Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Coaching a low block ni rahisi sana kaka, hence coaches kama Klopp/Pep/Carlo ambao wana pride & ego wanaonaga ni upuuzi kuwa na hizo approaches.

But, Klopp showed he can coach a low block against Newcastle & Spurs last season.

Nafikiri itumike kwa sehemu zenye ulazima sana, kama una loads of injuries Suspension during them match, and not use it as your style, as Klopp use it kwenye game hizo mbili.
 
Hughes kapata pande kwa mshikaji wake Edward, asingepata nafasi hiyo bila Edward. Ila hata wazuri wanaanzia chini huko kupanda juu. Akionekana kushindwa kumudu kazi then better to put him aside na kumuweka mwingine mwenye uwezo.

Ward angekaa as SD ingefaa sana.

YNWA
Yeah hili ni kwa msukumo wa Edwards kabisa bila hata chembe ya kificho.. Ishu ni kwamba hatuna muda wa aanze chini tulihitaji aanze na kuleta DM mmoja tu na hilo amefeli sio dalili nzuri maan EPL ipo moto sana umeona Arsenal bila Rise na Martin walivyomtuliza Spurs kwao yaani utadhan kikosi kipo kamili.. Epl mpaka sasa FSG wanadhani wapo honey moon aisee...
Bila kuwekeza watasubiri sana kunyanyua kwapa tena...

YNWA
 
Kuna talents ni lazima uzibakize at the club, zipe nafasi ya kutosha, if it doesnt work ndiyo uuze.

Hapa katikati, tumepoteza kids wengi sana bila kuwapa nafasi ya kutosha, maana rule namba 1 ya kutengeneza mchezaji ni kumpa mazingira mazuri ya ku-flourish, huwezi ukawa una-loan hawa kids huko kwenye Sweden leagues, Scotland leagues, EFL League 1, etc, na ukategemea wata-improve.

Just like Natt Philips hapa Edward anatudanganya sana big time”, loan at 27yrs?? Sema hela nzuri hata kama ni mie siondoki natembea losn hivo hivo niwe millionaire

Orherwise i agree with you

YNWA
 
Hili la Bajcetic kwa kocha ambaye hajamuona ni ngumu kuamini nageweza kuwa muhimiri kwenye eneo la 6, na bahati mbaya ka spend karibu msimu mzima nje ya uwanja. Nadhani it will speak louder akiperform hasa kwenye CL maana ligi yao is not that competitive

The boy is so talented and has that maturity inayomuwezesha kuaminiwa na timu kubwa kama Liver.

We have potential in here

Danns
Koumas
Bajcetic
Bradley
Morton
Doak
Chambers
Scanlon
MCconell

Kaide Gordon too

ile injury yake imemrudisha nyuma sana,
 
Kazi anayo[emoji23]

Ujue kuna zile moments Klopp alikuwa anazingua big time ila aliyoyafanya unashindwa kumvaa maungoni moja kwa moja, Unlike Slot, huyu ngumu kumuonea aibu bado…!!!

Its a good coach though, i will give him time.

YNWA
 
kama akipona his injury kulingana na timeframe aliyopewa (october), Oscar Bobb, atapata a lot of minutes, huu msimu ndiyo alikuwa ni wild card ya City, ndiyo ulikuwa ni msimu wake wa ku-breakthrough, injury itamchelewesha kidogo, but the feeling at City & Pep ni kuwa huu ulikuwa msimu wa kumtambulisha Oscar Bobb duniani.

At, LFC haitakuwa na maana ya kuuza kila youngsters, Bajcetic/Nyoni/Chambers & Danns wanahitaji kuaminiwa, kati ya hawa wanne tukipata a world beater mmoja kama Trent, haitakuwa mbaya.
Sure Jones tried n tried but kufika hata nusu ya Foden ni ndoto aisee... Nyoni, Chambers would be my bet.
Na Morton i rate him highly.

