Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi kwani ni marufuku golikipa namba 3 kucheza?
Mechi zilizobaki acheze tu golikipa namba 3
Allison apumzike tena sasa aisee
Tumemchoka.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
City akichukua ligi itapoteza mvuto

Acha tu wachukue hata kama watatusumbua.
Halafu wasipochukua nitawaonea huruma sana,mpira mzuri wacheze wao halafu watoke mikono mikavu
Heri sisi tuna koroboi mkononi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mpira mzuri Arsenyo hawajaanza kucheza leo labda kama umeanza kuwafatilia jana na leo, hawa mpira mzuri walikua wanacheza tokea kipindi cha mzee Wenger.
Asenyo ni sawa na mwanamke mzuri (Pisikali) lakini hana bahati ya kuolewa.
Watu tunaishia kujiuliza tu, huyu demu mbona mkali sana lakini haolewi?
 
Ww omba njaa kwlikwli...jumapili tuna Tottenham...tukiwazabua wale aisee mjiandae na shombo zetu...maana sioni koroboi lingine la kutuzuia kabisa...Manunu ndo hata siwafikirii kabisa...maana mule kuna kundi la wacheza kiduku sio timu ya mpira🤠🤠🤠
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mpira mzuri Arsenyo hawajaanza kucheza leo labda kama umeanza kuwafatilia jana na leo, hawa mpira mzuri walikua wanacheza tokea kipindi cha mzee Wenger.
Asenyo ni sawa na mwanamke mzuri (Pisikali) lakini hana bahati ya kuolewa.
Watu tunaishia kujiuliza tu, huyu demu mbona mkali sana lakini haolewi
 
Man City leo anaenda kukutana na kitu kizito...tupo hapa American express stadium mubashara tukiwa na baragashia na tunguli tunasubiria mda
Kombe la Man City hilo binti wala usihangaike kum-betia Arsenal! Mechi za mwisho Man City huwa halina utani!
m
 
Too early to give up, I still see a rough road ahead for each of the 3 aspirants
Mkuu tazama wachezaji wetu wenyewe washajichokea aisee yaan hawana kiu aisee, Liverpool hua identity yetu ni full intensity je hilo kwa sasa lipo?

Wachezaji wameishiwa pumzi, Mwalimu kaishiwa maneno anaishia kuomba msamaha tu..

YNWA
 
Kuna mdau aliwahi kusema tuna game 2 ngumu. Akazitaja ni dhidi ya United na Everton.
Kumbe hata Palace ni wagumu kwetu.
Tukapoteza kwa everton na sare ya united.

Ila kwa haki kabisa Nunez na Salah wamechangia kwa kiwango kikubwa kushindwa kubaki kwenye nafasi ya kubeba ubingwa.
Game dhidi ya palace kulikuwa na clear chances za kufunga. Zote wakapoteza.
Kloop naye amezidisha mahaba kwa Salah. Hata akiwa flop bado anaendelea kumwamini.
Ona hii hapa chini.
1714048057908.jpg
 
Nadhani Captain Marvelous Arne anatofautiana Kiasi na KLOPP Kwenye Umiliki wa Mpira. Moja ya Changamoto za Msimu Huu kwa KLOPP imekuwa kufungua timu za Low Block.
KLOPP anakuwa na Ubora wake akicheza TRANSITION BASED Game, kuna namna Msimu huu Liverpool Imeadapt Mpira wa Tupasi pasi twa Hovyo kitu ambacho huwezi kiona sana kwa kina Mane, Bobby & Salah. Hawa ilikuwa One~two tukimbie.

ARNE
anapenda Inverted FB's kitu ambacho KLOPP ameleta kwa TAA ila hakijawa na Matunda kama wakati anawatumia kama Marauding FB's yeye na ROBBO kupiga Krosi. ARNE Inverted wanaongeza Idadi kwenye Build Up na Mara nyingi wanatengeneza Box. KLOPP Mara nyingi Holding wake alikuwa anashuka chini kama Option namba 1 ya Pasi toka kwa GK. FABBY Aliitendea haki hii sehem, Alcantara Klopp alihisi ni Upgrade ila ikawa tofauti.

Kama anakuja ARNE sitashangaa kuhusishwa haya Majina Geetruida, Hanco, Wieffer na Captain wake wa zamani Alkmaar Teun Koopmeiners.
Naona jamaa wa Rotterdam wanakomaa p9m plus bonus on titles won nk nk...
Uzuri hawaweki ngumu abakie wanakaza maana wanajua hii bahati haiji mara mbili aisee.

YNWA
 
Kuna mdau aliwahi kusema tuna game 2 ngumu. Akazitaja ni dhidi ya United na Everton.
Kumbe hata Palace ni wagumu kwetu.
Tukapoteza kwa everton na sare ya united.

Ila kwa haki kabisa Nunez na Salah wamechangia kwa kiwango kikubwa kushindwa kubaki kwenye nafasi ya kubeba ubingwa.
Game dhidi ya palace kulikuwa na clear chances za kufunga. Zote wakapoteza.
Kloop naye amezidisha mahaba kwa Salah. Hata akiwa flop bado anaendelea kumwamini.
Ona hii hapa chini.View attachment 2973641
Nunez anahitaji maneno ya Thierry Henry ama Torres ama Surez ama Owen ama Fowler maana mbona kosa kosa zake sio za kawaida...
Anajua kutembea na walinzi..
Anajua kucheza na offside trick..
Anajua kuji position...
Anajua goli lilipo ishu wapi sasa apige shot yake ndio kipengele, katika vitu Klopp vinamchanganya sana kuona hili la Nunez... So bad na Salah karudi kupona kama sio yeye

YNWA
 
Kuna mdau aliwahi kusema tuna game 2 ngumu. Akazitaja ni dhidi ya United na Everton.
Kumbe hata Palace ni wagumu kwetu.
Tukapoteza kwa everton na sare ya united.

Ila kwa haki kabisa Nunez na Salah wamechangia kwa kiwango kikubwa kushindwa kubaki kwenye nafasi ya kubeba ubingwa.
Game dhidi ya palace kulikuwa na clear chances za kufunga. Zote wakapoteza.
Kloop naye amezidisha mahaba kwa Salah. Hata akiwa flop bado anaendelea kumwamini.
Ona hii hapa chini.View attachment 2973641
Tumpumzishe mtoto wa watu aisee
Sasahivi tuanze kuwalaumu mabeki na makipa
Mbona hawakukaba,na makipa wakashindwa kudaka hatimaye tukafungwa
 
Naona jamaa wa Rotterdam wanakomaa p9m plus bonus on titles won nk nk...
Uzuri hawaweki ngumu abakie wanakaza maana wanajua hii bahati haiji mara mbili aisee.

YNWA
Watakubali tu, Edwards linapokuja Suala la NEGOTIATIONS jamaa ni Among the Best in the Game. ARNE haezi pata shida sana tayari LIVER Ishatoka kwenye High intesity Game {Model ya Transition} Siku hizi wanamiliki sana Mpira.

Umeshuhudia Mwenyewe Timu zinamwachia LIVER Mpira maana hana madhara nao kwao. EVERTON kala Somo kwa Palace na Wengine, Mpaka ARSENAL alimwacha LIVER Acheze Mpira maana hawana madhara Wakiwa nao.
KLOPP anakwambia games za UTD amemiliki Michezo kuliko kipindi chote akiwa LIVER, Ila hakuna hata Mchezo mmoja kapata Matokeo ya Ushindi unaona GWIJI Inabidi apumzike.
 
Back
Top Bottom