Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 1,396
- 2,704
Hilo swali nishajiuliza zaidi ya mara 200 na sijapata majibu,Federico Chiesa wa nini sasa???
Jamaa ni Injury prone na kiwango chake cha sasa si sawa na miaka 4 iliyopita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo swali nishajiuliza zaidi ya mara 200 na sijapata majibu,Federico Chiesa wa nini sasa???
Upo sahihi Edwards hua ana staili yake ya kusaka wachezaji lakini tutakumbaliana hio staili yake ina favour zaidi FSG kuliko sisi Mashabiki maana tuna EPL moja ndugu tangu atue Klopp, tupime ubora wake kwa makombe anayoleta klabuni na si vinginevyo ndugu, nakua na maoni tofauti kidogo nikilinganisha tulipo kwa kucheki EPL na UCL nk inanipa ugumu sana kuona kama kweli tulistahili tu kupata kombe moja epl chini ya Klopp na kwa mwendo huu wa usajili naona Slot akipita mule mule kwa Klopp aisee. Ni kweli sio kila changamoto inakua solved na usajili lakini tazama asubuhi ya leo unaamka kusoma Morton na Bajetic wapo mbioni kusepa Liverpool wakiwa angalau ndio pekee wenye vi element ya uDm ndani yao maana Edo sitegemei atupe gemu za kutosha huku Gravenberch akiwa ndio makeshift wa Slot.. May we be lucky aisee otherwise its real danger gemu zikianza kuchanganya sioni tukikwepa ya Atlanta.
Kuna Ederson pale Atlanta alikua Upgrade ya hawa wa kwetu lakin utasikia Liverpool hainunui ili mradi kununua na hapo Kipara anasaka EPL ya tano hatanii aisee...
Tukumbali kua wasidikizaji hakuna namna.
Soon Slot atapewa wake up call ataelewa why Klopp had to quit akiwa na the so called complete squad.. Maana kama kweli kikosi ni complete iweje tumalize nafasi ya 3 na kakombe kamoja huku tukikosa mengine matatu...
Kuna mahala Klopp alipishana na Edwards maana iweje Edwards alivyorejea na Klopp akasepa labda Klopp aliona mambo yakusubiri usajili mwaka yanarejea na alishachoka.
YNWA
Babe wangu jamaniHeheheh babe [emoji3590] hakuzoea haya maisha toka ameanza professional career yake.!!!
Hapo lazima watu wajifunze kuwa wakomavu, Si umeona Diaz ameanza kuliona goli sasa na kuwa na maamuzi sahihi zaidi.?? Anajua hapo ukileta utoto mbao ndefu inakusubiri.
By the You were missing alot”,.
Babe wangu jamani
Sema akinuna anapendeza vilevile
LoL huyu Slot mkali kama Magufuli[emoji23]
I missed you too the Mona..
I thank God that we are all back
Salah aliyemshauri anyoe nywele tena akamatwe aiseeFirst eleven and second/ sub eleven 2024/2025.
View attachment 3080861
Ndio mzuriJamaa mkali sana”,..!!! Ni kizuri sana lkn hasa kwa wachezaji wa kiingereza.
Last Paragraph I Liked It The Most [emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Amen [emoji1431] lets stay together until may 2025 God willing.
Ngoja tuendelee tena kuimba kadi ya mwaka juzi😂😂😂Usijali atakaa sawa na ikishindikana msimu huu mwisho”,. Sitamtetea zaidi.
Wewe huyu marasta😂😂😂Hizi kuku huu msimu nazikaanga na maji siyo mafuta
I'm back🔥🔥🔥🔥🔥🔥umerudi mamaaa😂😂
Kwa Robertson, Grav na Van Dijk lazima watafutiwe mbadala wengine hawa waliopo hawatoshiFirst eleven and second/ sub eleven 2024/2025.
View attachment 3080861
Fsg wahuni wa mbagala😝😝😝😝Yaani FSG na akina Gillett ni full vimeo aisee ni balaa sijui ni nuksi ipi ... Ipo hivi team ikiwa kwenye peak ndio wamiliki hua wanacheki vipaji na kuongezea nguvu wale waliopo klabuni , ukijiuliza kwa nini Barcelona, Real Madrid, Manchester City, Bayern nk hawachezi mbali na makombe ni kwa sababu wanajicho la vipaji kwa bei yoyote kusudi kuwe na continuity uwanjani.. Tulikua kwenye peak 2019 na 2020 yaani pale ilifaa FSG kuingia sokoni full throttle kusudi sasa kua kikosi kipana sana cha kutetea UCL na EPL lakini FSG walidhani miujiza ya Klopp inatosha kuleta ubingwa na mwishowe tupo hapa Klopp hoi kaona kisha nini kupata ma presha na Yankees akasepa na sasa ni Slot.
