi ya best team in the world..Ila m nimeshangaa inakuaje city inatuogopa hv ..
Kumbe madogo wamepiga kazi Yaani mpaka half time shot on target tumetungua Moja Tena shuti dk ya 45 ya szabo ...
Kipindi Cha pili on target 5 kwa Moja ..
Si mchezo ..
Ubingwa wetu
YNWA
Mkuu kipara leo alidakwaNimeridhika na matokeo ya leo kabisa no complain vijana wamefanya vyema sana dhidi ya best team in the world..
YNWA
Niache bwana😂Rudi huko livescore bhana ungejua kazi ya Nunez wala usingesema hayo maneno...
YNWA
Niache bwana😂