YNWA
 
I think the narrative around Bajcetic inatakiwa kuwa he needed a lot of game-time, kutokana na long term injury iliyomuweka nje msimu wote uliopita, and at 19 its hard kwa coach kumuamini kama his commanding 6 especially baada ya kutoka kwenye big injury, narrative ya kuwa Slot hajamuona at 6 siyo combative, kwasababu inaweza ku-apply kwa wachezaji karibia wote? plus Grav ambaye hajawahi kucheza at 6 career yake yote? Coach ana profile/data/tapes za kila mchezaji at LFC, Club iliamua ku-hire coach aina ya Slot, kwa kuzingatia his style of play, na players tulionao at the club, 90% ya players waliopo at LFC wana-fit perfectly kwenye mfumo wa Slot, hence Club imeapuka a fire-sale ya wachezaji ili kumtengenezea Slot kikosi chake, but style ya Slot ni perfect kwa wachezaji wetu, ni suala la adjustments tu.

Doak is 100% getting sold, next summer au itakayofatia, eneo lake kuna Salah & Chiesa, na hata kama Salah atondoka, club lazima itaingia sokoni kutafuta a starting RW, because Chiesa is not a starter, but ni miles better than Doak, so Doak hana future at LFC.

Callum (Scanlon), wont last at LFC, I think soon the club will cut ties with Robertson, and sidhani kama Kostas anakuwa viewed kama starter au m-badala wa Robertson in the future, maana nae alikuwa ana-seek a way out hii summer's TW iliyoisha, so plan itakuwa ni Luke Chambers and other starting LB, au Luke Chambers na other experienced LB, maana huwezi kuwa na Chambers (20) a kid, na Callum (19) a kid kama your LB depth.

Koumas, will be sold.

James, yupo at the Club kwasababu ya his injury, but the plan was to sell or loan him out this last summer.

Morton, was 100% leaving on loan, but the club had to choose between him and Bajcetic, na wakaona Baj anahitaji sana minutes, hii bad sign kwa Morton, Club imesha-place tag on his head (£20m), Xabi wanted him in the summer on loan with an Option to buy, but we turned him down, as we felt, it was between him & Bajcetic kwenye kuondoka baada ya deal ya Zubimendi kufa, and tukaona Baj anahitaji minutes nyingi kwasasa, so Baj akatoka, Morton kabaki as a cover, he's 21 now, he needs to play a lot, lets see kama tutampa minutes za kutosha, but indication ni kuwa kama Zubi ange-sign, Morton asingekuwepo at the Club.

Danns, ndiyo anahitaji ku-feature a lot akirudi uwanjani.

Chambers/Baj/Nyoni/Danns are the ones for now, Bradley tayari amesha-break in kwenye first Squad. having said that, hawa ni players ambao wapo for sometime at the club hence nawazungumzia, but i wont be suprised if Rio Ngumoha will be the first one to break in kwenye first team, not just first squad, time will tell.

Huyu Ngumoha, is a baller haswa pure talent”,. Ukimuona anavyocheza plus physical yake utasema ni experienced player.. Wish him all the best.
 
Lovren has signed for PAOK, he shouldve retired.

Matip is still without a team, nadhan teams zinaogopa ku-take risk as bado ana-recover from his ACL injury, so lazima ziogope maana itakuwa ngumu kufanya medicals.
Lovren 😂😂😂i remember how he ws toasted na Aguero na Rashford huku Klopp akituaminisha tuna beki bora wa kati duniani huku ma pundit wanaoheshimika wakimwambia Klopp hutashinda kombe hata la kahawa kwa beki huyu au kwa makipa Simon na Karius.

Duuh tumetoka mbali.

Matip niliona Hammers walimtupia jicho.

YNWA
 
They shouldve let him go, he's 27 na ni good enough kuwa starter kwenye 80% ya teams za EPL.

Bad summer's TW ndiyo imefanya abaki at LFC, Gomez sees himself as a CB, siyo LB/RB, sasa this last summer alikuwa anaona Club inavyobrief medias kuhusu suala la kununua CBs, na kwa style hiyo anakuwa anaona kabisa kuwa hawezi kuendelea kuwa 4th choice, wakati ana uwezo wa kuanza teams zingine, na kulikuwa na a lot of bids, but placing a £45m price tag on him was unfair, so unfair, na hii yote ni kwasababu unategemea kuuza ndiyo ununue another CB, haya mambo yanachosha sana.

