TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Hawa ndio we imbeciles wanaopewa gadgets wachezeeCrop kaona hawezi maisha bila Milner, Henderson ..Ox Chamberlain kaamua kukimbia
Naona Wametufikia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ndio we imbeciles wanaopewa gadgets wachezeeCrop kaona hawezi maisha bila Milner, Henderson ..Ox Chamberlain kaamua kukimbia
Hakuna timu yenye jina hilo mkuuNawatamani sana sana hawa BAYERN LEVERKUSEN .
nasubili mda tu
Kimeisha walamba huko 🤣😂😂Niko napasha koo sehemu hapa na leo nataka niwakere watu nashangilia kama wale mashabiki zetu uwanjani yaani kila muda naamsha mpaka nifukuzwe bar leo.
Sasahivi wadau wamekimbia jukwaani utafikiri wote ni Islamic wako kwenye futari, Subiri wasazishe uone Kingereza kitacho shushwa humu jukwaani, utafikiri wote ni waingeleza.Leo nyumbu hawezi waacha salama 😂🤣🤣🤣Oyaaa mnapigwaje na Nyumbu nyie?
Ngapi ngapi kwaniOyaaa mnapigwaje na Nyumbu nyie?
Punguza hashua.Oyaaa mnapigwaje na Nyumbu nyie?