HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 2,952
- 5,583
Naona uko sahihi.Mkuu katazame Net spend ya Klopp utaona ni ndogo mno kuliko unavyodhani.. Kwa kua ameuza wachezaji wengi na kwa bei powa sana inampa net spend y wastani..
Hili la kutochukua Kombe zaidi ya mara moja mpaka sasa lina maelezo mengi mengi lakin hayasaidii wala kufuta ukweli kwamba Kipara ametumbuliza kisawa sawa na sio tu kwa sababu wana pesa lakin kwa sababu Kipara ni kocha bora zaidi ya Klopp,... Klopp analetaga mahaba ksa wachezaji hata kama hawampi anachotaka na hii ndio imetupelekea kua wasidikizaji Champions League na EPL akiwepo Klopp..
Upande mwingine amejitahidi sana kupambana na Oiled Manchester City huku akiwa na mabosi ma Yankees wenye kuangalia zaidi mapato kuliko vingine...
Hakuna ku justify hili la EPL moja akiwepo Liverpool. Hakika hapo amefeli sana na hii pia inatokana na nguvu yake pale klabuni. Klopp word is final na hii iliwapa akina Edwards mazingira magumu mpaka wakaamua kuodoka kwa kua hawakua huru kutekeleza majukumu yao.
Tutazame yajayo chini ya mwamba Edwards nina imani watafanyia kazi mapungufu yaliopo.
YNWA
Klopp kapambana kinoma ingawa kuna vitu alikuwa anazingua. Ukichanganya na kuwa kuna Kipara kwenye ligi, ambae ni vigumu kupamba naye kama hauko vizuri kila idara, amejitahidi sana.
Kipara ameonyesha ulimwengu kuwa yuko vizuri kimbinu na akiwa na timu bora zenye pesa ndiyo kabisaa hashikiki, na hili amefanya kila nchi aliyopitia. Apewe maua yake, na waliojituma kwa kila namna wawezayo kukabiliana nae, nao wapongezwe (baba ubaya, klopp, Arteta a.k.a mpokea kijiti cha Pep, na wengine)