Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

😂😂😂
IMG-20240827-WA0016.jpg
 
Upo sahihi Edwards hua ana staili yake ya kusaka wachezaji lakini tutakumbaliana hio staili yake ina favour zaidi FSG kuliko sisi Mashabiki maana tuna EPL moja ndugu tangu atue Klopp, tupime ubora wake kwa makombe anayoleta klabuni na si vinginevyo ndugu, nakua na maoni tofauti kidogo nikilinganisha tulipo kwa kucheki EPL na UCL nk inanipa ugumu sana kuona kama kweli tulistahili tu kupata kombe moja epl chini ya Klopp na kwa mwendo huu wa usajili naona Slot akipita mule mule kwa Klopp aisee. Ni kweli sio kila changamoto inakua solved na usajili lakini tazama asubuhi ya leo unaamka kusoma Morton na Bajetic wapo mbioni kusepa Liverpool wakiwa angalau ndio pekee wenye vi element ya uDm ndani yao maana Edo sitegemei atupe gemu za kutosha huku Gravenberch akiwa ndio makeshift wa Slot.. May we be lucky aisee otherwise its real danger gemu zikianza kuchanganya sioni tukikwepa ya Atlanta.

Kuna Ederson pale Atlanta alikua Upgrade ya hawa wa kwetu lakin utasikia Liverpool hainunui ili mradi kununua na hapo Kipara anasaka EPL ya tano hatanii aisee...

Tukumbali kua wasidikizaji hakuna namna.

Soon Slot atapewa wake up call ataelewa why Klopp had to quit akiwa na the so called complete squad.. Maana kama kweli kikosi ni complete iweje tumalize nafasi ya 3 na kakombe kamoja huku tukikosa mengine matatu...
Kuna mahala Klopp alipishana na Edwards maana iweje Edwards alivyorejea na Klopp akasepa labda Klopp aliona mambo yakusubiri usajili mwaka yanarejea na alishachoka.

YNWA

Mimi naweza kuwa na sababu kadha wa kadha, niki judge kitabu kwa its cover. Klopp alikuwa ndiye mwenye kusema huyu asepe na huyu abaki. Kama ni hivyo hauoni ni sahihi kusema Klopp alitusababisha maumivu kuwakumbatia Injury prones wengi wenye huge wages??

Ox
Keita
Thiago
Matip

Hapo utasema unaweza kugombea chochote?? Mid yako ni Hendo, Milner, Jones,Elliot, na late Fabinho?? Kweli?? Ilikuwa uwongo.

Ukiangalia hapo Kipara alishaachana na Fernandinho, Ferdinand, Toure, Karibu miaka 5 huko nyuma, hao ni viungo tu backline karibu yote iliyompa 2-3 EPL alishaibomoa, kaleta damu changa miguu ya chuma anakiwasha, sisi tunajipa muda labda msimu huu watakaa sawa. Hapa ndipo tulikosea sana sana.

Halafu kati ya Klopp na Edward, Klopp ndio wa kwanza kuondoka na sio baada ya Edward kurudi.

Kumbuka Klopp alitaka kuondoka toka November wakambembeleza January akaja kufunguka, Edward alianza kufuataa Feb mpaka Marcha akakubali the deal. Utofauti wa Edward na Klopp upo kwenye usajili. Edward hakutaka Henderson, Milner na Gomez waongezwe mkataba, Na akatoa optiona zake, Bruno Guimaraes na Enzo Fernandez replacement ya Hendo na Milner, but we all know nani alishinda battle na nani alishinda vita, Edward lost the battle but won the war, Klopp won the battle but lost the war.

Kwa hapa tu ilikuwa ngumu kwa sytem ya Klopp uwe vile vile season in season out.
Mtu kama Salah achunguzwe fitness yake sio mchezo.
Henderseon ( as a team captain, aka geuka injury prone last two season, Klopp alizidi kumuamini huku stats zake zikionesha haziibebi timu)

Mane, Fabinho massively dropped their forms.