Tatizo, Gomez siyo mzungumzaji, but naona Kelleher hii ni mara ya pili anaongea kwenye media, amekuwa akilalamika kuwa club ime-place unrealistic price tag on his head, na ndiyo maana anashindwa kupata moves.

Just let these Kids go and get good game-time elsewhere, they dont owe us their careers, Gomez yupo at the club since 2015, he was 18 when he joined us, now he's 27, almost 10 years at the club, he has won everything at the club, and he feels like he needs a new challenge, let him go.

Kelleher naye yupo at LFC tangu 2015, he was practically 17 when he joined our academy, now at 26, he wants new challenge, na its tough kwasababu anapata offers nyingi sana na kwa umri wake anaumia kuendelea kuwa backup, na pia ameona Club imenunua other Keeper.
FSG ni wanyonya damu aisee... Kelleher anaona kipa wa Valencia ananunuliwa meaning ni ujumbe kwamba club don't value him highly kubakia as Allison heir in the future hivyo wangeaambia his camp atafute timu kwa kua kua serial starter ni ngumu...
I feel sorry kwa hawa wachezaji aisee Gomez na Kelleher..
Haya mambo ya sell to buy ndio kikwazo hapa hakuna kingine yaani hapo FSG wanatega mpaka dau wanalotaka lifikie...

YNWA
 
AC Milan wamecheza gemu 4. wameshinda 1 sare 2 na wamepigwa 1 hivyo wana some struggles here n there. Cha msingi Slot afanye homework yake vyema.
Anze rotation ya wachezaji especially pale mbele na kati apatazame vyema angalau leo Gapko na Nunez waanze.
Next game ya Ac Milan ni derby na Inter Milan baada ya hii gemu ya leo hivyo wataliamsha kweli ili kutuma ujumbe. Na pia wako nyumbani meaning wana advantage ya mashabiki.

YNWA

Hiyo mechi moja waliyoshinda, was against a weaker team pale Serie A, wameshinda manne mawili kati ya hayo ni penalty. Nimejaribu kufuatalia comments zao kuhusu mechi ya leo, their fans have no confidence kabisa, hii inaashiria ni jinsia gani they are struggling mechi 4 za mwanzo wa ligi.

H2H ipo upande wa LFC, last five competition matches, we won four they won 1, ikiwemo ile iconic come back 2005 pale instanbul.

Natarajia watakuja heavily kwa sababu ni pressing team, of which naona itakuwa adavantage pia kwetu. And overall stats vs Italian teams at their own ground bado record zinatubeba sana.

Points 3 tutarudi nazo Anfield, but my concern ni kwenye performance zaidi tuone, changes compare na last game.

YNWA
 
IMG-20240917-WA0074.jpg
 
Yeah hili ni kwa msukumo wa Edwards kabisa bila hata chembe ya kificho.. Ishu ni kwamba hatuna muda wa aanze chini tulihitaji aanze na kuleta DM mmoja tu na hilo amefeli sio dalili nzuri maan EPL ipo moto sana umeona Arsenal bila Rise na Martin walivyomtuliza Spurs kwao yaani utadhan kikosi kipo kamili.. Epl mpaka sasa FSG wanadhani wapo honey moon aisee...
Bila kuwekeza watasubiri sana kunyanyua kwapa tena...

YNWA

Ipo wazi hiyo kaka, mshikaji wake kampa shavu jamaa yake hata kama ni wewe usingemuacha Saint Anne azagae huko chini wakati wewe wizarani ni mwenye maamuzi ya mwisho.

But let us watch, may the will be good deals ahead especially Winter TW, but itategemea na hali ya performance na utimamu wa wachezaji kwa wakati huo itakuwaje???

Ishu ya DM ilikuwa last 2-3 season, sasa entire scouts haikupata wachezaji 3 wa kuwatazama?? Kama walikuwepo means mafail yao yalikuwepo na kama yalikuwepo hapo hapo ndipo palikuwa pakuanzia…!!!

