Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Appreciated mate alot. Thanks.

But still Edward is smart sana, Kama alivyo Mike Gordon katika mission zake mpaka kumuamini yes he has good IQ & EQ.
Dr. Ian Graham huyu tumuache kwanza, alitofautiana na Klopp baadhi ya Transfer kama hii ya Nunez. Bado nawaza nani alikuwa nyuma ya kuendelea kubaki na kina Keita, Thiago, Ox, Matip licha ya kuwa ni injury prones?? Again lack of quality ya Hendo na Milner why tuliendelea kuwang’anga’ania for long licha ya kuwa leas productive hasa last 3yrs??

If Gordon, Edward, Klopp, Ward walikuwa too that smart kwa hili la kuheld long injury prones nawavuwa vyeo.

Then we can Say, Klopp amewabeba hao wote, they were there before Klopp entrance & we did nothing zaidi ya Carling cup 2012 vs Cardiff.

Kwa maelezo haya basi our Perez is Mike Gordon, master mind, kwenye maeneo fulani hasa katika financial issues.

Hendry anachokitaka yeye ni pochi lisome tu hela, on the pitch hana uelewa sana, na EUROPEAN FOOTBALL zaidi ya American Football. Sell to buy policy wanajua wao kutokana na kutumika sana America japo hata ulaya ipo kwa timu kama Ajax, Shakhtar Donetsk miaka ya nyuma kidogo, Southampton tulipoigeuza academy yetu, but under FSG ilikuwa tofauti kwa klabu kama LFC kuuza first team players ili kuleta fresh legs tulikuwa tunajichimbia shimo kama haupati like for like replacements.

Slot hajaaminiwa na mashabiki wengi, bado watu wanaona hatoshi kuvaa viatu vyake Klopp, but but but, wanajicheleweha kufurahia good moments.
Klopp had the last say who comes, who goes, who get extension... One word from Klopp and Gordon reacts unless mission impossible....

YNWA
 
[emoji837]Liverpool submit Champions League squad for 2024-25.

Alexander-Arnold, Alisson, Chiesa, Diaz, Endo, Gakpo, Gomez, Gravenberch, Hill, Jaros, Jones, Jota, Kelleher, Konate, Mac Allister, Morton, Nallo, Nunez, Nyoni, Robertson, Salah, Szoboszlai, Tsimikas, Van Dijk.

Conor Bradley, Harvey Elliott and Jarell Quansah – are eligible but do not need to be included on List A due to their ages and club-trained status.

YNWA
Can't wait to see Morton in action. Next gem from Kirkby loading

YNWA
 
VVD atusaidie haraka sana.... 🤣🤣🤣.
Well aliodoka Bayern kwa kukosa game time akaja Liverpool acheze nako ikawa zigzag na kumkosa Zu wa RS dogo anaanza vimaneno ha ha... Well its a small world mate.

YNWA
Captain huyu dogo weaknesses zake zote zinafichwa na Macca šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Mwenyewe namuelewa
Hata Mimi kiukweli niliumia sana msimu jana kukosa ubingwa wakati Toka mwanzo tulicheza vizuri
Mechi zetu dhidi ya utd nilijificha wiki nzima sitoki nje maana niliongea sana kabla ya mechi

Msimu ule wa 2018 sijui 19 kupindi hicho nimeanza angalau kuangalia mechi za Liverpool halafu tukafungwa final UEFA
Kitu hicho hicho kikajirudia tena majuzikati Kuna Hendo wakatuchoma Madrid hiyohiyo ikatufunga tena

Lakini hii yote haiondoi ukweli kwamba Klopp ni Mwamba na kwa nafasi yake amefanya kututoa matopeni.
We are grateful for even such small step he Made.

Sure 99.99%

Ukweli ni kwamba 70% ya mashabiki wa LFC hata waliokuwa wanaipenda Madrid wanaichukia sababu ya kutugeuza mwembe wa uani. Ni kama Arsenal fans vile hawaipendi Barca na Bayern, Why? Miaka ile waliteswa na hawa jamaa sana.

Unajua mwembe wa uania hauhitaji nguvu nyingi kupata maembe yake eh?? Unaenda asubuhi au jioni unachagu uyatakayo, unatungua baaaasi. Ila chuki ilisababishwa na FINAL ya 2018, ile iliuma sana kutokana na scenario ya Ramos kumuumiza Salah ili raise chuki sana LFC fans vs Madrid, plus kufungwa Final 2022, na KO 2023 both home and away.

Kuipenda Madrid labda tuwafunge tena kama March 2009, that we won 4-0.

Yes Klopp will always be remembered in Liverpool FC.

YNWA.
 