Klopp system ilihitaji atleast 2-3 players fresh legs after atleast two seasons, ila hatukufanya hivyo tuliishia kuwa na kina Melo, Kabak, Davies hapa hata kama ni wewe Pep unafanyaje,, ?? Una vuta wine unakunywa pole pole unajua atanisumbua mechi tutakayokuta baasi huko kwingine nitamuacha tu.
Huge praise kwa Klopp kukomaa na Pep licha ya kuwa na Mediocre players.

Sitaki kusema lolote kuhusu signing but what i feel, tutakuwa na less injuries with less long term injuries.
 
Heheheh babe [emoji3590] hakuzoea haya maisha toka ameanza professional career yake.!!!

Hapo lazima watu wajifunze kuwa wakomavu, Si umeona Diaz ameanza kuliona goli sasa na kuwa na maamuzi sahihi zaidi.?? Anajua hapo ukileta utoto mbao ndefu inakusubiri.

By the You were missing alot”,.
Babe wangu jamani
Sema akinuna anapendeza vilevile
LoL huyu Slot mkali kama Magufuli😂

I missed you too the Mona..
I thank God that we are all back
 
Babe wangu jamani
Sema akinuna anapendeza vilevile
LoL huyu Slot mkali kama Magufuli[emoji23]

I missed you too the Mona..
I thank God that we are all back

Jamaa mkali sana”,..!!! Ni kizuri sana lkn hasa kwa wachezaji wa kiingereza.

Last Paragraph I Liked It The Most [emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Amen [emoji1431] lets stay together until may 2025 God willing.
 
Jamaa mkali sana”,..!!! Ni kizuri sana lkn hasa kwa wachezaji wa kiingereza.

Last Paragraph I Liked It The Most [emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Amen [emoji1431] lets stay together until may 2025 God willing.
Ndio mzuri
Ngoja nianze kumfuatilia
Naombeni ratiba jamani

May God keep us Safe
Amin🙏🏿
 
😝😝😝😝Yaani FSG na akina Gillett ni full vimeo aisee ni balaa sijui ni nuksi ipi ... Ipo hivi team ikiwa kwenye peak ndio wamiliki hua wanacheki vipaji na kuongezea nguvu wale waliopo klabuni , ukijiuliza kwa nini Barcelona, Real Madrid, Manchester City, Bayern nk hawachezi mbali na makombe ni kwa sababu wanajicho la vipaji kwa bei yoyote kusudi kuwe na continuity uwanjani.. Tulikua kwenye peak 2019 na 2020 yaani pale ilifaa FSG kuingia sokoni full throttle kusudi sasa kua kikosi kipana sana cha kutetea UCL na EPL lakini FSG walidhani miujiza ya Klopp inatosha kuleta ubingwa na mwishowe tupo hapa Klopp hoi kaona kisha nini kupata ma presha na Yankees akasepa na sasa ni Slot.

Bila uwekezaji kikosini ubingwa tutausikia kwa wengine...

Angalau naona kidogo Slot anaweza kubadili huu upepo japo sijui kama atapata huo muda. Nimeona ameanza kwa kuona kuna kesho bila Allison akichoka yafaa kuwe na mbadala wake na naona kipa wa Valencia wanasepa nae mazima dogo Giorgi Mamardashvili. Haya ndio kilio chetu kwamba mapema kuwe na like for like ili kua na kikosi cha kuleta ushindani mashindano tofauti...

Wangekua wana react mapema wale usingemuona Mjapan Liverpool 😀😀lakini kwa kua hua ni zima moto tegemea kuona akina Mjapan wengi wengi... I mean unauza aje injini ya timu Fabihno bila kua mbadala wake aisee...

Hao unaosema vipaji mmh dirisha nilo wameuzwa haswa tena kwa faida kubwa tu lakini kusajili ndio wanajifanya eti hakuna wachezaji wenye ubora zaidi ya tulionao yaani wanatuona kama hatuna macho...

Hivi dokta unaamini kabisa FSG wangetoa 110m+ kwa Caicedo, hii ni mbinu tu ya kibiashara kutuaminisha kwamba they tried lakin hakuna kilichowezekana🤣🤣hii ni moja ya mbinu FSG hutumia sana case study Valverde wa Real Madrid, Mbappe, Caicedo, nk nk...