Kuna mambo ni simple tu hauhitaji even diploma kuona challanges, LFC last 5 season unaona injury zilituandama sana means kuna kikosi finyu sana kiasi wachezaji wale wale ndio walitumika for long. Feb - April ndipo LFC tunapotemaga ubingwa, kwa fatigue na injuries, means kikosi kidogo sana na quality ipo chini. DM was our priority baada ya fallen ya Fabby, ilikuwa tu ni scouting wanaleta tu files tuna hawa watu, coach na wenzie wanachagua tu give this one, and game over. We like to complicate simple matters.

YNWA
 
Sure Jones tried n tried but kufika hata nusu ya Foden ni ndoto aisee... Nyoni, Chambers would be my bet.
Na Morton i rate him highly.

YNWA

Jones i rated him high ila naona hapo ndio mwisho wake, sioni akivuka hapo labda aje aniprove wrong.
Nyoni yeah he is a baller, wish him success with us.
Owen Beck naona akiuzwa he has no future with LFC

YNWA
 
FSG ni wanyonya damu aisee... Kelleher anaona kipa wa Valencia ananunuliwa meaning ni ujumbe kwamba club don't value him highly kubakia as Allison heir in the future hivyo wangeaambia his camp atafute timu kwa kua kua serial starter ni ngumu...
I feel sorry kwa hawa wachezaji aisee Gomez na Kelleher..
Haya mambo ya sell to buy ndio kikwazo hapa hakuna kingine yaani hapo FSG wanatega mpaka dau wanalotaka lifikie...

YNWA
Ni mikausha damu
Kelleher anapata namba timu nyingi tu za EPL kama kipa wa kwanza.

Wamuuze mtoto wa watu
Wasiue kipaji chake.
 
Ipo wazi hiyo kaka, mshikaji wake kampa shavu jamaa yake hata kama ni wewe usingemuacha Saint Anne azagae huko chini wakati wewe wizarani ni mwenye maamuzi ya mwisho.

But let us watch, may the will be good deals ahead especially Winter TW, but itategemea na hali ya performance na utimamu wa wachezaji kwa wakati huo itakuwaje???

Ishu ya DM ilikuwa last 2-3 season, sasa entire scouts haikupata wachezaji 3 wa kuwatazama?? Kama walikuwepo means mafail yao yalikuwepo na kama yalikuwepo hapo hapo ndipo palikuwa pakuanzia…!!!

Kuna mambo ni simple tu hauhitaji even diploma kuona challanges, LFC last 5 season unaona injury zilituandama sana means kuna kikosi finyu sana kiasi wachezaji wale wale ndio walitumika for long. Feb - April ndipo LFC tunapotemaga ubingwa, kwa fatigue na injuries, means kikosi kidogo sana na quality ipo chini. DM was our priority baada ya fallen ya Fabby, ilikuwa tu ni scouting wanaleta tu files tuna hawa watu, coach na wenzie wanachagua tu give this one, and game over. We like to complicate simple matters.

YNWA
Otea dili huko Anfield
Unipige tafu kufua viatu au kuwasokota Rasta kina Salah
 
Ujue kuna zile moments Klopp alikuwa anazingua big time ila aliyoyafanya unashindwa kumvaa maungoni moja kwa moja, Unlike Slot, huyu ngumu kumuonea aibu bado…!!!

Its a good coach though, i will give him time.

YNWA
Sisi tunasubiri afanye maajabu
Akizingua tutaaanza kelele za atoke nje
 
IMG_6178.jpg

Waliosimama kuanzia kushoto;

Pepe Reina,Raul Meireles, Milan Jovanovic, David Ngog, Christian Poulsen, Sotiris Kyrgiakos,

Waliochutama kuanzia kushoto;

Jay Spearing, Jonjo Shelvey, Martin Skrtel, Jamie Caragher, Glen Johnson.

Hapo tunaingia uwanjani tukiwa na matumaini ya dhati kabisa jitu linakufa”,. Hii ndio hunifanya niamini tunaishi “NOW”.

YNWA.
 
Back
Top Bottom