Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
eti wanasema amefanikiwa kuwafikisha nusu fainali ya nanihiiKlopp bado ni kocha mzuri
Na hadi sasa tayari ndiye kocha mwenye kombe mkononi.
Baba ubaya ana kombe gani la msimu huu?
Yap hutatuona kwa sababu hatuwezi kumcheka bingwa mwenzetu wa UCL. Mkubwa hamcheki mkubwa mwenzake. Tunatania nyie watoto msioijua harufu ya kombe la ulaya. BJB FCAkina Flano Mkohoti ARV allypipi BONNIE GOLD na wabwatukaji wengine hutowaona humu. Ila hii defeat ingekuwa kwetu Arsenal, kulaaleki wangekesha kwenye uzi wakitucheka[emoji2][emoji2][emoji2]
Hata kufika hatua za robo fainali tumejitahidiKLopp sio kocha ni mhamasishaji tuu, kitendo cha kukosa hata Europa dhidi ya Atalanta ni uboya
Klopp wakati mwingine amejiangusha mwenyewe na upangaji wa kikosi na kuna wakati anafanya sub za panic mode jambo ambalo kwenye mpira halina nafasi kabisaa aisee...Watakubali tu, Edwards linapokuja Suala la NEGOTIATIONS jamaa ni Among the Best in the Game. ARNE haezi pata shida sana tayari LIVER Ishatoka kwenye High intesity Game {Model ya Transition} Siku hizi wanamiliki sana Mpira.
Umeshuhudia Mwenyewe Timu zinamwachia LIVER Mpira maana hana madhara nao kwao. EVERTON kala Somo kwa Palace na Wengine, Mpaka ARSENAL alimwacha LIVER Acheze Mpira maana hawana madhara Wakiwa nao.
KLOPP anakwambia games za UTD amemiliki Michezo kuliko kipindi chote akiwa LIVER, Ila hakuna hata Mchezo mmoja kapata Matokeo ya Ushindi unaona GWIJI Inabidi apumzike.
Mkuu tujiadae kunyanyua kwapa ushindi wetu wa 2014 EPL ama namna ganiiiii.