YNWA
Fsg wahuni wa mbagala
 
Dah umenikumbusha Aquillan yule nae alipuyanga tu duh magarasa yamepita mengi sana, kipindi hicho nilikuwa naipenda Liverpool kufa kuzikana

Spearing, Aspas, Glen Jonson dah
Spearing the next Stevn Gerrard haha kazi kweli kweli.. Angalau sasa hivi hatusikiii the next Surez, the next Hypia, the next Owen...

Kila mchezaji ajitengezee jina lake.

YNWA
 
Hilo swali nishajiuliza zaidi ya mara 200 na sijapata majibu,

Jamaa ni Injury prone na kiwango chake cha sasa si sawa na miaka 4 iliyopita
Wala usijichoshe kuwaza sana bro. Ukikumbuka Keita alitakiwa kuongezewa mkataba na usajili wa Thiago na Ox ndio utaacha kuwaza sana ya huyu Mu Italy... Muachane aje ale good time 🤣🤣🤣

YNWA
 
Ninaamini tuna Scouting Department bora zaidi barani Ulaya kwa sababu.

1.Huwezi kuwa na scouting team mbovu ukasajili wachezaji 10 na katika yao 9 wakawa successful.

2.Huwezi kuwa na scouting mbovu ukasajili wachezaji ambao bei zao ni almost nusu ya bei za soko na wakakupa kiwango zaidi ya wale walionunuliwa kwa bei kubwa.

Tuna scouting team bora sana Ulaya ndo maana tumekuwa very successful sokoni kwa zaidi ya 90%.

Tujiulize 🤔

1.Scouts waliomuona Robo unasemaje wabovu??

2.Scouts waliomuona Salah wanakuwaje hawajui

3.Scouts waliomuona Sobo au Macca wanakuwaje wabovu??

4.Scouts waliomsajili Tsimikas wanamuwaje wabovu?

5.Scouts waliomuona Slot over all big name coaches wanakuwaje hawajui kazi??

6.Scouts waliomwambia Klopp asubiri deal la VVD na si beki mwingine, wanakuwaje wabovu??

7.Nani alimjua Jota tunayemsifia kama aiyo hao scouts ambao hawajui??

8.Scouts hawa waliomuona Konate over all big names defenders??

9.Scouts hawa waliochungulia kipaji cha Bajcetic kule Spain akiwa ni beki wa kati akaja kubadilishwa kuwa kiungo, hawa waliomuona Elliot pale Fulham, leo ni mmoja wa wachezaji bora vijana Uingereza.

Scouts ambao so far wanaifanya Liverpool kupata quality ya kushindana kwenye ligi na timu tajiri zikiwa zimenunua kwa bei ghali lkn tumekuwa kwenye ushindani kwa miaka 10 mfululizo.

Scout yetu ni bora shida ipo kwa Tajiri letu la Kimarekani halitaki kutoa hela
 
Wana Liverpool wenzangu
Mimi nakubaliana na sera za timu yetu kwenye usajili, lakini ninachopingana nacho kwenye kuchelewa kumaliza deals. Wana nyatia sana na kubembeleza sana bei.

Wishes za mashabiki ni kuona timu inasajili sana, lakini tunaona watu wanavyofeli sokoni kwa sajili za kukurupuka. (Manchester utd, Chelsea) Hiyo ni mifano.

Kufeli kwa Manure Sokoni au Chelsea sio kigezo wala sababu hata kidogo inayopaswa kutufanya sisi tusisajili kwa uhakika.

Kaka nakubali umekubaliana na sera za usajili kwasababu huna Option nyengine ndiyomana umeamua kukubali matokeo.

Kipindi wanasajiliwa kina Alison, Salah, Mane, VVD, Fabinho, Keita tukabeba Makombe naamini pia ulikubaliana na sera za usajili za wakati huo za kuingia sokoni.
Lakini kwa sasa hatusajili pia unakubaliana na sera zetu za usajili, tukianza tena kumwaga hela sokoni utakubaliana tena na sera za usajili.
 
Back
Top Bottom