Bila uwekezaji kikosini ubingwa tutausikia kwa wengine...
Angalau naona kidogo Slot anaweza kubadili huu upepo japo sijui kama atapata huo muda. Nimeona ameanza kwa kuona kuna kesho bila Allison akichoka yafaa kuwe na mbadala wake na naona kipa wa Valencia wanasepa nae mazima dogo Giorgi Mamardashvili. Haya ndio kilio chetu kwamba mapema kuwe na like for like ili kua na kikosi cha kuleta ushindani mashindano tofauti...
Wangekua wana react mapema wale usingemuona Mjapan Liverpool 😀😀lakini kwa kua hua ni zima moto tegemea kuona akina Mjapan wengi wengi... I mean unauza aje injini ya timu Fabihno bila kua mbadala wake aisee...
Hao unaosema vipaji mmh dirisha nilo wameuzwa haswa tena kwa faida kubwa tu lakini kusajili ndio wanajifanya eti hakuna wachezaji wenye ubora zaidi ya tulionao yaani wanatuona kama hatuna macho...
Hivi dokta unaamini kabisa FSG wangetoa 110m+ kwa Caicedo, hii ni mbinu tu ya kibiashara kutuaminisha kwamba they tried lakin hakuna kilichowezekana🤣🤣hii ni moja ya mbinu FSG hutumia sana case study Valverde wa Real Madrid, Mbappe, Caicedo, nk nk...
YNWA
Babe❤️Fsg wahuni wa mbagala
Spearing the next Stevn Gerrard haha kazi kweli kweli.. Angalau sasa hivi hatusikiii the next Surez, the next Hypia, the next Owen...Dah umenikumbusha Aquillan yule nae alipuyanga tu duh magarasa yamepita mengi sana, kipindi hicho nilikuwa naipenda Liverpool kufa kuzikana
Spearing, Aspas, Glen Jonson dah
Wametudanganya sana hawa jamaa. They are fake 🤓🤓🤓sijui wanatumia AI kuedesha Liverpool.Fsg wahuni wa mbagala
Wala usijichoshe kuwaza sana bro. Ukikumbuka Keita alitakiwa kuongezewa mkataba na usajili wa Thiago na Ox ndio utaacha kuwaza sana ya huyu Mu Italy... Muachane aje ale good time 🤣🤣🤣Hilo swali nishajiuliza zaidi ya mara 200 na sijapata majibu,
Jamaa ni Injury prone na kiwango chake cha sasa si sawa na miaka 4 iliyopita
Hizi kuku huu msimu nazikaanga na maji siyo mafuta
Ninaamini tuna Scouting Department bora zaidi barani Ulaya kwa sababu.
1.Huwezi kuwa na scouting team mbovu ukasajili wachezaji 10 na katika yao 9 wakawa successful.
2.Huwezi kuwa na scouting mbovu ukasajili wachezaji ambao bei zao ni almost nusu ya bei za soko na wakakupa kiwango zaidi ya wale walionunuliwa kwa bei kubwa.
Tuna scouting team bora sana Ulaya ndo maana tumekuwa very successful sokoni kwa zaidi ya 90%.
Tujiulize 🤔
1.Scouts waliomuona Robo unasemaje wabovu??
2.Scouts waliomuona Salah wanakuwaje hawajui
3.Scouts waliomuona Sobo au Macca wanakuwaje wabovu??
4.Scouts waliomsajili Tsimikas wanamuwaje wabovu?
5.Scouts waliomuona Slot over all big name coaches wanakuwaje hawajui kazi??
6.Scouts waliomwambia Klopp asubiri deal la VVD na si beki mwingine, wanakuwaje wabovu??
7.Nani alimjua Jota tunayemsifia kama aiyo hao scouts ambao hawajui??
8.Scouts hawa waliomuona Konate over all big names defenders??
9.Scouts hawa waliochungulia kipaji cha Bajcetic kule Spain akiwa ni beki wa kati akaja kubadilishwa kuwa kiungo, hawa waliomuona Elliot pale Fulham, leo ni mmoja wa wachezaji bora vijana Uingereza.
Scouts ambao so far wanaifanya Liverpool kupata quality ya kushindana kwenye ligi na timu tajiri zikiwa zimenunua kwa bei ghali lkn tumekuwa kwenye ushindani kwa miaka 10 mfululizo.
Wana Liverpool wenzangu
Mimi nakubaliana na sera za timu yetu kwenye usajili, lakini ninachopingana nacho kwenye kuchelewa kumaliza deals. Wana nyatia sana na kubembeleza sana bei.
Wishes za mashabiki ni kuona timu inasajili sana, lakini tunaona watu wanavyofeli sokoni kwa sajili za kukurupuka. (Manchester utd, Chelsea) Hiyo ni mifano.