kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,229
- 11,531
3-1Sidhani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
3-1Sidhani
I love youHuyu Macca huyu
Ni mtu na nusu
Aangaliwe vizuri
Jana kimekufa pale darajani!Juma pili vs Nyumbu , Klopp Aingie na GEGENPRESSING pure nyumbu afe kipindi cha kwanza.
Nyumbu watakufa tu ,, kikubwa asipozwe na mashambulizi. Dakika 1 mpk ya mwisho ashambuliwe kama nyuki walio pigwa moshi.
Acha woga. Nyumbu mwepesi mnooooooo. Tutashangaa zaidi ukishindwa kumfunga kuliko ukimfunga.Mambo yakibadilika utasikia Klopp anazingua, Gakpo hapaswi kuwepo Liverpool n.k. kwasababu ya false hope kama hizi.
Liverpool kunfunga Nyumbu ni 25%, Nyumbu kumfunga Liverpool ni 35%, Draw ni 40%.
Hivyo tutegemee lolote hapo hakuna matokeo yaliyo above 50%.
Acha woga. Nyumbu mwepesi mnooooooo. Tutashangaa zaidi ukishindwa kumfunga kuliko ukimfunga.
Ulichokiweka wewe pia ni Ramli tu hakina uhalisia kwa mwingine.Mambo yakibadilika utasikia Klopp anazingua, Gakpo hapaswi kuwepo Liverpool n.k. kwasababu ya false hope kama hizi.
Liverpool kunfunga Nyumbu ni 25%, Nyumbu kumfunga Liverpool ni 35%, Draw ni 40%.
Hivyo tutegemee lolote hapo hakuna matokeo yaliyo above 50%.
vyote hivyo vinne manyumbu hawanaMpira si woga wala ushujaa bali ni Uwezo + Tactics + Nidhamu + Mentality
lile ni kombora kabisaI love you mac alister
Babe♥️I love you
Onyo la kirafiki tu...wanaume wa Liverpool hawaaminiki. Kacheki cheki kule Gunners njemba za maana zipo kibao...Babe♥️
😂😂😂Onyo la kirafiki tu...wanaume wa Liverpool hawaaminiki. Kacheki cheki kule Gunners njemba za maana zipo kibao...
Ulichokiweka wewe pia ni Ramli tu hakina uhalisia kwa mwingine.
Unayo mengi ya kunifundisha.Na hakuna sehemu nimesema nimeweka kitu cha uhakika labda uniambie kuwa Percentage probability kwako zina tafsiri ya ya uhalisia.
Man utd ya akina KambwalaUnayo mengi ya kunifundisha.
Tuishie hapo kwa leo mkuu.