Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu katazame Net spend ya Klopp utaona ni ndogo mno kuliko unavyodhani.. Kwa kua ameuza wachezaji wengi na kwa bei powa sana inampa net spend y wastani..

Hili la kutochukua Kombe zaidi ya mara moja mpaka sasa lina maelezo mengi mengi lakin hayasaidii wala kufuta ukweli kwamba Kipara ametumbuliza kisawa sawa na sio tu kwa sababu wana pesa lakin kwa sababu Kipara ni kocha bora zaidi ya Klopp,... Klopp analetaga mahaba ksa wachezaji hata kama hawampi anachotaka na hii ndio imetupelekea kua wasidikizaji Champions League na EPL akiwepo Klopp..

Upande mwingine amejitahidi sana kupambana na Oiled Manchester City huku akiwa na mabosi ma Yankees wenye kuangalia zaidi mapato kuliko vingine...

Hakuna ku justify hili la EPL moja akiwepo Liverpool. Hakika hapo amefeli sana na hii pia inatokana na nguvu yake pale klabuni. Klopp word is final na hii iliwapa akina Edwards mazingira magumu mpaka wakaamua kuodoka kwa kua hawakua huru kutekeleza majukumu yao.

Tutazame yajayo chini ya mwamba Edwards nina imani watafanyia kazi mapungufu yaliopo.

YNWA
Naona uko sahihi.
Klopp kapambana kinoma ingawa kuna vitu alikuwa anazingua. Ukichanganya na kuwa kuna Kipara kwenye ligi, ambae ni vigumu kupamba naye kama hauko vizuri kila idara, amejitahidi sana.

Kipara ameonyesha ulimwengu kuwa yuko vizuri kimbinu na akiwa na timu bora zenye pesa ndiyo kabisaa hashikiki, na hili amefanya kila nchi aliyopitia. Apewe maua yake, na waliojituma kwa kila namna wawezayo kukabiliana nae, nao wapongezwe (baba ubaya, klopp, Arteta a.k.a mpokea kijiti cha Pep, na wengine)
 
Kitu kimoja kikubwa alichokifanya Klopp kwa Liverpool ni kugeuza ile mentality ya ma yankees na wachezaji kuwa liverpool is no longer a selling club kama ilivokua zamani

Ilikua mpaka Arsenal eti wanatutishia nyau kutuchukulia our top players
 
Kocha anawatengenezea system nzuri ya kufanya build up hadi kufika goli la mpinzani, lakini wachezaji wake wakifika golini wanakosa magoli, halafu mashabiki wanamlaumu Kocha
Kwani aliye Msajili Nunez ni nani?
 
Naona uko sahihi.
Klopp kapambana kinoma ingawa kuna vitu alikuwa anazingua. Ukichanganya na kuwa kuna Kipara kwenye ligi, ambae ni vigumu kupamba naye kama hauko vizuri kila idara, amejitahidi sana.

Kipara ameonyesha ulimwengu kuwa yuko vizuri kimbinu na akiwa na timu bora zenye pesa ndiyo kabisaa hashikiki, na hili amefanya kila nchi aliyopitia. Apewe maua yake, na waliojituma kwa kila namna wawezayo kukabiliana nae, nao wapongezwe (baba ubaya, klopp, Arteta a.k.a mpokea kijiti cha Pep, na wengine)
Well said chief
 
Huyo anatakiwa awe anaingia kipindi cha pili yaani ile namba ya Nunez apewe Danns tu
Jamaa pamoja na kukosa magoli ya wazi lakini pia ana mchango mkubwa sana kule mbele kama kupambana na mabeki pinzani, uwezo wa kukokota mpira, spidi, nguvu. Aendelee tuu kuanza 1st eleven mbele ya Gakpo.
 
Kwenye Champion League tulipompiga nje ndani kwenye Robo huyo Pep hakujua kuwa Kombe mbele yake?

Alipopigwa Fainali na Chelsea huyo Pep hakujua kuwa mbele yake kuna Kombe?

Au unaongelea Pep gani na Kombe gani labda?
Mzee katika asilimia za kupoteza vikombe Klopp Ni loser mmoja ambaye hajawahi kutokea .....ndio maana hata Liverpool awe top of the table Hakuna MTU mwenye Akili timamu anaweza kusema watachukua ubingwa ......never ...hata Arteta anamizidi consistency strategic tactics....

Pep Ni master WA kuwin vikombe , consistency is the key ..

2018 Liverpool alitutoa CL yess , lakin ndio tulichukua PL Kwa point 100 ,nyie mkaishia kupata 0 tropthies ......sio nyie tu

2019 tulitolewa na Spurs CL hapo hapo robo final

2020 tukatolewa na Lyon CL Kwa majuto makali ...

2021 tukafungwa na chelsea kwenye final CL ..

2022 tukatolewa na Madrid semi final CL ...

Hizo run zote pep alikuwa anahakikisha anachukua PL au fa na hatoki nje ya top 4 ,hakuwahi kutoka empty that is why nasema pep is always masterclass ...

Baada ya game ya city nilisema subili uone sababu ya kwanin klop ana 1PL kwa miaka 9 ,,Klopp Ni hyped manager ambaye anaenda na upepo tu WA either media au mashabiki ,Hana ile personal ability and influence....ndio maana kwenye big game utamuona Yupo juu then he is going to be smoked by small team Easily .....kiufupi anaugonjwa WA kusinzia Katikati ya mapambano ,akiamka anakutana na ngumi moja chaliii watu wanachukua ubingwa [emoji23]
 
Timu isiyo na ambition ya makombe, ikikosa kombe haiumii na Wala hawana mpango wa kuboresha kikosi chao

Arteta na Edu ili wairudishe timu kwenye ramani, walikaa chini wakaamua kutengeneza phases za project.

Kwenye phases, phase ya timu kuanza kuchallenge makombe ni phase ya 4, phase ya 5 ni kuifanya Arsenal iwe the best in the world

Sasa unaposema Arsenal Haina ambition ya makombe tunakuwa hatukuelewi, wakati mashabiki tunaona kabisa direction ya timu yetu
Acha kuandika ujinga
 
Nunez ni mchezaji ghali wa muda wote liverpool , Benifica walipiga €100 kwa liverpool
FB_IMG_1713000253815.jpg
 
Back
Top Bottom