Kwahiyo ulikuwa unaniona Mimi wa elfu2 mwenzio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mie mtoto wangu wa kwanza ni wa ,92
Wewe Mona wa 90 na ngapi?[emoji23][emoji23]
.....
Juzikati nilikuwa hospital na mgonjwa amelazwa
Sasa mkamwana wangu akaja kuniona,
Nikawa nimemchukua mtoto wake ambaye ni mjukuu wangu nikatoka naye nje ili yeye apate nafasi ya kuongea na mgonjwa.
Kule nje nikawa nambembeleza mtoto kuwa nyamaza bibi nyamaza bibi
Kuna mzee wa makamo akapita,akacheka,akauliza huyo ni mjukuu wako?nikamwambia ndiyo
Akakataa katakata[emoji23][emoji23][emoji23]
Eti wa mtoto wako kabisa?nikamwambia mtoto wa dada,Mimi si mama yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dada zangu wakamwambia huyo ni mjukuu wake kweli

Akawa kila akipita ananiita bibi huku anacheka sana[emoji23]

Mie mkubwa
Hadi Nina wajukuu

Heheheh Kuwahi napo kupoā€,. Ety hongera kwa hilo ila humu ndani ubaki tu ki alfu mbili.

YNWA
 
Klopp had the last say who comes, who goes, who get extension... One word from Klopp and Gordon reacts unless mission impossible....

YNWA

Sema Klopp angeamua kufanya ya Fergie, pale Anfield alikuwa na nafasi kubwa ya kula vyeo vya kimaamuzi

but the gaffer has chosen to stay away like other fans.!!!
Jambo jema sana. Good thing wazungu wapo open kuzidi akina sisi huku.

YNWA
 
Can't wait to see Morton in action. Next gem from Kirkby loading

YNWA

All our academy players i wish to see them flourish…

Morton
Quansah
Bradley (huyu tayari 75% ameshajiaminisha kiasi watu wanatamba hata TRENT asipokuwepo no sweat)

But choice yangu kuiona ina click this season, ilikuwa Bajcetic but huko huko alipo nitajaribu kumfuatilia,
YNWA
 
Captain Marvelous & Manyanza

Mnaamini hayo maneno ameyasema Gravern??? Hopefully mmeingia kwenye trap ya media tu. Wamechagua walichotaka kifike kwa watu and thats all.

ā€œKlopp vs Slot battleā€

Mwenyewe aliulizwa hivi ā€œdo you real feel like a new Gravenberch?? Akajibu hivi:-

QUOTED

ā€œNo, that’s all exaggerated. I’m the same Gravenberch,ā€ he said as per Trouw, before explaining the difference in playing styles between the current and former Liverpool bosses.ā€

ā€œI sometimes had matches where I only touched the ball after five minutes,ā€ said Gravenberch about playing under Klopp last season.

ā€œThen I don’t get into my game, I don’t get into my rhythm. This feels more comfortable to me.ā€

Which is obvious true, system didn’t suit him plus anaka uvivu hivi ambapo aliambiwa na Ronald Koeman plus anakosa utimamu wa kuzingatia (lack of focus) kama tu Jones. La Jones Curtis aliwahi kulisema Klopp mwenyewe after Westham Matches Carabao QF last season which we won 5-1 (hopefully).

I haven’t seen otherwise from him.

Msimshambulie kijana ndio anaanza kujitafuta yule wa Ajax.

Hahaha The Mona... Its a wicked world bro kama leo hii Graham anamdiss Klopp according to MosDef basi usiwe surprised sana na hili la wachezaji kua na na vi headlines vya kichokozi na especially hawa ma kinda na ndio maana nika mention umri wake.. He has a long way to go. He will make some silly mistakes here n there kam hili la creating unnecessary twist..

YNWA
 
All our academy players i wish to see them flourish…

Morton
Quansah
Bradley (huyu tayari 75% ameshajiaminisha kiasi watu wanatamba hata TRENT asipokuwepo no sweat)

But choice yangu kuiona ina click this season, ilikuwa Bajcetic but huko huko alipo nitajaribu kumfuatilia,
YNWA
Bajetic bones are made from new delhi cookies mate...
Kwanza anahitaji ku raise body mass maana DM EPL is brutal man sio kazi ya weak bones kama Bajetic current physique.

We have long way to go with the academy.. Tangu atue Pep pale Manchester City mpaka sasa wameuza zaidi ya £500m academy players.. Watu wengi husau yule bwana Txiki Begiristain pale Ethad is really influential sokoni and in the football world...

Our aim should be to surpass Manchester City Elite Development Squad ambayo ni money making machine ya Mansour.

Well time for Morton to shine pale DM.

YNWA
 
Sema Klopp angeamua kufanya ya Fergie, pale Anfield alikuwa na nafasi kubwa ya kula vyeo vya kimaamuzi

but the gaffer has chosen to stay away like other fans.!!!
Jambo jema sana. Good thing wazungu wapo open kuzidi akina sisi huku.

YNWA
Klopp was the Manager.

Slot is head coach.

Klopp had the last say on many aspect of the team liaising with Gordon on daily to daily issues za squad... To some extent he mis used this position kukumbatia ma bomb kama Henderson, Lallana, Milner, Karius, Matip, Thiago nk.... Klopp should have known anafanya kazi kwa wachumi wa kidunia ambao kwao wanatazamana zaidi wage bill kuliko chochote pale wanapotaka kununua au kutoa mkataba.

By the way after bonus Salah is pocketing Ā£400k kwa wiki... šŸ”„ šŸ”„ Shine on Salah. Yankees hawana namna maana he is delivering.

YNWA
 
Back
Top Bottom